Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

[emoji23][emoji23][emoji23] lafudhi ya kisukuma inakusumbua mpaka kwenye uandishi mkuu
😃😃😃Asante mkuu wangu umewakilisha vyem
For your low thinking capacity now let's get real database, usilete ujuaji kumbe ni 🚮 from zero 😁.
Anza na hii 👇🏾

Baada ya kutoa ujinga ☝🏾njoo hapa chini ujifunze na kuwasaidia wadogo zako population density can work from city to city 👇🏾.
Sasa wewe unaongelea projections ambazo hata wewe Na mkeo mnaweza kukaa ndani mkaziandika Tena zilizofanywa Na watu ambao hawaishi hapa..bro Arusha city mipaka yake ya 2012 ilikua km za mraba 93 tu ni eneo dogo mno Na palishajaa kitambo kwahio sehemu zinazojengwa ni nje ya hizo Kwa hiyo data za Hao jamaa wameangalia ukuwaji kwenye eneo Hilo dogo weka real population census ambayo Kwa sasahivi tunatumia ya 2012 na mchakato umeshaanza wa census ya 2022 sio unatuletea projections ambayo baseline yake haina logic nenda hata google andika Arusha city uone population yake imeizidi Mwanza Kwa halmashauri mbili tu za arusha cc Na arusha dc hapo meru dc halijawekwa kumbuka master plan ya arusha ina halmashauri 3 Na waliotengeneza mp ya arusha ndio Hao Hao waliotengeneza ya Mwanza ambayo imebaki kuwa Na halmashauri 2
Bro usitumie nguvu kubwa wewe nenda tu Google maps uweke satellite view uangalie Arusha alafu uje uangalie hicho Kijiji chenu cha wavuvi
Arusha ni kubwa kuliko Mwanza and that is obvious angalia kwenye master plan ya Arusha na Mwanza 2035 utaelewa point yangu
Arusha eneo la mji ni km za mraba 608 ikijumuisha halmashauri 3 Mwanza Kwa ilemela Na nyamagana ni 422
Sasa kinachowaduwaza watu wa mwanza ni ile sensa ya 2012😃 ambayo inasema Arusha ina watu 416,000 kwenye eneo dogo Sana la km za mraba 93 tu (Sasa nikikuambia km za mraba sijui unaelewa?? manake nilikuambia tu kuhusu population density nikakupoteza kabisa) ikimaanisha maeneo mengi ya mjini kama morombo,kisongo,mianzini Na sanawari hayakuhesabiwa Sasa Mwanza ikawa Na watu 700,000 kwenye eneo la km za mraba 422 yaani Arusha ingehesabiwa eneo kama la Mwanza ingekua Na watu million plus ndo maana hujiulizi Mwanza ni mji wa pili Kwa ukubwa wa kwenye makaratasi tu yani ukitoka usagara Hadi mjini utoke Tena mjini Hadi kisesa ushamaliza alafu pamepoa 😃😃barabara zenyewe finyu kama uko bariadi tembea braza..hapo sijaongelea idadi ya magari, ofisi za kimataifa sijaongelea majengo 10+floors Mwanza hata 10 hazipo Arusha ziko Zaidi ya 20 alafu kumbuka Arusha ni mji mpya epicenter ya northern zone ilikua Tanga baadae Moshi lakini Mwanza kila kitu cha Kanda ya ziwa Kiko pale bro Mwanza tangu miaka ya 80 ni mji wa pili lakini bogus Na Sasa tumeshawapita mnabaki kutapatapa tu ..
Hebu tukale Sato Na sangara bhana tupate vitamins Na calcium 😎
 
Wachagga watatetea upande wao, na wasukuma watatetea upande wao. Lakini kwa upande wangu Mwanza is the best, and second largest city in Tanzania, ni jiji zuri na lenye mandhari nzuri yenye kuvutia kuliko majiji yote in Tanzania.

Top 3 yangu
Mwanza 1
Dar 2
Mbeya 3

Top 5 yangu
Morogoro
Geita
Dodoma
Arusha
Tanga
Hakikaa.
 
Wewe uko ziwani panakudumaza akili..Kwa uzwazwa wako Mwanza Kuna barabara kama za Arusha???
Kwel we mchizi naona una ushabiki mandazi, arusha level yake ni Geita ndugu yangu tuwe wakweli tu!
 
Asee, wewe unaishi wapi?

Unavyosema population arusha ni kubwa sijakuelewa unazungumzia arusha ya nchi gani [emoji44]?.

Latest updates ya mwaka jana haikuzidi 500,000 ambapo Mwanza ilikuwa inakimbilia 1,200,000mil
Unaelewa maana ya density.
 
Mwanza kwa projections za mwaka 2019 inakadiriwa kuwa na watu 3.6 Million ikiwa na growth rate ya 4%

Wakati arusha ina watu 2 Million na growth rate ya 2.6%
Mkuu jiji la mwanza mwaka 2012 kwenye sensa ilikua na watu 650000 haiwezekani ndani ya muda mfupi ikafika idadi hiyo hata ukipiga mahesabu ya hayo ya ukuaji wa asilimia 4 kwa mwaka inaangukia around 1mill na point, idadi uliyotaja labda ni ya mkoa mzima wa mwanza
 
Wachagga watatetea upande wao, na wasukuma watatetea upande wao. Lakini kwa upande wangu Mwanza is the best, and second largest city in Tanzania, ni jiji zuri na lenye mandhari nzuri yenye kuvutia kuliko majiji yote in Tanzania.

Top 3 yangu
Mwanza 1
Dar 2
Mbeya 3

Top 5 yangu
Morogoro
Geita
Dodoma
Arusha
Tanga
Wewe ni ushamba ndio unakusumbua tu
 
Back
Top Bottom