Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Hiyo ndo sensa ya mwaka 2012 siyo porojo ingia google
wewe hizo takwimu ninazo na hazisomeki hivyo kwa upande wa jiji la mwanza bali mkoa mzima wa mwanza kipindi hicho geita ikiwa sehemu ya mwanza na kwa Arusha hizo ni takwimu za jiji
 
Nimependa moja ya comment hapo juu ina weza kuwa na mantiki flani.

Ukweli Arusha bila watalii maisha hakuna na mji unadoda sana, unabaki kupishana na wadada wauza viatu, soksi na kinamama wanatembeza mikungu ya ndizi, vinginevyo ukutane na vijana wamebeba vikapu pembeni kuna kibibi cha kikoloni wanaongozana.

Mwanza hakuna msimu wa kutafuta pesa mvua, joto, masika au kimbunga nk, vinginevyo maisha hayana mwenyewe wala kupata hajapangiwa mtu fulani.
 
acha porojo hao mil.2 umewatoa wapi,weka sensa ya 2012 hapa sio kuleta hisia binafsi..alafu ujue kutofautisha watu wa mkoa mzima na na watu wa jiji
Unajua shida hujaelewa mada inasema nini!,Hapa tunazungumzia majiji(CITY COUNCIL)siyo mkoa mzima,Kwa takwimu za sensa ya mwaka 2012 Arusha (Jiji) lilikuwa na watu zaidi ya laki 4 lakini Mwanza (Jiji)lilikuwa na watu zaidi ya milioni 2
 
Nimeshakutumia attachment kaisome acha kubisha mambo ambayo yameshaandikiwa na report
 
Unajua shida hujaelewa mada inasema nini!,Hapa tunazungumzia majiji(CITY COUNCIL)siyo mkoa mzima,Kwa takwimu za sensa ya mwaka 2012 Arusha (Jiji) lilikuwa na watu zaidi ya laki 4 lakini Mwanza (Jiji)lilikuwa na watu zaidi ya milioni 2
Hapana boss hiyo ilikuwa ni region ambapo kwa mwaka huu imefika kama 4M hivi.
Ila za majiji ni Dar ni 6M,...Mwanza city ni 1.2M...Zanzibar City 7K.
Arusha city ni 4K.
Nimeambatanisha link ya Mwanza City hapa chini.Pia inakuonyesha projections hadi za 2050.
Majiji mengine teremka chini upande wa kushoto utayaona.

Mwanza, Tanzania Metro Area Population 1950-2020
 
Mimi naamini sio kwa hisia bali kwa facts kwa kuwa Arusha ni mji wa Viwanda na utalii huko mwanza sijui jiji lina sifa gani zaidi ya dagaa na sangara
Wewe jamaa lake zone walikufanyia nini 😂😂

Mwanza ipo diversified maana kuna
1. uvuvi

2.usafirishaji (ardhini, majini na anga),

3. Media industry kumbuka Mwanza ina media industry kubwa next to Dar

Hivyo ni vichache tu na fact mwanza ina manispaa mbili na Arusha ipo moja ni lazma ikuambie ni ipi itakuwa mbele kiuchumi
 
Hapana boss hiyo ilikuwa ni region ambapo kwa mwaka huu imefika kama 4M hivi.
Ila za majiji ni Dar ni 6M,...Mwanza city ni 1.2M...Zanzibar City 7K.
Arusha city ni 4K.
Nimeambatanisha link ya Mwanza City hapa chini.Pia inakuonyesha projections hadi za 2050.
Majiji mengine teremka chini upande wa kushoto utayaona.

Mwanza, Tanzania Metro Area Population 1950-2020
Angalia revenue ndo itakuokupa picha halisi, Arusha ina watu wachache Zaid ya mwanza Ila Ina shughuli nyingi za kibiashara kuliko mwanza, ndo maana imeipita mwanza kwenye revenue
 
Wewe jamaa lake zone walikufanyia nini 😂😂

Mwanza ipo diversified maana kuna
1. uvuvi

2.usafirishaji (ardhini, majini na anga),

3. Media industry kumbuka Mwanza ina media industry kubwa next to Dar

Hivyo ni vichache tu na fact mwanza ina manispaa mbili na Arusha ipo moja ni lazma ikuambie ni ipi itakuwa mbele kiuchumi
Ila kwa revenue Arusha imeipita mwanza
 
Wewe jamaa lake zone walikufanyia nini [emoji23][emoji23]

Mwanza ipo diversified maana kuna
1. uvuvi

2.usafirishaji (ardhini, majini na anga),

3. Media industry kumbuka Mwanza ina media industry kubwa next to Dar

Hivyo ni vichache tu na fact mwanza ina manispaa mbili na Arusha ipo moja ni lazma ikuambie ni ipi itakuwa mbele kiuchumi
Huyo jamaa atakuwa ni wale jamaa wanaojiita "MACHALII WA R" wao wanakwambiaga Arusha hakuna mji hapa Afrika unaoukaribia kwa uzuri,na hii ni baada ya kuvuta GANJA na kunywa BANGE [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Jiji la Mwanza linaundwa na Manispaa mbili
1.Ilemela
2.Nyamagana

Arusha inaundwa na Manispaa ngapi?

Mwanza inaweza kusavaivu bila Utalii, Arusha utalii ukisheki nayo inasheki!!

Acheni kuifananisha Mwanza
😂😂
 
Back
Top Bottom