Poor thinking capacity...yaaani watu wanaomboleza msiba wa raisi alafu ndio useme Kuna watu...mji umepoa Sana kulinganisha Na Arusha tembea mzee usijifungie huko ziwaniLeo msafara uliobeba mwili wa aliyekuwa Rais wa JMT marehemu JPM umekatiza katikati ya jiji la Mwanza
Mmeona mandari ya jiji la Mwanza, ziwa victoria, wingi wa watu na uzuri wote wa Mwanza
Wa kufananisha Mwanza na vi-jiji vingine kama vi-Arusha endeleeni kufananisha vi-sehemu vyenu na jiji la Mwanza sasa
R.I.P JPM