Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Kuifananisha Arusha na Jiji la mwanza mnakosea sana, wekeni ukabila pembeni na muongee uhalisia wenyewe. Mwanza ni big city baada ya dar, binafsi naliona ndio the best city in east afrika.
Huku ndio mama anaita kudemka🤣🤣
Mkifika hapa atleast unitag

Screenshot_20210421-182504.png

Screenshot_20210421-182456.png

Screenshot_20210421-101859.png

Screenshot_20210421-103832.png

Screenshot_20210421-101656.png
 
Kuifananisha Arusha na Jiji la mwanza mnakosea sana, wekeni ukabila pembeni na muongee uhalisia wenyewe. Mwanza ni big city baada ya dar, binafsi naliona ndio the best city in east afrika.
Big economically au big kwa kurundika maskini? Maana Dar ni bg kwa both economy na population
 
Kuifananisha Arusha na Jiji la mwanza mnakosea sana, wekeni ukabila pembeni na muongee uhalisia wenyewe. Mwanza ni big city baada ya dar, binafsi naliona ndio the best city in east afrika.
Nmependa ulivosema ni maoni yako😂
Jiji lenu kimepoa kama nini
Ngoja tukuoneshe jiji linavokua uache kujifungia uko ziwani😎
 
Attachments

  • #3.1_Safari_Capital_Arusha_Inside_Out(360p).mp4
    31.3 MB
Mwanza ni mji mkubwa mno kuucompare na Arusha, zote zina manispaa mbili japo Arusha bado hata manispaa yake ya pili haijafikia hadhi kamili,

Mwanza unaonekana kama mji uliopooza kwa sababu ya kutokuwa na shughuli nyingi za utalii kama Arusha hivyo ukiwa mwanza usitegemee sana kupata huduma nyingi za starehe kama mahoteli ya kitalii, clubs, biashara ya vinyago na pombe,tour companies,kumbi kubwa za mikutano, na makao ya jumuiya mbalimbali.

Ila tofauti na hili la utalii ambalo Arusha inaongoza baada ya kuhodhi biashara ya utalii kutoka katika mikoa jirani mfano sehemu kubwa ya mbuga ya Serengeti ipo Mara lakini Mara haitambuliki wala haifaidiki, sawa na mapato na faida za kitalii za hifadhi ya mlima Kilimanjaro n.k

Hakuna kingine Arusha kama jiji unaweza kulicompare na Mwanza jiji ukianzia ukubwa wa mji yaani idadi ya makazi na watu, viwanda, shughuli mbalimbali za uchumi na biashara.

ubora wa makazi huwezi kukuta mwanza mjini mitaa kama ungalimited, sinoni, sombetini, matejoo nakadhalika ambapo kuna nyumba nyingi duni ambazo ni mchanganyiko wa mabanda ya tope, miti na mabati wanaishimo binadamu na ukiingia deep uswahilini ng'ombe wana mazizi mjini,

gharama za maisha mwanza ziko chini ukikompare na Arusha chumba cha tope uswahilini ni elfu 15 mpaka 30 hii kwa mwanza utakuwa kwenye chumba safi kabisa anachopaswa kuishi mwanadamu, achilia mbali hupatikanaji wa vyakula na huduma za msingi mtaani.

Posh areas (mitaa ya kidosi) hapa Arusha inaongoza ukilinganisha na Mwanza, hivyo gap la kipato katika mji wa Arusha ni kubwa kati ya masikini na tajiri ukilinganisha na Mwanza.

Miundombinu na msingi bado mwanza inaongoza katika hili, kwa maana ya stendi bora za magari, mtandao wa barabara za mitaani, urahisi wa usafiri mfano uwepo wa costa nyingi, hiace na tax unlike Arusha ni hiace tu ndo nyingi wakati mwingine pia nauli hazitabiriki hasa jioni na ukiwa mjini lazima uzitafute zilipojirundika kama zizini kule kilombero stendi ya vumbi na ukiwa mgeni ni changamoto kubwa.

Mwanza ina hospitali kubwa ya rufaa ya bugando, kiwanja kikubwa cha ndege siyo airstrip, chuo kikuu kikubwa cha SAUT, Mall kubwa tz, usambazaji mkubwa wa huduma ya maji safi mjini, usafiri wa majini na biashara ya minofu ya samaki nje ya nchi, masoko mazuri n.k

City center(CBD) kati ya mwanza na Arusha kiufupi Arusha inachapwa mbali katika wingi wa idadi ya majengo ya ghorofa na coverage, shughuli za kibiashara na wingi wa watu, mpangilio wa CBD kwa mwanza tiyari unaelekea pazuri uwezi kukuta mrundikano wa huduma zote sehemu moja kama vile kijijini yaani hapohapo stendi ya mabasi ya mikoani pembeni kiwanja cha mpira, stendi kuu ya daladala ya vumbi, huku soko kuu hatua kidogo soko bovu la mitumba, mara makaburi yasiyojengewa wala kuwa na uzio nayo yapo city center,achilia mbali mrundikano wa guest bubu n.k

Mandhari, kiufupi katika hili kila jiji hapa lina sifa yake nzuri tofauti na lingine, Arusha ni mlima meru, hali ya kijani kibichi, majengo marefu kadhaa mazuri, mitaa kadhaa yenye mpangilio mzuri na magheto makali/yakifahari mfano njiro. Mwanza ni ile hali ya milima na nyumba juu ya miamba, ziwa Victoria,rock city mall, hifadhi ya kisiwa cha sanane, muonekano wa jiji nyakati za usiku hasa ukiwa sehemu za mlimani au ghorofani,kijani kibichi na hali ya hewa nzuri kwa mwaka mzima hakuna joto kali sana au vumbi la poda kama Arusha.

Future ya hapo baadae kwa miji hii itakavyokuwa bado ni kitendawili kwa Arusha kuipiku Mwanza kwa hizi major project zinazoendelea ikiwemo kufufua na kuimarisha miundombinu ya usafirishaji wa mizigo na watu ziwa Victoria hasa na Uganda pia kenya, daraja la busisi, soko la kisasa,stendi bora za kisasa, kiwanja cha kimataifa cha ndege, SGR, kuimarika kwa masoko na pato la biashara ya dhahabu, kuletwa kwa ndege za kusafirisha mizigo especially kwa ajili ya minofu ya samaki, kutambuliwa kwa kisesa kama mji na manispaa ndani ya jiji la mwanza, uwepo wa mpango wa kuwa na BRT achilia mbali ongezeko kubwa la idadi ya watu au birth rate kanda ya ziwa ukilinganisha na kaskazini n.k labda mji utakaompa mwanza challenge mbeleni ni Dodoma pekee na siyo Arusha.
 
Baada ya Dar,Jiji lenye aerial view ya maana ni Arusha na sio huo uchafu wa mwanza

Maelezo mengii pumba tu 🤣🤣
Hebu nitajie hizo manispaa mbili za Mwanza tuanzie hapo tu
Kabla hujaja kuniambia hiyo nyamagana imekua manispaa lini
Alafu usipende Mada za vijiweni basi mkuu
Arusha ni ya 3 Kwa viwanda vingi baada ya dar Na pwani uku Kuna Hadi viwanda vya kuassemble magari
Ondoka ziwani panawafanya mazwazwa
Shauri yako😎
 
Kwenye miundombinu Arusha kwa jiji la Mwanza inashikwa kwa kiganja kimoja inawekwa mfukoni,Arusha ni nyepesi sana kwa jiji la Mwanza.
Ukiacha miradi ya mabilioni inayotambulika kama Daraja kubwa kwa Tanzania Busisi,Meli kubwa ya mizigo na abiria,soko kubwa la kisasa linaendelea kujengwa,stendi mpya ya mabasi Nyegezi,S.G.R n,k.
Miradi mingine ipo mbioni kutekelezwa ni B.R.T.
Fly over pale mataa ya Buzuruga.
Fly over makutano ya Pamba na Kenyata road.
kutanuliwa kwa barabara 4ways kuanzia Usagara mpaka makutano ya Pamba na Kenyata road.
Kutanuliwa barabara 6ways kuanzia Kisesa Mpaka Nata.
Arusha subirini kwanza nyinyi bado kwa jiji la Mwanza.
 
Hahahaha angalieni huyu takataka kitu ameandika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wachagga watatetea upande wao, na wasukuma watatetea upande wao. Lakini kwa upande wangu Mwanza is the best, and second largest city in Tanzania, ni jiji zuri na lenye mandhari nzuri yenye kuvutia kuliko majiji yote in Tanzania.

Top 3 yangu
Mwanza 1
Dar 2
Mbeya 3

Top 5 yangu
Morogoro
Geita
Dodoma
Arusha
Tanga
Yaan umecomment kwa chuki ya hali ya juu
 
Kwenye miundombinu Arusha kwa jiji la Mwanza inashikwa kwa kiganja kimoja inawekwa mfukoni,Arusha ni nyepesi sana kwa jiji la Mwanza.
Ukiacha miradi ya mabilioni inayotambulika kama Daraja kubwa kwa Tanzania Busisi,Meli kubwa ya mizigo na abiria,soko kubwa la kisasa linaendelea kujengwa,stendi mpya ya mabasi Nyegezi,S.G.R n,k.
Miradi mingine ipo mbioni kutekelezwa ni B.R.T.
Fly over pale mataa ya Buzuruga.
Fly over makutano ya Pamba na Kenyata road.
kutanuliwa kwa barabara 4ways kuanzia Usagara mpaka makutano ya Pamba na Kenyata road.
Kutanuliwa barabara 6ways kuanzia Kisesa Mpaka Nata.
Arusha subirini kwanza nyinyi bado kwa jiji la Mwanza.
Angalieni na huyu takataka mwingine.
 
Mwanza ni mji mkubwa mno kuucompare na Arusha, zote zina manispaa mbili japo Arusha bado hata manispaa yake ya pili haijafikia hadhi kamili,

Mwanza unaonekana kama mji uliopooza kwa sababu ya kutokuwa na shughuli nyingi za utalii kama Arusha hivyo ukiwa mwanza usitegemee sana kupata huduma nyingi za starehe kama mahoteli ya kitalii, clubs, biashara ya vinyago na pombe,tour companies,kumbi kubwa za mikutano, na makao ya jumuiya mbalimbali.

Ila tofauti na hili la utalii ambalo Arusha inaongoza baada ya kuhodhi biashara ya utalii kutoka katika mikoa jirani mfano sehemu kubwa ya mbuga ya Serengeti ipo Mara lakini Mara haitambuliki wala haifaidiki, sawa na mapato na faida za kitalii za hifadhi ya mlima Kilimanjaro n.k

Hakuna kingine Arusha kama jiji unaweza kulicompare na Mwanza jiji ukianzia ukubwa wa mji yaani idadi ya makazi na watu, viwanda, shughuli mbalimbali za uchumi na biashara.

ubora wa makazi huwezi kukuta mwanza mjini mitaa kama ungalimited, sinoni, sombetini, matejoo nakadhalika ambapo kuna nyumba nyingi duni ambazo ni mchanganyiko wa mabanda ya tope, miti na mabati wanaishimo binadamu na ukiingia deep uswahilini ng'ombe wana mazizi mjini,

gharama za maisha mwanza ziko chini ukikompare na Arusha chumba cha tope uswahilini ni elfu 15 mpaka 30 hii kwa mwanza utakuwa kwenye chumba safi kabisa anachopaswa kuishi mwanadamu, achilia mbali hupatikanaji wa vyakula na huduma za msingi mtaani.

Posh areas (mitaa ya kidosi) hapa Arusha inaongoza ukilinganisha na Mwanza, hivyo gap la kipato katika mji wa Arusha ni kubwa kati ya masikini na tajiri ukilinganisha na Mwanza.

