Huo ni upumbavu Mwanza imekuwa jiji mwaka 2000,Arusha mwaka 2010 kama mnafikiri arusha iko juu kuliko mwanza kwa nn haijawa jiji kabla!?tumieni evidence acheni ushabiki wa kipumbavuChuga kusikie tu joh!!!hiyo Mwanza kidogo labda uishindanishe na Mby.
-Ndumilakuwili-
Wewe ndo limbukeni mkubwa huna evidence za kutosha kuhusu Mwanza Vs Arusha la sivyo na wewe ni wa arushaAchane ulimbukeni nyie amtu anatetea mwanza kwa sababu katoka huko au anaish huko, same as arusha....
Nenden mkatembee dhen mje na solution vichwani mwenu, am from dsm bt there is no place like A.town in every thing, frankly speaking mwanza imeachwa mbali sn na arusha, i used to be in mwanza, so naongea v2 ninavyo vifaham, end of discussion
Ukubwa wa mji au mkoa jJiji sio majengo na barabara sasa hivi ukubwa ni uchumi jiji la kwanza kwa Ukubwa wa kiuchumi ni Dar es Salaam la pili ni Jiji la Mwanza la tatu ni Mbeya inafuatia Jiji la Arusha hivyo ukubwa wa eneo na majengo si kitu kama uchumi upo chini.Nataka nikaanze maisha mapya moja kati ya sehemu hzo mbili.Uzuri niusemao mazingira,kuendelea kiuchumi,afya nk
Unaanzaje kulinganisha Geneva of Africa na Uchafu kama Mwanza..Ukubwa wa mji au mkoa jJiji sio majengo na barabara sasa hivi ukubwa ni uchumi jiji la kwanza kwa Ukubwa wa kiuchumi ni Dar es Salaam la pili ni Jiji la Mwanza la tatu ni Mbeya inafuatia Jiji la Arusha hivyo ukubwa wa eneo na majengo si kitu kama uchumi upo chini.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli watu wakichukia boga..........Unaanzaje kulinganisha Geneva of Africa na Uchafu kama Mwanza..
Mwanza ipambane na Iringa
Uchumi ni nini?Ukubwa wa mji au mkoa jJiji sio majengo na barabara sasa hivi ukubwa ni uchumi jiji la kwanza kwa Ukubwa wa kiuchumi ni Dar es Salaam la pili ni Jiji la Mwanza la tatu ni Mbeya inafuatia Jiji la Arusha hivyo ukubwa wa eneo na majengo si kitu kama uchumi upo chini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini hizi thread za kulinganisha Mwanza na Arusha wanaanzishaga watu wa Mwanza tu?Mwanza the second largest city in Tanzania.
Kuwa mkweli mkuu, Hii Arusha ya Mianzini , unga Ltd , daraja 2, majengo ndo na mbuga tupu ndo unaitetea hiv? Miji hii haina tofautiHuwezi kufananisha watu wanaokunya ziwani na wastaarabu walio na exposure na interaction na watu wa Mataifa ya nje....
Hawalifaham jiji LA miamba na ma flyover# rock cityThis is rock city
Tupia picha za arusha mkuuUnaanzaje kulinganisha Geneva of Africa na Uchafu kama Mwanza..
Mwanza ipambane na Iringa