Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa uzwazwa wako mmezoea stori za vijiweni za kutajiana
Hivi mwanza Kuna kiwanda chenye kuajiri hata watu 7000
Na usikute huna taarifa kwamba mkoa wako Na pacha wake Geita ndio mnaongoza Kwa umaskini
Nyie ndio wale mnajichimbiaga vijiweni mnasema Mwanza inawatu million 4 [emoji41] sijui mnaongeleaga idadi ya sangara

View attachment 1762482

View attachment 1762483
Bado unakwepa jambo la msingi unaniletea vitakwimu uchwara vya 2013, nimekwambia utaje ni viwanda vipi hivyo mlivyonavyo unaishia kumbwelambwela tu huna lolote, hili ni tatizo lakujifanya wajuaji lakini vichwani hamna kitu na nje ya mikoa yenu hamjui chochote zaidi ya kuamini Mwanza wanaishi watu washamba na masikini kumbe hamjui nje ya neno mwanza kama jiji kuna wilaya zake pia ambazo ndo zinazochangia umasikini huo zikijumuishwa.

kiufupi huko kaskazini anayeheshimika ni mchagga tu sababu ya biashara na kidogo wapare wamesomasoma pia na wala siyo murangi,muarusha,mwiraki, mmeru au mmasai tukitoboa sana ni matour guide au tunatorosha madini ya tanzanite hawa ni kundi moja tu na wasukuma ambao ni wakulima na magwiji wa biashara ya dhahabu hivyo hatuchekani.
 
Umesingizia size ya jiji kuwa imefinywa katika sensa ya 2012 lakini umeogopa kusema kuwa sababu ni kuwa Arusha ilikuwa haijafikia kuwa jiji ila ilifosiwa tu kipindi hicho jiji linaishia pale mtoni penye kibao, anyway hivi sasa jiji lote litahesabiwa pande zote mpaka vitongoji vya nje huko vijijini ukivuka ngaramtoni murieti, kikatiti, minjingu na kambi za jeshi monduli na bado mwanza itawatandika vizuri tu.

Umesema mnaizidi mwanza per square kilometres inayodhihirisha kusongamana katika eneo dogo kwa maana jiji la Arusha ni dogo kwa mwanza kuanzia population mpaka makazi hivyo hili si jambo zuri bali udhihirisha kuwa uswazi/slums ni nyingi Arusha kuliko mwanza ambako hamna kabisa hali hii na watu wamejenga vizuri kwa kuachiana nafasi ndiyo maana mwanza kunapendeza zaidi mitaani na hivyo uko sawa kujilinganisha na mji kama dar ambao pia umesongamana mno na eneo kubwa limetawaliwa na ujenzi holela.

Naona kwenye miundombinu tiyari mmesha hanya mdogo mdogo tutaelewana, nimeona unauliza swali la kitoto eti ghorofa above 10 mwanza hazivuki 10 eti Arusha zipo zaidi ya 20, sidhani kama ulishafika mwanza zaidi ya kujiliwaza kuijua mitandaoni,

kwa taarifa yako mwanza huwa haipendezi through aerial photographs kwa sababu ya jiografia ya eneo husika lakini ground level usilinganishe na ujinga wa jogoo house, sijui benki ya Azania na vigorofa vitatu vinne pale kuzunguka stendi, impala,jengo moja refu pale njiro, jengo refu mkabala na annex hotel,jengo jipya pale seven up mtaa wa charity, ngorongoro+ palace hotel kama sijakosea, sijui kama nimebakisha viaminio vingine. Hivyo sioni Arusha itajikakamua kwa lipi labda utuletee picha za hayo majengo marefu above 10 ishirini hili tuthibitishe na siyo maneno matupu na aerial photograph zisizoonesha uhalisia.
Umejibu vyema
Arusha ilinyanganywa hadhi ya Jiji 2005 Na hiyo ni kutokana Na mvutano baina ya halmashauri ya arusha dc, meru Na arusha manispaa wakati huo hizo halmashauri zingine walikataa kumega baadhi ya maeneo Yao ili kuingizwa ndani ya manispaa ili kuipatia hadhi ya Jiji Hadi baada ya sensa mwaka 2012 serikali ya Jk wakaona haina namna haiwezekani arusha yenye kmsq 93 iwe Na watu 416000 wakati ilemela ina kmsq237 ina watu 365000 tu mbeya ina kmsq 685 haina hata watu 400000 Dodoma kwenye 2500sqkm ndio kwanza ina 410000
2014 masterplans za arusha Na Mwanza ziliandaliwa Na kupitishwa kisheria arusha kuwa Na 600+sqkm kwenye halmashauri 3 za arusha cc, arusha dc Na meru dc mwanza zimebaki zile zile 422sqkm🤣🤣 subiri sensa ya mwakani tutakimbiana humu
Alafu braza usiwe mvivu wa kuchanganua mambo wewe nenda Google maps weka satellite view alafu uangalie Arusha Na hicho Kijiji chenu nan Zaidi
NB: USIJISAHAULISHE UNATOKA KWENYE MKOA MASKINI AFRIKA 😎
 
Umesingizia size ya jiji kuwa imefinywa katika sensa ya 2012 lakini umeogopa kusema kuwa sababu ni kuwa Arusha ilikuwa haijafikia kuwa jiji ila ilifosiwa tu kipindi hicho jiji linaishia pale mtoni penye kibao, anyway hivi sasa jiji lote litahesabiwa pande zote mpaka vitongoji vya nje huko vijijini ukivuka ngaramtoni murieti, kikatiti, minjingu na kambi za jeshi monduli na bado mwanza itawatandika vizuri tu.

Umesema mnaizidi mwanza per square kilometres inayodhihirisha kusongamana katika eneo dogo kwa maana jiji la Arusha ni dogo kwa mwanza kuanzia population mpaka makazi hivyo hili si jambo zuri bali udhihirisha kuwa uswazi/slums ni nyingi Arusha kuliko mwanza ambako hamna kabisa hali hii na watu wamejenga vizuri kwa kuachiana nafasi ndiyo maana mwanza kunapendeza zaidi mitaani na hivyo uko sawa kujilinganisha na mji kama dar ambao pia umesongamana mno na eneo kubwa limetawaliwa na ujenzi holela.

Naona kwenye miundombinu tiyari mmesha hanya mdogo mdogo tutaelewana, nimeona unauliza swali la kitoto eti ghorofa above 10 mwanza hazivuki 10 eti Arusha zipo zaidi ya 20, sidhani kama ulishafika mwanza zaidi ya kujiliwaza kuijua mitandaoni,

kwa taarifa yako mwanza huwa haipendezi through aerial photographs kwa sababu ya jiografia ya eneo husika lakini ground level usilinganishe na ujinga wa jogoo house, sijui benki ya Azania na vigorofa vitatu vinne pale kuzunguka stendi, impala,jengo moja refu pale njiro, jengo refu mkabala na annex hotel,jengo jipya pale seven up mtaa wa charity, ngorongoro+ palace hotel kama sijakosea, sijui kama nimebakisha viaminio vingine. Hivyo sioni Arusha itajikakamua kwa lipi labda utuletee picha za hayo majengo marefu above 10 ishirini hili tuthibitishe na siyo maneno matupu na aerial photograph zisizoonesha uhalisia.
Unajikuta eti Na wewe unapajua mjin🤣🤣
Zwazwa wa ziwani tangu lini akaja mjini Na kama ulikuja ulifikia Kwa shangazi yako eti impala kwahio impala ina gorofa 10
We Taja list yako ya uko ziwani nmekuambia nitajie 10 tu yenye 10 floors mi nakupa 20😎
Mji wenyewe umepoa barabara finyu ukitoka usagara town uende Tena kisesa umeimaliza Tena hapo nimekupendelea manake kisesa iko magu usagara iko misungwi
Bongo lalaz nyie Hadi mall mnajengewa Na serikali bado occupany yake hata 80% haifiki
 
Unajikuta eti Na wewe unapajua mjin[emoji1787][emoji1787]
Zwazwa wa ziwani tangu lini akaja mjini Na kama ulikuja ulifikia Kwa shangazi yako eti impala kwahio impala ina gorofa 10
We Taja list yako ya uko ziwani nmekuambia nitajie 10 tu yenye 10 floors mi nakupa 20[emoji41]
Mji wenyewe umepoa barabara finyu ukitoka usagara town uende Tena kisesa umeimaliza Tena hapo nimekupendelea manake kisesa iko magu usagara iko misungwi
Bongo lalaz nyie Hadi mall mnajengewa Na serikali bado occupany yake hata 80% haifiki

We kweli maandazi sikujua najibishana na mtu mwenye upeo mdogo namna hii.
 
Mwanza ni mji mkubwa mno kuucompare na Arusha, zote zina manispaa mbili japo Arusha bado hata manispaa yake ya pili haijafikia hadhi kamili,

Mwanza unaonekana kama mji uliopooza kwa sababu ya kutokuwa na shughuli nyingi za utalii kama Arusha hivyo ukiwa mwanza usitegemee sana kupata huduma nyingi za starehe kama mahoteli ya kitalii, clubs, biashara ya vinyago na pombe,tour companies,kumbi kubwa za mikutano, na makao ya jumuiya mbalimbali.

Ila tofauti na hili la utalii ambalo Arusha inaongoza baada ya kuhodhi biashara ya utalii kutoka katika mikoa jirani mfano sehemu kubwa ya mbuga ya Serengeti ipo Mara lakini Mara haitambuliki wala haifaidiki, sawa na mapato na faida za kitalii za hifadhi ya mlima Kilimanjaro n.k

Hakuna kingine Arusha kama jiji unaweza kulicompare na Mwanza jiji ukianzia ukubwa wa mji yaani idadi ya makazi na watu, viwanda, shughuli mbalimbali za uchumi na biashara.

ubora wa makazi huwezi kukuta mwanza mjini mitaa kama ungalimited, sinoni, sombetini, matejoo nakadhalika ambapo kuna nyumba nyingi duni ambazo ni mchanganyiko wa mabanda ya tope, miti na mabati wanaishimo binadamu na ukiingia deep uswahilini ng'ombe wana mazizi mjini,

gharama za maisha mwanza ziko chini ukikompare na Arusha chumba cha tope uswahilini ni elfu 15 mpaka 30 hii kwa mwanza utakuwa kwenye chumba safi kabisa anachopaswa kuishi mwanadamu, achilia mbali hupatikanaji wa vyakula na huduma za msingi mtaani.

Posh areas (mitaa ya kidosi) hapa Arusha inaongoza ukilinganisha na Mwanza, hivyo gap la kipato katika mji wa Arusha ni kubwa kati ya masikini na tajiri ukilinganisha na Mwanza.

Miundombinu na msingi bado mwanza inaongoza katika hili, kwa maana ya stendi bora za magari, mtandao wa barabara za mitaani, urahisi wa usafiri mfano uwepo wa costa nyingi, hiace na tax unlike Arusha ni hiace tu ndo nyingi wakati mwingine pia nauli hazitabiriki hasa jioni na ukiwa mjini lazima uzitafute zilipojirundika kama zizini kule kilombero stendi ya vumbi na ukiwa mgeni ni changamoto kubwa.

Mwanza ina hospitali kubwa ya rufaa ya bugando, kiwanja kikubwa cha ndege siyo airstrip, chuo kikuu kikubwa cha SAUT, Mall kubwa tz, usambazaji mkubwa wa huduma ya maji safi mjini, usafiri wa majini na biashara ya minofu ya samaki nje ya nchi, masoko mazuri n.k

City center(CBD) kati ya mwanza na Arusha kiufupi Arusha inachapwa mbali katika wingi wa idadi ya majengo ya ghorofa na coverage, shughuli za kibiashara na wingi wa watu, mpangilio wa CBD kwa mwanza tiyari unaelekea pazuri uwezi kukuta mrundikano wa huduma zote sehemu moja kama vile kijijini yaani hapohapo stendi ya mabasi ya mikoani pembeni kiwanja cha mpira, stendi kuu ya daladala ya vumbi, huku soko kuu hatua kidogo soko bovu la mitumba, mara makaburi yasiyojengewa wala kuwa na uzio nayo yapo city center,achilia mbali mrundikano wa guest bubu n.k

Mandhari, kiufupi katika hili kila jiji hapa lina sifa yake nzuri tofauti na lingine, Arusha ni mlima meru, hali ya kijani kibichi, majengo marefu kadhaa mazuri, mitaa kadhaa yenye mpangilio mzuri na magheto makali/yakifahari mfano njiro. Mwanza ni ile hali ya milima na nyumba juu ya miamba, ziwa Victoria,rock city mall, hifadhi ya kisiwa cha sanane, muonekano wa jiji nyakati za usiku hasa ukiwa sehemu za mlimani au ghorofani,kijani kibichi na hali ya hewa nzuri kwa mwaka mzima hakuna joto kali sana au vumbi la poda kama Arusha.