Miundombinu na msingi bado mwanza inaongoza katika hili, kwa maana ya stendi bora za magari, mtandao wa barabara za mitaani, urahisi wa usafiri mfano uwepo wa costa nyingi, hiace na tax unlike Arusha ni hiace tu ndo nyingi wakati mwingine pia nauli hazitabiriki hasa jioni na ukiwa mjini lazima uzitafute zilipojirundika kama zizini kule kilombero stendi ya vumbi na ukiwa mgeni ni changamoto kubwa.

Mwanza ina hospitali kubwa ya rufaa ya bugando, kiwanja kikubwa cha ndege siyo airstrip, chuo kikuu kikubwa cha SAUT, Mall kubwa tz, usambazaji mkubwa wa huduma ya maji safi mjini, usafiri wa majini na biashara ya minofu ya samaki nje ya nchi, masoko mazuri n.k

City center(CBD) kati ya mwanza na Arusha kiufupi Arusha inachapwa mbali katika wingi wa idadi ya majengo ya ghorofa na coverage, shughuli za kibiashara na wingi wa watu, mpangilio wa CBD kwa mwanza tiyari unaelekea pazuri uwezi kukuta mrundikano wa huduma zote sehemu moja kama vile kijijini yaani hapohapo stendi ya mabasi ya mikoani pembeni kiwanja cha mpira, stendi kuu ya daladala ya vumbi, huku soko kuu hatua kidogo soko bovu la mitumba, mara makaburi yasiyojengewa wala kuwa na uzio nayo yapo city center,achilia mbali mrundikano wa guest bubu n.k

Mandhari, kiufupi katika hili kila jiji hapa lina sifa yake nzuri tofauti na lingine, Arusha ni mlima meru, hali ya kijani kibichi, majengo marefu kadhaa mazuri, mitaa kadhaa yenye mpangilio mzuri na magheto makali/yakifahari mfano njiro. Mwanza ni ile hali ya milima na nyumba juu ya miamba, ziwa Victoria,rock city mall, hifadhi ya kisiwa cha sanane, muonekano wa jiji nyakati za usiku hasa ukiwa sehemu za mlimani au ghorofani,kijani kibichi na hali ya hewa nzuri kwa mwaka mzima hakuna joto kali sana au vumbi la poda kama Arusha.

Future ya hapo baadae kwa miji hii itakavyokuwa bado ni kitendawili kwa Arusha kuipiku Mwanza kwa hizi major project zinazoendelea ikiwemo kufufua na kuimarisha miundombinu ya usafirishaji wa mizigo na watu ziwa Victoria hasa na Uganda pia kenya, daraja la busisi, soko la kisasa,stendi bora za kisasa, kiwanja cha kimataifa cha ndege, SGR, kuimarika kwa masoko na pato la biashara ya dhahabu, kuletwa kwa ndege za kusafirisha mizigo especially kwa ajili ya minofu ya samaki, kutambuliwa kwa kisesa kama mji na manispaa ndani ya jiji la mwanza, uwepo wa mpango wa kuwa na BRT achilia mbali ongezeko kubwa la idadi ya watu au birth rate kanda ya ziwa ukilinganisha na kaskazini n.k labda mji utakaompa mwanza challenge mbeleni ni Dodoma pekee na siyo Arusha.
Kilichoifanya Arusha ionekana Na population ndogo ni city proper boundaries ambapo Kwa sensa ya 2012 ilikuwa Na 93kmsq Na population ya watu 416000 Mwanza ilikuwa Na watu 700000+ kwenye ukubwa wa 422sqkm sasa hivi arusha imeongezwa ukubwa Na inajumuisha halmashauri 3 kufikia 667sqm mwanza imebaki ile ile 422sqkm🤣 Sasa subiri sensa ya 2022 utaelewa nan mwanaume hii ni kama unaelewa sqkm ni nn maana watu wa Mwanza wengi bongolalaz
Population density arusha ni Zaidi ya watu 4300 Kwa sqkm ikishindana na manispaa za dar ndio maana mji unaonekana umechangamka mda wote wakati Mwanza ni 2100+kwa sqkm ndio maana mji umepoa mda wote utadhan uko makambako🤣
NB: Dodoma city proper area ina watu 241,000 tu inazidiwa Hadi Na morogoro Na mbeya ila kwenye sensa wameiongezea eneo ikijumuisha Hadi chamwino Na vijiji vingine Hadi kongwa kwenye eneo la ukubwa wa km za mraba 2500 kupata watu 410,000 yani mara 25 ya eneo la arusha yani ni kichekesho manake Hilo eneo ni mara 5 Zaidi ya Nairobi matara 4 ya eneo lote la dar ndio ikaonekana inaikaribia arusha ila kuifikia hata mbeya ni ndoto labda Kwa uzwazwa wako uwe unaongelea miundombinu
Sasa kwenye magorofa ndio umebugi kabisa hivi mwanza majengo yenye ghorofa 10 yanafika hata 10 arusha yako Zaidi ya ya 20 hebu jitafakari buana😎
Leo ngoja niwaonyeshe wanamwanza picha za mjini Na hizo barabara zenu finyu kama upo newala

