Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Nimezaliwa na kukulia mwanza
Olevel na a level nimesoma Arusha
Kwa uzoefu nilioupata mwanza Ni mkoa ulio vizuri zaidi kiuchumi kuliko Arusha.
Mtu wa Hali yoyote kiuchumi anaweza kuishi vizuri akiwa mwanza na akapata mahitaji yote ya muhimu bila shida haijalishi anafanya kazi gani...
Uko sahihi mkuu
 
Jiji la Mwanza linaundwa na Manispaa mbili
1.Ilemela
2.Nyamagana

Arusha inaundwa na Manispaa ngapi?

Mwanza inaweza kusavaivu bila Utalii,Arusha utalii ukisheki nayo inasheki!!


Acheni kuifananisha Mwanza na TAKA-TAKA!
sio kweli mkuu, kwa Tanzania hapa ukiacha Dar mji wenye viwanda vingi ni Arusha na pia Arusha inaongoza kwa teknolojia ya kilimo cha kisasa so ukubwa sio hoja
 
sio kweli mkuu,kwa Tzn hapa ukiacha Dar mji wenye viwanda vingi ni Arusha na pia Arusha inaongoza kwa teknolojia ya kilimo cha kisasa so ukubwa sio hoja
Mkuu vitaje hivyo viwanda,ukiondoa cha General Tyre ambacho kilishajifia,Mkuu kabisa bila kupepesa macho na wewe unaamini kwamba Arusha inaizidi Mwanza kiuchumi?
 
Mkuu vitaje hivyo viwanda,ukiondoa cha General Tyre ambacho kilishajifia,Mkuu kabisa bila kupepesa macho na wewe unaamini kwamba Arusha inaizidi Mwanza kiuchumi?
Tanalec(vifaa vya umeme zikiwemo transfoma),cha viwatilifu vya madawa ya mbu,viwanda vya mbegu kama seed-co,pannar nk nk kwenye horticulture ndio usiseme
 
Kasome takwimu naongea nikiwa na uhakika [emoji817]
Weka hizo takwimu hapa,niende nkazisome wapi tena?

Kwa akili tu ya kawaida Jiji la mwanza lililo na manispaa 2 kwa mujibu wa Sensa ya 2012 lina watu zaidi ya 2 milioni,Arusha lina watu zaidi ya laki 4 ,hapa naongelea Jiji kama Jiji siyo mkoa,sasa inapaswa uone ni kwanini watu wanakimbilia Mwanza kuliko Huko Arusha
 
Mkuu vitaje hivyo viwanda,ukiondoa cha General Tyre ambacho kilishajifia,Mkuu kabisa bila kupepesa macho na wewe unaamini kwamba Arusha inaizidi Mwanza kiuchumi?
Mimi naamini sio kwa hisia bali kwa facts kwa kuwa Arusha ni mji wa Viwanda na utalii huko mwanza sijui jiji lina sifa gani zaidi ya dagaa na sangara
 
Weka hizo takwimu hapa,niende nkazisome wapi tena?

Kwa akili tu ya kawaida Jiji la mwanza lililo na manispaa 2 kwa mujibu wa Sensa ya 2012 lina watu zaidi ya 2 milioni,Arusha lina watu zaidi ya laki 4 ,hapa naongelea Jiji kama Jiji siyo mkoa,sasa inapaswa uone ni kwanini watu wanakimbilia Mwanza kuliko Huko Arusha
acha porojo hao mil.2 umewatoa wapi,weka sensa ya 2012 hapa sio kuleta hisia binafsi..alafu ujue kutofautisha watu wa mkoa mzima na na watu wa jiji
 
Hii ata kwa akili ya kawaida tu haiingii kichwan yan Mwanza imepitwa Hadi Na Singida, Iringa Lindi, Kagera??? Ahaahahah aliesema tupewe Elimu Elimu Elimu hakukosea
Soma jedwali vizuri. Utaona kamba unahitaji utulivu.
 
Back
Top Bottom