Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Asalimia 42% ya wakazi wa mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla ni masikini wa kutupwa, halafu anakuja mchato mmoja hapa au mgeita au anadai mwanza ni zaidi ya Arusha..kweli???

Ivi vivuko ndo vinawapa kiburi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasukuma wakijaga Arusha hawarudigi tena mwanza
2199902_1572590046636.jpg

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
GDP ni indicator kubwa ya pato la Mkoa, nimefanikiwa kupata records za 2018 Arusha mnachozidi Mwanza ni Per capital income tu japo aibebi uhalisia wa utajiri wa kila mkazi wa Arusha. Tanzania: GDP at current prices, by region | Statista
View attachment 1744458
Wewe utazunguka tu lakini ukweli unajua kabisa maisha ya watu wa mwanza ni magumu kuliko. Wachaga wote wakiondoka hapo mwanza tunajua kitakachotokea. ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Asalimia 42% ya wakazi wa mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla ni masikini wa kutupwa, halafu anakuja mchato mmoja hapa au mgeita au anadai mwanza ni zaidi ya Arusha..kweli???

Ivi vivuko ndo vinawapa kiburi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasukuma wakijaga Arusha hawarudigi tena mwanzaView attachment 1744806

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Aahahaaaa per capital income ndio ina amua. Nimeeleza huko juu Arusha ina watu wenye kipato kikubwa sana japo ni wachache wakitafuta wastani kwa population ya Arusha ndio maaana figure zinaonekana kubwa..
 
Mkuu fanyeni kazi acheni kuleta porojo. Like ziwa Victoria lina wabeba sana.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Tunapoteza nguvu tu hapa kubishana vitu visivyo na maana wakati ukweli unajulikana HUWEZI KULINGANISHA JIJI LENYE MANISPAA MBILI NA KAJIJI KENYE MANISPAA MOJA YA KUUNGA UNGA.Itoe Nyamagana pembeni, Arusha jiji ilinganishe na manispaa moja tu ya ilemela
Nyamagana ni manispaa toka lini ndugu
 
View attachment 1744497
View attachment 1744498
Mapanki unatoka kwenye mkoa maskini afrika😃😃
 
Acha fix mwanza haiwezi kufika watu milioni moja, sensa ya mwisho 2012 mwanza ilikua na watu 650000 kwa growth rate kwa mwaka haizidi asilimia 5 ,sasa kwa staili hiyo watu milioni moja na laki mbili wanafikaje.
Duh! We jamaa uwe una-update kichwa chako angalau Mara moja kwa mwaka (kuhusu masuala ya "population").
 
View attachment 1744497
View attachment 1744498

Mapank inamaana hujaona kama mwanza imeunganishwa na geita
Au ndio hizo nywele za pembeni ulizonyoa ndio zimeondoka na akili
 
projects zote zimejengwa na serikali hii hii ambayo atcl imepata hasara kwa miaka mitano mfululizo na mmepewa miradi ili kuiundermine arusha ili mwanza ionekane iko juu...Real investment unaona kwa private investors wao hawawezi kuinvest kwenye hasara ndo maana hamna serious investmet inayoweza kufanywa mwanza na private sector mkoa wenye population kubwa ya maskini wasiojielewa..Arusha kuna 10+ floor buildings zaidi ya 20 mwanza hata 10 hamna, baada ya dar na pwani Arusha inafuata kwa viwanda working population huku ni kubwa mno nyie wengi mnajichimbia ziwani na vichakan hamna investmet vijana wanakosa ajira ndo maana mnaongoza kwa umaskini kumbuka huku kuna soko la madini afrika, hotels tumewaacha zaidi ya mara 5 tuna viwanda hadi vya kuassemble magari (hanspaul) ila nyie hadi Mall mnajengewa na serikali. Bongo lalaz😎 na ndio maana hata biashara hamuwezi hadi tuje tuwafungulie mji wenyewe umepoa kazi kuzaliana tu kama nyumbu
 
Mimi nimezaliwa Mwanza ila swala la muonekano kwa juu tukiacha ushabiki hakuna tofauti kubwa kati ya Mwanza na Arusha. Tofauti kubwa ni population na ukubwa wa jiji la Mwanza.
Unaweza ukawa umezaliwa mwanza na usiifahamu vizuri. Magu pia ni mwanza, misungwi sengelema nk yote ni mwanza. Unapoongelea city center ya Mwanza huwez kufananisha na miji mingine yote ukiacha Dar
 
Hivi munapata wapi ujasiri wa kuilingnisha Arusha na mwanza aise.
Hii mwanza ambayo vyoo ni shida tu ndo muilinganishe na Jiji kama Arusha.? Wasukuma bana [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1744805

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kumbe mabingwa wa mbwembwe na lugha za malkia(unigambire stupid mbere ya mai waifu) vyoo ni tatizo kubwa sana? Salaleeeeh
 
Zwazwa mwingine wa ziwani huyu😄 Arusha ndio second metropolitan area iliyochangamka baada ya dar
Population density ya arusha ni 4471 per sq km ambayo inakimbizana na manispaa za dar while mwanza ni 2308 per sq km sasa hamuelewagi hata pop density maana yake nn
Njoo Arusha wewe upate ile real vibe ya town wewe
Huku kuna International businesses , mji umechangamka usione huku yanajengwa majengo marefu usidhani yanafugiwa sato na sangara
 
Shujaaa kwao ni Geita hizo meli hata hazina ratiba ya Geita, Ukarabati tu wa Airport ya Mwanza investment yake unapata Airport mbili za Chato mpya na Chenji inabaki. Daraja na SGR vyote vinajengwa Mwanza na sio Geita. Wacheni kumsema Shujaa ambae bado aliwakumbuka kwa meter gauge rail way iliyokufa kwa zaidi ya miaka 30. Bado akawapa dual carriage road kutoka USA, Barabara la Mzunguko East Africa road.

Serikali makini inapekeka pesa inapoweza kutengeneza mapato zaidi.
Kiongozi unabishana na hao jamaa mate yatakukauka, wewe wakubalie tu wanachotaka kwamba Arusha ni second city nyuma ya Dar, kiuhalisia Arusha+Arusha+Arusha= MWANZA, Alafu Arusha×4=DAR.
 
Acha pumba kijana hakuna mall yeyote Mwanza iliyojengwa na serikali, mf rockcity mall imejengwa na halmashauri ya jiji la Mwanza kushirikia na mfuko wa lapf acha uzwazwa, arusha nyie size yenu ni mbeya ata mbeya hamuiwezi, lakini Mwanza na Arusha yote ni Tanzania kwann msikubali tu kuwa nyie mnasafari ndefu sana mpaka kulifikia jiji la Mwanza, Arusha mmeizidi mwanza kwenye masuala ya utalii tu kwingine hamna kitu.

Back
Top Bottom