Screenshot_20210421-101859.png

Screenshot_20210421-101656.png

arushs.jpg

Screenshot_20210421-182504.png

Screenshot_20210421-103812.png
 
Maelezo mengii pumba tu [emoji1787][emoji1787]
Hebu nitajie hizo manispaa mbili za Mwanza tuanzie hapo tu
Kabla hujaja kuniambia hiyo nyamagana imekua manispaa lini
Alafu usipende Mada za vijiweni basi mkuu
Arusha ni ya 3 Kwa viwanda vingi baada ya dar Na pwani uku Kuna Hadi viwanda vya kuassemble magari
Ondoka ziwani panawafanya mazwazwa
Shauri yako[emoji41]

Aisee sijuhi unaizungumzia Arusha ipi hii ambayo ina Arusha mjini na arumeru au nyingine? Kiufupi Nyamagana pekee inaimeza Arusha nzima pasina ubishi wowote.

Hiyo Arusha ambayo imejengeka linear barabarani ukitoka barabara kuu uvuki zaidi ya mitaa mitatu pembeni ujaona vichaka, ukitoka mianzini ukifika tu USA River jiji linaanza kukaribisha vichaka mpk maji ya chai kikatiti ni ful magepu, mashamba na vichaka

pia ukitokea karatu unashtukia uko kisongo ujameza hata funda la mate tiyari huko city center unakutana na vijana wasiojua kiswahili kizuri wanaokula ugoro,bangi na mirungi wakijidai wako chuganian kumbe ugumu wa maisha na huwa wengi exposure ni doro akibahatika kusafiri kaenda moshi au kazamia dar hapo kamaliza kabisa.

Umesema Arusha ni ya tatu kwa viwanda vitaje kwa majina yaani nahitaji baadhi ya viwanda vikubwa na vya kati tu na siyo viwanda vidogo vidogo, ukiacha hiyo ya kuassemble magari unayojinadi nayo nami nikutajie vya mwanza baadhi yaani vile vikubwa tu hili tuone kama utatoboa.
 