Future ya hapo baadae kwa miji hii itakavyokuwa bado ni kitendawili kwa Arusha kuipiku Mwanza kwa hizi major project zinazoendelea ikiwemo kufufua na kuimarisha miundombinu ya usafirishaji wa mizigo na watu ziwa Victoria hasa na Uganda pia kenya, daraja la busisi, soko la kisasa,stendi bora za kisasa, kiwanja cha kimataifa cha ndege, SGR, kuimarika kwa masoko na pato la biashara ya dhahabu, kuletwa kwa ndege za kusafirisha mizigo especially kwa ajili ya minofu ya samaki, kutambuliwa kwa kisesa kama mji na manispaa ndani ya jiji la mwanza, uwepo wa mpango wa kuwa na BRT achilia mbali ongezeko kubwa la idadi ya watu au birth rate kanda ya ziwa ukilinganisha na kaskazini n.k labda mji utakaompa mwanza challenge mbeleni ni Dodoma pekee na siyo Arusha.
Porojo tuu unaleta,weka picha tuone

Barabara gani za maana inazo Mwanza? Kuwa nyingi ni sababu ya kuwa na mitaa mingi ila quality hata wewe unajua

Kama ni airport hiyo KIA ina serve zaidi Arusha kuliko huko Kilanjaro sasa ukichanganya na ile Arusha airport nadhani unajua wapi kuko busy.

Huko Mwanza kumepoa kwa sababu Mji umejaa maskini hakuna misheni town za kufanya na si kusingizia utalii.Yaani hata Mbeya iko busy kuliko Mwanza.

Vyuo na malls hicho kijiji kikubwa cha Mwanza hakiwezi kusogeza pua kwa Arusha,ndio maana hata kale ka mall kamoja kako empty,wasukuma na mall wapi na wapi.

Ukija kwenye majengo ya ghorofa na muonekano wa Mji,Arusha inapendeza kwa sababu ina majengo marefu mengi na kila siku yanajengwa ukilinganisha na Mwanza,ina kajengo karefu kamoja na many dwarf ugly buildings

Kiufupi Mwanza inaizidi Arusha wingi wa maskini mjini na ushamba tuu
 
Kwenye miundombinu Arusha kwa jiji la Mwanza inashikwa kwa kiganja kimoja inawekwa mfukoni,Arusha ni nyepesi sana kwa jiji la Mwanza.
Ukiacha miradi ya mabilioni inayotambulika kama Daraja kubwa kwa Tanzania Busisi,Meli kubwa ya mizigo na abiria,soko kubwa la kisasa linaendelea kujengwa,stendi mpya ya mabasi Nyegezi,S.G.R n,k.
Miradi mingine ipo mbioni kutekelezwa ni B.R.T.
Fly over pale mataa ya Buzuruga.
Fly over makutano ya Pamba na Kenyata road.
kutanuliwa kwa barabara 4ways kuanzia Usagara mpaka makutano ya Pamba na Kenyata road.
Kutanuliwa barabara 6ways kuanzia Kisesa Mpaka Nata.
Arusha subirini kwanza nyinyi bado kwa jiji la Mwanza.
Kila Mji una miradi iliko mbioni,ukiambiwa onyesha dual road kama ile ya Arusha mnayo nyie?

