hako ni kamji bro kwanzia city area, population, and GDP zipo chin sanaHivi kwa nn moshi sio jiji?
Ninaishi Mwanza town na familia yangu toka nimezaliwa,na ninafanya kazi Njiro Arusha toka mwaka 2009...Mwanza ni mji mkubwa,mzuri,wenye watu wengi na kuufanya kua na pesa japo huwezi kuona mbwembwe za watu wake wakijivunia pesa walizonazo,miji mingi duniani iliyo mwambao wa maji kwa maana ya maziwa na bahari hua ni miji mizuri na ya kibiashara.najua wazi Arusha ina uzuri wake wa hali ya hewa lakini haiwezi kufikia sifa ya Mwanza,Mwanza kunahudumia mikoa karibu yote ya kanda ya ziwa na kuifanya kua ni yenye maendeleo sana tu.ni mji umepanuka sana,mji ukiwa na watu wengi ni moja ya sifa na sababu za kukua kiuchumi.usicheze na watu wanaofanya kazi kwa bidii lakini hawatumii pesa ovyo ovyo wala kujisifu sifu kwenye mabaa na sehemu za starehe bila faida,tatizo hilo lipo Arusha pekee..mtu ana milion mia moja tu lakini anatisha watu ovyo na bastola na majisifu yasiyo na sababu.jiji la Mwanza kuna Msukuma na Mkurya wana pesa kama mchanga na hutakaa ukawasikia mitaani kwa mambo ya kijingaAchane ulimbukeni nyie amtu anatetea mwanza kwa sababu katoka huko au anaish huko, same as arusha....
Nenden mkatembee dhen mje na solution vichwani mwenu, am from dsm bt there is no place like A.town in every thing, frankly speaking mwanza imeachwa mbali sn na arusha, i used to be in mwanza, so naongea v2 ninavyo vifaham, end of discussion
Baba umetisha lakini kwa wasioelewa watatokwa mipovuNinaishi Mwanza town na familia yangu toka nimezaliwa,na ninafanya kazi Njiro Arusha toka mwaka 2009...Mwanza ni mji mkubwa,mzuri,wenye watu wengi na kuufanya kua na pesa japo huwezi kuona mbwembwe za watu wake wakijivunia pesa walizonazo,miji mingi duniani iliyo mwambao wa maji kwa maana ya maziwa na bahari hua ni miji mizuri na ya kibiashara.najua wazi Arusha ina uzuri wake wa hali ya hewa lakini haiwezi kufikia sifa ya Mwanza,Mwanza kunahudumia mikoa karibu yote ya kanda ya ziwa na kuifanya kua ni yenye maendeleo sana tu.ni mji umepanuka sana,mji ukiwa na watu wengi ni moja ya sifa na sababu za kukua kiuchumi.usicheze na watu wanaofanya kazi kwa bidii lakini hawatumii pesa ovyo ovyo wala kujisifu sifu kwenye mabaa na sehemu za starehe bila faida,tatizo hilo lipo Arusha pekee..mtu ana milion mia moja tu lakini anatisha watu ovyo na bastola na majisifu yasiyo na sababu.jiji la Mwanza kuna Msukuma na Mkurya wana pesa kama mchanga na hutakaa ukawasikia mitaani kwa mambo ya kijinga
Over
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
We hujui lolote kwani maada iliyopo ni kulinganisha mahoteli!?![]()
Mwanza acheni vidomo domo. kwa arusha bado sanaa angalia ripoti ua uchunguzi wa nyota kwenye hoteli
Sibishani na msukuma mjinga mimi
Unatakiwa ujue lipi jiji kubwa na lenye uchumi mkubwa kuliko jingine! Mwanza jiji tangu mwaka 2000 arusha 2010 kingine wewe hujui ni vigezo gani sehemu husika vinavyoangaliwa ili Kuwa jiji![]()
Mwanza acheni vidomo domo. kwa arusha bado sanaa angalia ripoti ua uchunguzi wa nyota kwenye hoteli
Ama kweli we mjinga umedhihirisha mwenyeweSibishani na msukuma mjinga mimi
Msukuma yupi unamuongelea asie na majigambo! Hebu anza na kufananisha Mkulu na Lowassa kwanza...Ninaishi Mwanza town na familia yangu toka nimezaliwa,na ninafanya kazi Njiro Arusha toka mwaka 2009...Mwanza ni mji mkubwa,mzuri,wenye watu wengi na kuufanya kua na pesa japo huwezi kuona mbwembwe za watu wake wakijivunia pesa walizonazo,miji mingi duniani iliyo mwambao wa maji kwa maana ya maziwa na bahari hua ni miji mizuri na ya kibiashara.najua wazi Arusha ina uzuri wake wa hali ya hewa lakini haiwezi kufikia sifa ya Mwanza,Mwanza kunahudumia mikoa karibu yote ya kanda ya ziwa na kuifanya kua ni yenye maendeleo sana tu.ni mji umepanuka sana,mji ukiwa na watu wengi ni moja ya sifa na sababu za kukua kiuchumi.usicheze na watu wanaofanya kazi kwa bidii lakini hawatumii pesa ovyo ovyo wala kujisifu sifu kwenye mabaa na sehemu za starehe bila faida,tatizo hilo lipo Arusha pekee..mtu ana milion mia moja tu lakini anatisha watu ovyo na bastola na majisifu yasiyo na sababu.jiji la Mwanza kuna Msukuma na Mkurya wana pesa kama mchanga na hutakaa ukawasikia mitaani kwa mambo ya kijinga
Over
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA