hekimanyingi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 679
- 573
Jiji la mwanza ni kubwa kuliko arusha. Na hii sera ya usukumani kwanza ndo mwanza itakuwa maradufu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna thread nyingi za Arusha na Mwanza, karibu page 70...zote hizo Arusha imeiacha Mwanza mbali sana..
Hawajiamini...Kwa nini hizi thread za kulinganisha Mwanza na Arusha wanaanzishaga watu wa Mwanza tu?
we umejuaje kuwa aliyeanzisha thread hii anayokea mwanza. people of Arusha wana inferiority ya ajabu kiasi kwamba hata sehemu zisizo na mkoa vs mkoa wao wanakurupuka kulinganisha.Kwa nini hizi thread za kulinganisha Mwanza na Arusha wanaanzishaga watu wa Mwanza tu?
tuanzeni kutumia picha maneno matupu hayajengi.Kuna thread nyingi za Arusha na Mwanza, karibu page 70...zote hizo Arusha imeiacha Mwanza mbali sana..
Hii naona watu wa Mwanza wanaomba sympathy
Huyu inaonekana sio wa Mwanza wala Arusha, ila hii sio thread ya kwanza ya kulinganisha hiyo mikoa miwili, na wanaoanzisha wanakua side ya Mwanza, ukitaka ushahidi search thread za aina hii, ukishindwa nitakusaidiawe umejuaje kuwa aliyeanzisha thread hii anayokea mwanza. people of Arusha wana inferiority ya ajabu kiasi kwamba hata sehemu zisizo na mkoa vs mkoa wao wanakurupuka kulinganisha.
I hate threads of this type kwasababu zinatuclassify kikanda na tusivyowasitaarabu tunatukanana bila sababu zozote.Huyu inaonekana sio wa Mwanza wala Arusha, ila hii sio thread ya kwanza ya kulinganisha hiyo mikoa miwili, na wanaoanzisha wanakua side ya Mwanza, ukitaka ushahidi search thread za aina hii, ukishindwa nitakusaidia
Thread zote hapa JF kuhusu Arusha na Mwanza zinaanzishwa na watu wa Mwanza...we umejuaje kuwa aliyeanzisha thread hii anayokea mwanza. people of Arusha wana inferiority ya ajabu kiasi kwamba hata sehemu zisizo na mkoa vs mkoa wao wanakurupuka kulinganisha.
Nilishakwambia sipotezi muda..kama picha zipo kwenye thread hii...kwa kifupi Mwanza imeachwa mbali sana na Arusha..tuanzeni kutumia picha maneno matupu hayajengi.
Yes! Yule jamaa alitokea Mwanza..maana kadiri tulivyokuwa tunawachapa Mwanza uzalendo ukamshinda akaanza kurusha mawe kwa Wachangiaji wa Arusha..kuna thread ilianzishwa inasema.
Mwanza inarudi nyuma Arusha inazidi kupaa unahisi aliyeanzisha katokea mwanza.
nampigia gitaa mbuzi. bye byeNilishakwambia sipotezi muda..kama picha zipo kwenye thread hii...kwa kifupi Mwanza imeachwa mbali sana na Arusha..
Tumalize Ubishi: Kati ya Mwanza na Arusha ni Jiji gani zuri, uchumi na mambo mengine
Kweli zinakua na element za ukabila ndani yake,I hate threads of this type kwasababu zinatuclassify kikanda na tusivyowasitaarabu tunatukanana bila sababu zozote.
Nimekupa link...Haya ni marudio tunampigia gitaa mbuzi. bye bye