Miundombinu ndugu yangu kila Mji itajengwa ni ishu ya wapi inaanza na wapi inafuata mf.kama ni masoko au stand arusha iko mbioni kujenga,kule hakuna ziwa hadi uzungumzie meli hapa..unaweweseka vibaya
 
Kilichoifanya Arusha ionekana Na population ndogo ni city proper boundaries ambapo Kwa sensa ya 2012 ilikuwa Na 93kmsq Na population ya watu 416000 Mwanza ilikuwa Na watu 700000+ kwenye ukubwa wa 422sqkm sasa hivi arusha imeongezwa ukubwa Na inajumuisha halmashauri 3 kufikia 667sqm mwanza imebaki ile ile 422sqkm[emoji1787] Sasa subiri sensa ya 2022 utaelewa nan mwanaume hii ni kama unaelewa sqkm ni nn maana watu wa Mwanza wengi bongolalaz
Population density arusha ni Zaidi ya watu 4300 Kwa sqkm ikishindana na manispaa za dar ndio maana mji unaonekana umechangamka mda wote wakati Mwanza ni 2100+kwa sqkm ndio maana mji umepoa mda wote utadhan uko makambako[emoji1787]
NB: Dodoma city proper area ina watu 241,000 tu inazidiwa Hadi Na morogoro Na mbeya ila kwenye sensa wameiongezea eneo ikijumuisha Hadi chamwino Na vijiji vingine Hadi kongwa kwenye eneo la ukubwa wa km za mraba 2500 kupata watu 410,000 yani mara 25 ya eneo la arusha yani ni kichekesho manake Hilo eneo ni mara 5 Zaidi ya Nairobi matara 4 ya eneo lote la dar ndio ikaonekana inaikaribia arusha ila kuifikia hata mbeya ni ndoto labda Kwa uzwazwa wako uwe unaongelea miundombinu
Sasa kwenye magorofa ndio umebugi kabisa hivi mwanza majengo yenye ghorofa 10 yanafika hata 10 arusha yako Zaidi ya ya 20 hebu jitafakari buana[emoji41]
Leo ngoja niwaonyeshe wanamwanza picha za mjini Na hizo barabara zenu finyu kama upo newala

View attachment 1762459

View attachment 1762460

View attachment 1762461

View attachment 1762462

View attachment 1762463
Kwanza picha zinavutia,,afu sensa ya 2012 Arusha ilitumia mipaka ya Manispaa nadhani taswira halisi itapatikana kwenye sensa ya 2022

Ujue huwa nasikia raha Sana naposafiri kwenda Arusha,Dar au Dom

Ile ushawishi wa Jiji unaanzia mbali sana kiasi kwamba kila kijiji au Mji ulio karibu na Miji hiyo unaanza kukutana na maendeleo makubwa hasa makazi kama magorofa nk

Tofauti na unavyoenda Mwanza ni mpaka uingie mjini kabisa ndio unaanza kuona sura ya jiji
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa uzwazwa wako mmezoea stori za vijiweni za kutajiana
Hivi mwanza Kuna kiwanda chenye kuajiri hata watu 7000
Na usikute huna taarifa kwamba mkoa wako Na pacha wake Geita ndio mnaongoza Kwa umaskini
Nyie ndio wale mnajichimbiaga vijiweni mnasema Mwanza inawatu million 4 [emoji41] sijui mnaongeleaga idadi ya sangara

View attachment 1762482

View attachment 1762483
Ukigusa sekta ya viwanda unawaoneo wasukuma ndugu yangu ,wao waambie wanaongoza kwa masoko na watu
 
Licha ya Tanzania kuongoza Afrika Mashariki kwa wageni wanaotalii mbugani, bado Utalii wa Ndani, umeendelea kuwa chini kulinganisha na Nchi nyingine kama Kenya na hivyo kuendelea kudumaaa kwa Sekta ya Usafirishaji na ya Huduma hasa Mahoteli katika maeneo yaliyo mbali na Kanda Kuu za Kiutalii nchini za Northern Tourism Circuit - Arusha, Moshi, Mto wa Mbu na Karatu, pamoja na Visiwa vya Zanzibar. Tanzania ina utajiri mkubwa wa maliasili na vivutio vingi vya kitalii wa ndani, vinavyoweza kutangazwa kwa njia ya kushindanisha ubora wa Kanda mbalimbali nchini.

Jiji la Mwanza ni epicenter ya Kanda ya Ziwa inayoundwa na Mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Mara, Kagera, Simiyu na Geita. Lina influence pia kwa Mikoa ya Kigoma na Tabora.

Jiji la Arusha ni epicenter ya Kanda ya Kaskazini inayoundwa na Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Tanga. Lina influence pia kwa Singida (na Dodoma kipindi cha nyuma).

