Good umeliona hiloWewe ni ushamba ndio unakusumbua tu
Mwanza ndio sehemu wako primitive zaidi, sehemu yenye washamba wengi zaidi😄 data za NBS 2020 Mwanza Na Geita ndio inaongoza kwa umaskini kumbuka huu ulikua mkoa mmoja! Hivyo sishangai watu wa mwanza wakiendelea kuleta mashindano Na Arusha nimewaambia milele Mwanza haiwezi kuifikia Arusha waanze kwanza na kuboresha lifestyle na makazi ya watu wao, hapa tu tunadiscuss miji wanaleta data za mkoa mzima, tukiongelea population density hawajui Dah😎