Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,612
Bukoba noma
nataka uwaziri wa nishati na madini
nataka uwaziri wa nishati na madini
Uzuri, na mendeleo pia....Half of London ukubwa ah maendeleo
Acha kufananisha mwanza na vitu vya *******Ni laana kufananisha Arusha na vitu vya kishenzi
Wavuta bangi na walevi.Hata hivyo Tanzania jiji ni moja, mengine mbweHuwezi kufananisha watu wanaokunya ziwani na wastaarabu walio na exposure na interaction na watu wa Mataifa ya nje....
Ni kweli kabisaNi laana kufananisha Arusha na vitu vya kishenzi
Na walaaniwe wote wanaolinganisha Arusha na upumbavu. (Upumbavu sio tusi according to retired President Hon. Mkapa)Ni laana kufananisha Arusha na vitu vya kishenzi
AminaNa walaaniwe wote wanaolinganisha Arusha na upumbavu. (Upumbavu sio tusi according to retired President Hon. Mkapa)
Watu wote na waseme:Amen
Amen.Amina
Waambie mkuu wajue nakumbuke zile beach party lake dulluti dah Really missed those moments at Arusha. Bila kusahau nane nane holiday pale njiro.Chuga kusikie tu joh!!!hiyo Mwanza kidogo labda uishindanishe na Mby.
-Ndumilakuwili-
unalaana ww sio bureAchane ulimbukeni nyie amtu anatetea mwanza kwa sababu katoka huko au anaish huko, same as arusha....
Nenden mkatembee dhen mje na solution vichwani mwenu, am from dsm bt there is no place like A.town in every thing, frankly speaking mwanza imeachwa mbali sn na arusha, i used to be in mwanza, so naongea v2 ninavyo vifaham, end of discussion