Tafadhari weka bandiko lako lenye picha ama data ili kuweza kujenga vyema hoja iliyopo mezani. Hivyo, utakuwa vyema ikiweka suala lolote, lazima lijibiwe na Kanda nyingine ili kuleta ulinganishi.

Vigezo vya kushindanisha Majiji haya vipo hapo chini.
View attachment 806199
1. Watu wa Mwanza ni washamba compared na Arusha, yaani Arusha ni wajanja sana from way they dress na Maisha kwa ujumla.

2. Sehemu za ku chill, Arusha wapo juu, maeneo kibao na classic ya ku chill Mwanza is only Malaika na capri.

3. Wanawake wa Arusha ni very beautiful compared to Mwanza. Mademu wa mwanza not look good wapo wapo tu khaaaa....

4. Mitaa ya Mwanza mingi ipo milimani bila mpangilio. Fyuuuuuu.

Ongeza yako.......
 
Umejibu vyema
Arusha ilinyanganywa hadhi ya Jiji 2005 Na hiyo ni kutokana Na mvutano baina ya halmashauri ya arusha dc, meru Na arusha manispaa wakati huo hizo halmashauri zingine walikataa kumega baadhi ya maeneo Yao ili kuingizwa ndani ya manispaa ili kuipatia hadhi ya Jiji Hadi baada ya sensa mwaka 2012 serikali ya Jk wakaona haina namna haiwezekani arusha yenye kmsq 93 iwe Na watu 416000 wakati ilemela ina kmsq237 ina watu 365000 tu mbeya ina kmsq 685 haina hata watu 400000 Dodoma kwenye 2500sqkm ndio kwanza ina 410000
2014 masterplans za arusha Na Mwanza ziliandaliwa Na kupitishwa kisheria arusha kuwa Na 600+sqkm kwenye halmashauri 3 za arusha cc, arusha dc Na meru dc mwanza zimebaki zile zile 422sqkm[emoji1787][emoji1787] subiri sensa ya mwakani tutakimbiana humu
Alafu braza usiwe mvivu wa kuchanganua mambo wewe nenda Google maps weka satellite view alafu uangalie Arusha Na hicho Kijiji chenu nan Zaidi
NB: USIJISAHAULISHE UNATOKA KWENYE MKOA MASKINI AFRIKA [emoji41]
Tuache ushabiki pembeni. Mwanza ni kubwa na imeendelea zaidi kuliko Arusha.

Naskia wanataka kuanzisha manispaa ya kisesa mwanza inapanuka sana
 
1. Watu wa Mwanza ni washamba compared na Arusha, yaani Arusha ni wajanja sana from way they dress na Maisha kwa ujumla.

2. Sehemu za ku chill, Arusha wapo juu, maeneo kibao na classic ya ku chill Mwanza is only Malaika na capri.

3. Wanawake wa Arusha ni very beautiful compared to Mwanza. Mademu wa mwanza not look good wapo wapo tu khaaaa....

4. Mitaa ya Mwanza mingi ipo milimani bila mpangilio. Fyuuuuuu.

Ongeza yako.......
Washamba wapo Arusha,uvaaji gani sasahuu.ukivaa namna hii unawathibitishia watu pasinashaka wewe ni mwehu.
images (1).jpg
 
Porojo tuu unaleta,weka picha tuone

Barabara gani za maana inazo Mwanza? Kuwa nyingi ni sababu ya kuwa na mitaa mingi ila quality hata wewe unajua

Kama ni airport hiyo KIA ina serve zaidi Arusha kuliko huko Kilanjaro sasa ukichanganya na ile Arusha airport nadhani unajua wapi kuko busy.

Huko Mwanza kumepoa kwa sababu Mji umejaa maskini hakuna misheni town za kufanya na si kusingizia utalii.Yaani hata Mbeya iko busy kuliko Mwanza.

Vyuo na malls hicho kijiji kikubwa cha Mwanza hakiwezi kusogeza pua kwa Arusha,ndio maana hata kale ka mall kamoja kako empty,wasukuma na mall wapi na wapi.

