Ni Sato Na sangara au ni kuzalianaš¤£Kwahio mlichoizidi arusha nnini mkuu wangu
Ni Sato Na sangara au ni kuzalianaš¤£Kwahio mlichoizidi arusha nnini mkuu wangu
Umezunguka mwanzaMzunguko wa pesa kwa jiji la mwanza ni mkubwa sana, leo nimezunguka mwanza na kugundua kuna yard za kuuza magari zaidi ya 50, maana yake kuna mzunguko mkubwa sana wa pesa hivyo jiji mwanza ni bora kuliko jiji la Arusha.
Mwz kwa hiyo Idadi wanaopanda ni wazawa, hiyo Arusha ukitoa utaliii hamna tofauti na kiwanja cha Sumbawanga
Kwa maana hiyo watu wa mwanza ni matajiri kuliko watu wa arusha ššMwz kwa hiyo Idadi wanaopanda ni wazawa, hiyo Arusha ukitoa utaliii hamna tofauti na kiwanja cha Sumbawanga
Hahahaha wasukuma bila serikali hawana maendeleoprojects zote zimejengwa na serikali hii hii ambayo atcl imepata hasara kwa miaka mitano mfululizo na mmepewa miradi ili kuiundermine arusha ili mwanza ionekane iko juu...Real investment unaona kwa private investors wao hawawezi kuinvest kwenye hasara ndo maana hamna serious investmet inayoweza kufanywa mwanza na private sector mkoa wenye population kubwa ya maskini wasiojielewa..Arusha kuna 10+ floor buildings zaidi ya 20 mwanza hata 10 hamna, baada ya dar na pwani Arusha inafuata kwa viwanda working population huku ni kubwa mno nyie wengi mnajichimbia ziwani na vichakan hamna investmet vijana wanakosa ajira ndo maana mnaongoza kwa umaskini kumbuka huku kuna soko la madini afrika, hotels tumewaacha zaidi ya mara 5 tuna viwanda hadi vya kuassemble magari (hanspaul) ila nyie hadi Mall mnajengewa na serikali. Bongo lalaz[emoji41] na ndio maana hata biashara hamuwezi hadi tuje tuwafungulie mji wenyewe umepoa kazi kuzaliana tu kama nyumbu
Watu wanakunya machakani uko mwanza bado sana kulinganisha na jiji kama arusha aise.Kumbe mabingwa wa mbwembwe na lugha za malkia(unigambire stupid mbere ya mai waifu) vyoo ni tatizo kubwa sana? Salaleeeeh
Hahahaha kweli wewe boya kabisa ..sasa halmashauri nini? Ni private secta? Iyo lapf ni shirika lenu nini..tunaposema mwanza inategemea serikali yenu ya ccm inayochagua wapi ipeleke maendeleo munabisha. Njo arusha uone watu wanaporomosha Malls za kutoka ..yani kamwanza chote na Mall moja tu tena kwa msaada wa serikali halafu kanakuja kamtu kamoja kama wewe unaanza kulinganisha jiji bora kabisa na katakataka kama kamwanza.Acha pumba kijana hakuna mall yeyote Mwanza iliyojengwa na serikali, mf rockcity mall imejengwa na halmashauri ya jiji la Mwanza kushirikia na mfuko wa lapf acha uzwazwa, arusha nyie size yenu ni mbeya ata mbeya hamuiwezi, lakini Mwanza na Arusha yote ni Tanzania kwann msikubali tu kuwa nyie mnasafari ndefu sana mpaka kulifikia jiji la Mwanza, Arusha mmeizidi mwanza kwenye masuala ya utalii tu kwingine hamna kitu.
Yani ndo akili za kisukuma hizi hamna kitu wanajua hawa watuKitombile kitombile
Unajua maana ya serikali
Kwahio halmashauri sio serikali
Na hiyo lapf ni shirika la Nini
Hamna mwekezaji serious anayeweza wekeza Mwanza
Ondoka huko ziwani panakudumaza akili [emoji41]
Shauri yako
Yani ndo akili za kisukuma hizi hamna kitu wanajua hawa watu
š¤£š¤£
Akikujibu nishtue ššHahahaha kweli wewe boya kabisa ..sasa halmashauri nini? Ni private secta? Iyo lapf ni shirika lenu nini..tunaposema mwanza inategemea serikali yenu ya ccm inayochagua wapi ipeleke maendeleo munabisha. Njo arusha uone watu wanaporomosha Malls za kutoka ..yani kamwanza chote na Mall moja tu tena kwa msaada wa serikali halafu kanakuja kamtu kamoja kama wewe unaanza kulinganisha jiji bora kabisa na katakataka kama kamwanza.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Wewe ni ushamba ndio unakusumbua tu
Kwel we mchizi naona una ushabiki mandazi, arusha level yake ni Geita ndugu yangu tuwe wakweli tu!
Na hizo bado zimepikwa mzeeMwanza hii yenye wakaazi zaidi ya 1.3mln eti mapato yake ya ndani(Mwanza Cc +Ilemela mc) ni only 22 bln wakati Arusha yenye wakaazi around 7k ni 19 bln
Technically Mwanza hakuna kitu huko zaidi ya umaskini.pdf hiyo hapoView attachment 1757620
View attachment 1757947
Hayo ni mapato ya ndani ya halmashauri lakini kwa makusanyo ya tra yaani changanya hiyo mikoa yote maskini ya kanda ya ziwa hawatupati šMwanza hii yenye wakaazi zaidi ya 1.3mln eti mapato yake ya ndani(Mwanza Cc +Ilemela mc) ni only 22 bln wakati Arusha yenye wakaazi around 7k ni 19 bln
Technically Mwanza hakuna kitu huko zaidi ya umaskini.pdf hiyo hapoView attachment 1757620
View attachment 1757947
Na nyie mmetuzidi nini mkuu kuzaliana kama nyumbu au umaskini šVigezo vyao ni barabara tu š
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] yaani ile mikoa ya kule juu ni kama ina laana vile..Kuliko kuishi kanda ya ziwa bora uishi Nyanda za Juu KusiniHayo ni mapato ya ndani ya halmashauri lakini kwa makusanyo ya tra yaani changanya hiyo mikoa yote maskini ya kanda ya ziwa hawatupati [emoji2]
š¤£š¤£ Hebu angalia kwenye mapato tu hapa arusha peke yake inakusanya mapato ya mikoa yote ya kanda ya ziwa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] yaani ile mikoa ya kule juu ni kama ina laana vile..Kuliko kuishi kanda ya ziwa bora uishi Nyanda za Juu Kusini
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] yaani ile mikoa ya kule juu ni kama ina laana vile..Kuliko kuishi kanda ya ziwa bora uishi Nyanda za Juu Kusini