Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Acha pumba kijana hakuna mall yeyote Mwanza iliyojengwa na serikali, mf rockcity mall imejengwa na halmashauri ya jiji la Mwanza kushirikia na mfuko wa lapf acha uzwazwa, arusha nyie size yenu ni mbeya ata mbeya hamuiwezi, lakini Mwanza na Arusha yote ni Tanzania kwann msikubali tu kuwa nyie mnasafari ndefu sana mpaka kulifikia jiji la Mwanza, Arusha mmeizidi mwanza kwenye masuala ya utalii tu kwingine hamna kitu.
Kitombile kitombile
Unajua maana ya serikali
Kwahio halmashauri sio serikali
Na hiyo lapf ni shirika la Nini
Hamna mwekezaji serious anayeweza wekeza Mwanza
Ondoka huko ziwani panakudumaza akili 😎
Shauri yako
 
Kitombile kitombile
Unajua maana ya serikali
Kwahio halmashauri sio serikali
Na hiyo lapf ni shirika la Nini
Hamna mwekezaji serious anayeweza wekeza Mwanza
Ondoka huko ziwani panakudumaza akili [emoji41]
Shauri yako

Kitombile hajui tofauti kati ya central gov na local gov
Hii ndio shida ya wasukuma,
Shule hawataki alafu wakija mtaani wanatusumbua
 
Acha pumba kijana hakuna mall yeyote Mwanza iliyojengwa na serikali, mf rockcity mall imejengwa na halmashauri ya jiji la Mwanza kushirikia na mfuko wa lapf acha uzwazwa, arusha nyie size yenu ni mbeya ata mbeya hamuiwezi, lakini Mwanza na Arusha yote ni Tanzania kwann msikubali tu kuwa nyie mnasafari ndefu sana mpaka kulifikia jiji la Mwanza, Arusha mmeizidi mwanza kwenye masuala ya utalii tu kwingine hamna kitu.

Kitombile akili huna halmashauri ya jiji la mwanza ni serikali pia inaangukia kwenye local government
Ungeenda shule usingekuja kutusumbua huku

Narudia tena kasome shule ni muhimu
 
Aahahaaaa maskini lakini una projects za Ma-trillion [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Mwanza Multi Trillions projects

Kigongo - Busisi TZS 699 billion (Yaani hapa unajumlisha Kigamboni na Kijazi bridge na unabaki na chenji) [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1743276

Mwanza - Isaka SGR project TZS 4.3 trillions
View attachment 1743277

New Mv. Mwanza contract cost 39million US dollars (89.7bn/-).
View attachment 1743280

MV. Victoria rehabilitation contract TZS 21 Billions
View attachment 1743281

Ujenzi wa Chelezo TZS 36 Billions
View attachment 1743282

View attachment 1743283

Mwanza International Airport TZS 89.3 billions
View attachment 1743292
View attachment 1743294
View attachment 1743295

Weka miradi ya Viberiti vya Arusha kama zinafika hata robooo ya project za Mwanzaaaaa Mwanzaaaaa Mwanzaaaa
Haaa sgr Arusha wataishia kuisoma kwenye vichwa vya habari tu.
 
Good umeliona hilo
Mwanza ndio sehemu wako primitive zaidi, sehemu yenye washamba wengi zaidi[emoji1] data za NBS 2020 Mwanza Na Geita ndio inaongoza kwa umaskini kumbuka huu ulikua mkoa mmoja! Hivyo sishangai watu wa mwanza wakiendelea kuleta mashindano Na Arusha nimewaambia milele Mwanza haiwezi kuifikia Arusha waanze kwanza na kuboresha lifestyle na makazi ya watu wao, hapa tu tunadiscuss miji wanaleta data za mkoa mzima, tukiongelea population density hawajui Dah[emoji41]
Washamba wapo Arusha asee,mtu unamguu wa kuvaa namba 38 anaenda kununua kiatu namba 45 na shati over size.
Ni mkoa gani watu wanavaa tai na shati over size,raba over size kama sio Arusha?
images.jpg
 