Ukija kwenye majengo ya ghorofa na muonekano wa Mji,Arusha inapendeza kwa sababu ina majengo marefu mengi na kila siku yanajengwa ukilinganisha na Mwanza,ina kajengo karefu kamoja na many dwarf ugly buildings

Kiufupi Mwanza inaizidi Arusha wingi wa maskini mjini na ushamba tuu
Kwa maelezo zaidi waone hapa
 
Porojo tuu unaleta,weka picha tuone

Barabara gani za maana inazo Mwanza? Kuwa nyingi ni sababu ya kuwa na mitaa mingi ila quality hata wewe unajua

Kama ni airport hiyo KIA ina serve zaidi Arusha kuliko huko Kilanjaro sasa ukichanganya na ile Arusha airport nadhani unajua wapi kuko busy.

Huko Mwanza kumepoa kwa sababu Mji umejaa maskini hakuna misheni town za kufanya na si kusingizia utalii.Yaani hata Mbeya iko busy kuliko Mwanza.

Vyuo na malls hicho kijiji kikubwa cha Mwanza hakiwezi kusogeza pua kwa Arusha,ndio maana hata kale ka mall kamoja kako empty,wasukuma na mall wapi na wapi.

Ukija kwenye majengo ya ghorofa na muonekano wa Mji,Arusha inapendeza kwa sababu ina majengo marefu mengi na kila siku yanajengwa ukilinganisha na Mwanza,ina kajengo karefu kamoja na many dwarf ugly buildings

Kiufupi Mwanza inaizidi Arusha wingi wa maskini mjini na ushamba tuu
Kwa maelezo zaidi waone hapa
Tuache ushabiki pembeni. Mwanza ni kubwa na imeendelea zaidi kuliko Arusha.

Naskia wanataka kuanzisha manispaa ya kisesa mwanza inapanuka sana
Hiyo nyamagana yenyewe haijawa manispaa ndio hiyo kisesa
Acha kuota ndugu
 
Bangi za Arusha zinafanya watu vibaya.
Tuache utani huwezi linganisha mwanza na Arusha
images%20(18).jpg
images%20(19).jpg
images%20(20).jpg
images%20(21).jpg
images%20(22).jpg
 
Kilichoifanya Arusha ionekana Na population ndogo ni city proper boundaries ambapo Kwa sensa ya 2012 ilikuwa Na 93kmsq Na population ya watu 416000 Mwanza ilikuwa Na watu 700000+ kwenye ukubwa wa 422sqkm sasa hivi arusha imeongezwa ukubwa Na inajumuisha halmashauri 3 kufikia 667sqm mwanza imebaki ile ile 422sqkm[emoji1787] Sasa subiri sensa ya 2022 utaelewa nan mwanaume hii ni kama unaelewa sqkm ni nn maana watu wa Mwanza wengi bongolalaz
Population density arusha ni Zaidi ya watu 4300 Kwa sqkm ikishindana na manispaa za dar ndio maana mji unaonekana umechangamka mda wote wakati Mwanza ni 2100+kwa sqkm ndio maana mji umepoa mda wote utadhan uko makambako[emoji1787]
NB: Dodoma city proper area ina watu 241,000 tu inazidiwa Hadi Na morogoro Na mbeya ila kwenye sensa wameiongezea eneo ikijumuisha Hadi chamwino Na vijiji vingine Hadi kongwa kwenye eneo la ukubwa wa km za mraba 2500 kupata watu 410,000 yani mara 25 ya eneo la arusha yani ni kichekesho manake Hilo eneo ni mara 5 Zaidi ya Nairobi matara 4 ya eneo lote la dar ndio ikaonekana inaikaribia arusha ila kuifikia hata mbeya ni ndoto labda Kwa uzwazwa wako uwe unaongelea miundombinu
Sasa kwenye magorofa ndio umebugi kabisa hivi mwanza majengo yenye ghorofa 10 yanafika hata 10 arusha yako Zaidi ya ya 20 hebu jitafakari buana[emoji41]
Leo ngoja niwaonyeshe wanamwanza picha za mjini Na hizo barabara zenu finyu kama upo newala

View attachment 1762459

View attachment 1762460

View attachment 1762461

View attachment 1762462

View attachment 1762463
Nyamagana peke yake inatosha kuisambaratisha Arusha yote
images%20(23).jpg
 
Back
Top Bottom