mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Umeelezea kiuweledi sana.
Kiukweli huwa hakuna short cut kwenye ishu ya biashara.
Ubunifu binafsi na bahati ndio humfanya mtu kufanikiwa.
Kiukweli huwa hakuna short cut kwenye ishu ya biashara.
Ubunifu binafsi na bahati ndio humfanya mtu kufanikiwa.
Hapo unakimbiza na upepo, sometimes biashara haipo complicated kama ulivyoorodhesha mambo kibao hapo. Biashara ni timing ikiambatana na uzoefu, customer care na factors nyingine bila kusahau bahati. Waweza kuanzisha biashara miji midogo Kama Mpwapwa, Sengerema, Lindi, Korogwe etc
Tena kwa capital ndogo na ukateka mji na ukapiga ela balaa. Na waweza kuwa na mtaji mkubwa ukaanzisha biashara Arusha, Mwanza au Dar baada ya miezi sita ukaifunga na mtaji ukapotea. Ukiona mtu anabishana Arusha na Mwanza wapi zaidi kibiashara ujue hajawahi kufanya biashara yoyote duniani.