instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,612
- 19,818
Wew hiz takwimu unazitoa wap. Ushachukua cha Arusha tayari.Kilichoifanya Arusha ionekana Na population ndogo ni city proper boundaries ambapo Kwa sensa ya 2012 ilikuwa Na 93kmsq Na population ya watu 416000 Mwanza ilikuwa Na watu 700000+ kwenye ukubwa wa 422sqkm sasa hivi arusha imeongezwa ukubwa Na inajumuisha halmashauri 3 kufikia 667sqm mwanza imebaki ile ile 422sqkm[emoji1787] Sasa subiri sensa ya 2022 utaelewa nan mwanaume hii ni kama unaelewa sqkm ni nn maana watu wa Mwanza wengi bongolalaz
Population density arusha ni Zaidi ya watu 4300 Kwa sqkm ikishindana na manispaa za dar ndio maana mji unaonekana umechangamka mda wote wakati Mwanza ni 2100+kwa sqkm ndio maana mji umepoa mda wote utadhan uko makambako[emoji1787]
NB: Dodoma city proper area ina watu 241,000 tu inazidiwa Hadi Na morogoro Na mbeya ila kwenye sensa wameiongezea eneo ikijumuisha Hadi chamwino Na vijiji vingine Hadi kongwa kwenye eneo la ukubwa wa km za mraba 2500 kupata watu 410,000 yani mara 25 ya eneo la arusha yani ni kichekesho manake Hilo eneo ni mara 5 Zaidi ya Nairobi matara 4 ya eneo lote la dar ndio ikaonekana inaikaribia arusha ila kuifikia hata mbeya ni ndoto labda Kwa uzwazwa wako uwe unaongelea miundombinu
Sasa kwenye magorofa ndio umebugi kabisa hivi mwanza majengo yenye ghorofa 10 yanafika hata 10 arusha yako Zaidi ya ya 20 hebu jitafakari buana[emoji41]
Leo ngoja niwaonyeshe wanamwanza picha za mjini Na hizo barabara zenu finyu kama upo newala
View attachment 1762459
View attachment 1762460
View attachment 1762461
View attachment 1762462
View attachment 1762463
Yaan population density mnazidiwa na kagera na Kilimanjaro.
Hebu soma report hii vzr ya nbs