Kilichoifanya Arusha ionekana Na population ndogo ni city proper boundaries ambapo Kwa sensa ya 2012 ilikuwa Na 93kmsq Na population ya watu 416000 Mwanza ilikuwa Na watu 700000+ kwenye ukubwa wa 422sqkm sasa hivi arusha imeongezwa ukubwa Na inajumuisha halmashauri 3 kufikia 667sqm mwanza imebaki ile ile 422sqkm🤣 Sasa subiri sensa ya 2022 utaelewa nan mwanaume hii ni kama unaelewa sqkm ni nn maana watu wa Mwanza wengi bongolalaz
Population density arusha ni Zaidi ya watu 4300 Kwa sqkm ikishindana na manispaa za dar ndio maana mji unaonekana umechangamka mda wote wakati Mwanza ni 2100+kwa sqkm ndio maana mji umepoa mda wote utadhan uko makambako🤣
NB: Dodoma city proper area ina watu 241,000 tu inazidiwa Hadi Na morogoro Na mbeya ila kwenye sensa wameiongezea eneo ikijumuisha Hadi chamwino Na vijiji vingine Hadi kongwa kwenye eneo la ukubwa wa km za mraba 2500 kupata watu 410,000 yani mara 25 ya eneo la arusha yani ni kichekesho manake Hilo eneo ni mara 5 Zaidi ya Nairobi matara 4 ya eneo lote la dar ndio ikaonekana inaikaribia arusha ila kuifikia hata mbeya ni ndoto labda Kwa uzwazwa wako uwe unaongelea miundombinu
Sasa kwenye magorofa ndio umebugi kabisa hivi mwanza majengo yenye ghorofa 10 yanafika hata 10 arusha yako Zaidi ya ya 20 hebu jitafakari buana😎
Leo ngoja niwaonyeshe wanamwanza picha za mjini Na hizo barabara zenu finyu kama upo newala

View attachment 1762459

View attachment 1762460

View attachment 1762461

View attachment 1762462

View attachment 1762463

Aisee sijuhi unaizungumzia Arusha ipi hii ambayo ina Arusha mjini na arumeru au nyingine? Kiufupi Nyamagana pekee inaimeza Arusha nzima pasina ubishi wowote.

Hiyo Arusha ambayo imejengeka linear barabarani ukitoka barabara kuu uvuki zaidi ya mitaa mitatu pembeni ujaona vichaka, ukitoka mianzini ukifika tu USA River jiji linaanza kukaribisha vichaka mpk maji ya chai kikatiti ni ful magepu, mashamba na vichaka

pia ukitokea karatu unashtukia uko kisongo ujameza hata funda la mate tiyari huko city center unakutana na vijana wasiojua kiswahili kizuri wanaokula ugoro,bangi na mirungi wakijidai wako chuganian kumbe ugumu wa maisha na huwa wengi exposure ni doro akibahatika kusafiri kaenda moshi au kazamia dar hapo kamaliza kabisa.

Umesema Arusha ni ya tatu kwa viwanda vitaje kwa majina yaani nahitaji baadhi ya viwanda vikubwa na vya kati tu na siyo viwanda vidogo vidogo, ukiacha hiyo ya kuassemble magari unayojinadi nayo nami nikutajie vya mwanza baadhi yaani vile vikubwa tu hili tuone kama utatoboa.

Hahaaaaa.. .. alafu wanataka Kamoshi pia kapewe jiji 🤣🤣🤣 na kahama/Shinyanga na Geita tusemeje!!!!

🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
 
🤣🤣🤣Kwa uzwazwa wako mmezoea stori za vijiweni za kutajiana
Hivi mwanza Kuna kiwanda chenye kuajiri hata watu 7000
Na usikute huna taarifa kwamba mkoa wako Na pacha wake Geita ndio mnaongoza Kwa umaskini
Nyie ndio wale mnajichimbiaga vijiweni mnasema Mwanza inawatu million 4 😎 sijui mnaongeleaga idadi ya sangara

Screenshot_20210424-150641.png

Screenshot_20210424-150606.png
 
Hahaaaaa.. .. alafu wanataka Kamoshi pia kapewe jiji 🤣🤣🤣 na kahama/Shinyanga na Geita tusemeje!!!!

🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
Kweli mwendazake aliwashika akili nyie watoto wa iliyokuwa Kanda pendwa yani Kwa uzwazwa wako Moshi ni ya kuilinganisha Na Geita??🤣🤣

Screenshot_20210421-205534.png
 
Kilichoifanya Arusha ionekana Na population ndogo ni city proper boundaries ambapo Kwa sensa ya 2012 ilikuwa Na 93kmsq Na population ya watu 416000 Mwanza ilikuwa Na watu 700000+ kwenye ukubwa wa 422sqkm sasa hivi arusha imeongezwa ukubwa Na inajumuisha halmashauri 3 kufikia 667sqm mwanza imebaki ile ile 422sqkm[emoji1787] Sasa subiri sensa ya 2022 utaelewa nan mwanaume hii ni kama unaelewa sqkm ni nn maana watu wa Mwanza wengi bongolalaz
Population density arusha ni Zaidi ya watu 4300 Kwa sqkm ikishindana na manispaa za dar ndio maana mji unaonekana umechangamka mda wote wakati Mwanza ni 2100+kwa sqkm ndio maana mji umepoa mda wote utadhan uko makambako[emoji1787]
NB: Dodoma city proper area ina watu 241,000 tu inazidiwa Hadi Na morogoro Na mbeya ila kwenye sensa wameiongezea eneo ikijumuisha Hadi chamwino Na vijiji vingine Hadi kongwa kwenye eneo la ukubwa wa km za mraba 2500 kupata watu 410,000 yani mara 25 ya eneo la arusha yani ni kichekesho manake Hilo eneo ni mara 5 Zaidi ya Nairobi matara 4 ya eneo lote la dar ndio ikaonekana inaikaribia arusha ila kuifikia hata mbeya ni ndoto labda Kwa uzwazwa wako uwe unaongelea miundombinu
Sasa kwenye magorofa ndio umebugi kabisa hivi mwanza majengo yenye ghorofa 10 yanafika hata 10 arusha yako Zaidi ya ya 20 hebu jitafakari buana[emoji41]
Leo ngoja niwaonyeshe wanamwanza picha za mjini Na hizo barabara zenu finyu kama upo newala

View attachment 1762459

View attachment 1762460

View attachment 1762461

View attachment 1762462

View attachment 1762463

Umesingizia size ya jiji kuwa imefinywa katika sensa ya 2012 lakini umeogopa kusema kuwa sababu ni kuwa Arusha ilikuwa haijafikia kuwa jiji ila ilifosiwa tu kipindi hicho jiji linaishia pale mtoni penye kibao, anyway hivi sasa jiji lote litahesabiwa pande zote mpaka vitongoji vya nje huko vijijini ukivuka ngaramtoni murieti, kikatiti, minjingu na kambi za jeshi monduli na bado mwanza itawatandika vizuri tu.

Umesema mnaizidi mwanza per square kilometres inayodhihirisha kusongamana katika eneo dogo kwa maana jiji la Arusha ni dogo kwa mwanza kuanzia population mpaka makazi hivyo hili si jambo zuri bali udhihirisha kuwa uswazi/slums ni nyingi Arusha kuliko mwanza ambako hamna kabisa hali hii na watu wamejenga vizuri kwa kuachiana nafasi ndiyo maana mwanza kunapendeza zaidi mitaani na hivyo uko sawa kujilinganisha na mji kama dar ambao pia umesongamana mno na eneo kubwa limetawaliwa na ujenzi holela.

Naona kwenye miundombinu tiyari mmesha hanya mdogo mdogo tutaelewana, nimeona unauliza swali la kitoto eti ghorofa above 10 mwanza hazivuki 10 eti Arusha zipo zaidi ya 20, sidhani kama ulishafika mwanza zaidi ya kujiliwaza kuijua mitandaoni,

kwa taarifa yako mwanza huwa haipendezi through aerial photographs kwa sababu ya jiografia ya eneo husika lakini ground level usilinganishe na ujinga wa jogoo house, sijui benki ya Azania na vigorofa vitatu vinne pale kuzunguka stendi, impala,jengo moja refu pale njiro, jengo refu mkabala na annex hotel,jengo jipya pale seven up mtaa wa charity, ngorongoro+ palace hotel kama sijakosea, sijui kama nimebakisha viaminio vingine. Hivyo sioni Arusha itajikakamua kwa lipi labda utuletee picha za hayo majengo marefu above 10 ishirini hili tuthibitishe na siyo maneno matupu na aerial photograph zisizoonesha uhalisia.
 
Back
Top Bottom