Pole sana boss ni uelewa wako tu wa kushindwa kutofautisha kati ya GDP na revenue za kawaida. Hayo makusanyo ya revenue yanabadilika mara kwa mara kutokana na kipindi husika.Kuna kipindi Dom ilikuwa juu ya Ilala,Kinondoni na Temeke hadi watu wakaanza kuhoji na wengine kusema serikali inapika data ili kuibeba Dom.Ila ndo kama unavyoona tena kwenye jedwali lako manispaa za dar zimerudi tena juu.
Ila upande wa GDP tuseme yenyewe ni stable fulani hivi.Haishuki na kupanda hovyo kama hizo revenues. Na ndio kipimo halisi cha uchumi na maendeleo.Hata nchi zinapimwa hivyo kujua ipi ina ubavu zaidi kiuchumi. Na usitegemee kamwe milele GDP ya Dodoma ije iipite ile ya Dar es salaam. Na it's unlikely GDP ya mji/jiji lolote lile iipite ya Dar sababu GDP ya dar ni almost nusu ya GDP ya Tz yote.Ila upande wa revenue collection Mh.Rais majuzi kasema dar inakusanya karibia 80%.So unaweza kuona how the two terms differ.
Cheki hapa chini nilipobord:
[email protected]
Mwanza. Mwanza has launched its regional investment guide as it puts itself on the right path to grow its contribution to Tanzania’s gross domestic product (GDP) by the year 2025.
The Mwanza Regional Investment Guide is a brainchild of the region’s authorities in partnership with the United Nations Development Program (UNDP) and the economic and social research foundation (ESRF).
It seeks to lead Mwanza on the implementation of development projects in major economic sectors including, agriculture, fishing, mining, manufacturing industries and livestock, according to Regional Commissioner, Mr John Mongella.
Currently, Mwanza contributes about Sh7.4 trillion to Tanzania’s Sh103 trillion GDP. It is second from Dar es Salaam.
“Our goal is to raise Mwanza’s contribution to GDP to Sh10 trillion per annum come the year 2025,” he said.
To achieve the goal, in line with the launched regional investment guide, there shall be established a special team from government institutions which will be trusted with the powers of dealing with investment licenses and certificates so as to cut beauracracy.
Hiyo ni habari waliitoa The Citizen mwaka 2017.