Haaa sgr Arusha wataishia kuisoma kwenye vichwa vya habari tu.
Mwendazake hayupo tena 😄😄
Nani asiyejua kua sgr ya musoma arusha tanga ilikua planned tangu kipind cha jk
Nani asiyejua sgr plan ya kwanza kabisa ilifanyika 2012 ya arusha to Moshi
Jiulize mabasi mengi ya abiria kutoka dar yanaenda wapi kama sio Arusha Na Moshi
Anyway tuna utawala mpya let's wait and see Kwa sababu sgr ilipangwa ije Arusha kusolve tatizo la msongamano kumbuka barabara ya arusha to moshi ndio inaongoza kwa magari mengi kati ya mkoa Na mkoa
Sasa ngoja uone kwanini unaambiwa adui yako mpende
Biashara ya mabasi itaendelea kama kawaida Arusha Na wenye mabasi wataendelea kunufaika
Biashara ya mizigo Kwa wenye malori hivyo hivyo
Sasa turudi Kanda ya ziwa Kwa nyie wavuvi mikoa inayoongoza Kwa umaskini😎
Yaani ndio maskini ananyanywa hata kidogo alicho nacho
Biashara ya mabasi itakufa, vijana wenu watakosa ajira hata za utingo kwenye malori, zile biashara za malori zitakufa mbaya zaidi pesa zenu za nauli zinarudi serikalini Kwa sababu mradi ni wa serikali chini ya mama Samia Sasa😄
Sasa hebu jiulize hapa who wins in this???
 
Mwendazake hayupo tena [emoji1][emoji1]
Nani asiyejua kua sgr ya musoma arusha tanga ilikua planned tangu kipind cha jk
Nani asiyejua sgr plan ya kwanza kabisa ilifanyika 2012 ya arusha to Moshi
Jiulize mabasi mengi ya abiria kutoka dar yanaenda wapi kama sio Arusha Na Moshi
Anyway tuna utawala mpya let's wait and see Kwa sababu sgr ilipangwa ije Arusha kusolve tatizo la msongamano kumbuka barabara ya arusha to moshi ndio inaongoza kwa magari mengi kati ya mkoa Na mkoa
Sasa ngoja uone kwanini unaambiwa adui yako mpende
Biashara ya mabasi itaendelea kama kawaida Arusha Na wenye mabasi wataendelea kunufaika
Biashara ya mizigo Kwa wenye malori hivyo hivyo
Sasa turudi Kanda ya ziwa Kwa nyie wavuvi mikoa inayoongoza Kwa umaskini[emoji41]
Yaani ndio maskini ananyanywa hata kidogo alicho nacho
Biashara ya mabasi itakufa, vijana wenu watakosa ajira hata za utingo kwenye malori, zile biashara za malori zitakufa mbaya zaidi pesa zenu za nauli zinarudi serikalini Kwa sababu mradi ni wa serikali chini ya mama Samia Sasa[emoji1]

Mabasi gani tena hayo? Kanda ya ziwa inaongoza kwa kuwa na idadi ya safari za mabasi na safari za ndege kutoka DAR - Mwz-BKB. Mwanza tayari kwa kuliona hilo la Mabasi wanaongeza Idadi ya stand za Mabasi kufikia Stand mbili. Stand kuu ya NYEGEZI na Stand ya Nyamhongolo. Na hizo Stand zote ujenzi unaendelea. Wenye picha naomba muwasaidie hawa vijana wenye meno ya dhahabu washangae .[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
😄😄
 
Umeandika pointless tupu hapa.
Faida za sgr ni nyingi kuliko hasara,Ni vile hukujua namna ya kupambana hapa kwa hoja ndo maana umechorachora tu.
 
Mkuu si ushamba ni swagger ya Ar hiyo[emoji1]
Kwaiyo hizo ndo swaga,kuvaa shati na viatu over size ndo swaga!?
Basi kama ni Swaga Blaza K anavaa shati over size kama nyinyi kuchekesha watu kwenye comedy ya Star tv.

Kumbuka Star tv & Radio free ni vyombo vya habari vinavyorusha matangazo yake Tanzania nzima na baadhi ya nchi za jirani,je nyinyi AR mna kipi cha kujivunia kama watu wa jiji la Mwanza kwenye tasnia ya vyombo vya habari?
 
Hayo majina yenu tu huyu mapanki huyu mwingine anaitwa nawatafuna😂😂
 
Mabasi gani tena hayo? Kanda ya ziwa inaongoza kwa kuwa na idadi ya safari za mabasi na safari za ndege kutoka DAR - Mwz-BKB. Mwanza tayari kwa kuliona hilo la Mabasi wanaongeza Idadi ya stand za Mabasi kufikia Stand mbili. Stand kuu ya NYEGEZI na Stand ya Nyamhongolo. Na hizo Stand zote ujenzi unaendelea. Wenye picha naomba muwasaidie hawa vijana wenye meno ya dhahabu washangae .[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huyu mwingine anasema dar mwanza bukoba ndio route inayoongoza Kwa ndege😀😀
 
Bila kua na biasness, kwa mizania karibia zote, Mwanza ni bora kuliko Arusha(ukiachilia Utalii na Ofisi kadhaa za Kimataifa), Mwanza iko juu ya Arusha.
 
Kwahio mlichoizidi arusha nnini mkuu wangu
 
Back
Top Bottom