Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Kila Mji una miradi iliko mbioni,ukiambiwa onyesha dual road kama ile ya Arusha mnayo nyie?

Miundombinu ndugu yangu kila Mji itajengwa ni ishu ya wapi inaanza na wapi inafuata mf.kama ni masoko au stand arusha iko mbioni kujenga,kule hakuna ziwa hadi uzungumzie meli hapa..unaweweseka vibaya
Ule mradi wa Benki ya dunia ambayo mikoa 7 ilibahatika kuipata yaani Tanzania Stategic Cities Project(Arusha, Tanga, Mbeya, Dodoma, Mtwara, Kigoma na Mwanza), ni ya kujipigia chapuo kweli? Kila mji ukifanya mambo yake ikiwemo barabara, dampo za taka, stendi za mabasi na au daladala nk, hapo kipya ni nini?
Ukienda Tanga pale Kange kuna Stendi, sawa na Nane nane Mbeya nk
 
Kwanza picha zinavutia,,afu sensa ya 2012 Arusha ilitumia mipaka ya Manispaa nadhani taswira halisi itapatikana kwenye sensa ya 2022

Ujue huwa nasikia raha Sana naposafiri kwenda Arusha,Dar au Dom

Ile ushawishi wa Jiji unaanzia mbali sana kiasi kwamba kila kijiji au Mji ulio karibu na Miji hiyo unaanza kukutana na maendeleo makubwa hasa makazi kama magorofa nk

Tofauti na unavyoenda Mwanza ni mpaka uingie mjini kabisa ndio unaanza kuona sura ya jiji
Mmmh, Una maanisha USA RIVER kuna hayo mambo? Mbona hata Usagara, Buhongwa ambako ni nje ya Mwanza ni sawa tu na Usa river, Kimandolu, Mtumba, Nane nane, Kimara, Mbezi, Kibamba, Mbalizi, Uyole,Igawilo, Kange, Pongwe(nimeweka pembezoni mwa majiji yetu yote)!
 
1. Watu wa Mwanza ni washamba compared na Arusha, yaani Arusha ni wajanja sana from way they dress na Maisha kwa ujumla.

2. Sehemu za ku chill, Arusha wapo juu, maeneo kibao na classic ya ku chill Mwanza is only Malaika na capri.

3. Wanawake wa Arusha ni very beautiful compared to Mwanza. Mademu wa mwanza not look good wapo wapo tu khaaaa....

4. Mitaa ya Mwanza mingi ipo milimani bila mpangilio. Fyuuuuuu.

Ongeza yako.......
Mbona hizi ni pumba?!
 
Well said mkuu Kwa vile wewe unajua
Arusha kama unatoka Nairobi 25 kms north west unaanza kukutana Na majengo mazuri same ukiwa unatoka Kia 45 east unakutana Na miji kibao tu Na vile Arusha iko Pana Sana tofauti Na Mwanza Kuna barabara 6 za kutoka mjini tofauti Na Mwanza barabara ni mbili tu tungetegemea kuanzia missungwi Hadi mjini iwe ni mji tu lakini kama unatoka shinyanga unaenda Mwanza unaweza usielewe hata kama unaenda mjini[emoji1787] barabara ni mashimo Hadi kero mixture mapori tu unaweza ukahisi labda umepotea njia na huo Sasa ndo mji Kanda yote ya ziwa wanautegemea kila ofisi kubwa ya Kanda ipo mwanza tofauti Na kaskazini zimegawanyika nyingi ziko Tanga nyingine Moshi tulitegemea Mwanza ingekua very big city vile lake zone imebeba watu wengi but too sad it has nothing special to offer Yan kwangu Bora morogoro au mbeya kuliko Mwanza
Kuna jamaa hapa anakazania kutuma picha za busweru Yan Hadi namuonea huruma vile wamekosa exposure hawa watu sehemu Arusha unaweza linganisha Na uswahilini au Kwa dar hata tabata haiingii alafu ndio Kwa matajiri [emoji1787]
Wanasikitisha Sana hawa watu
Mi nilidhani wangetakiwa wajihoji Mimi tangu nakua naambiwa Mwanza ni mji wa pili but still nothing special to offer, no beautiful skyscrapers, no massive private investments/businesses watakimbilia kukuonesha rockcity mall hotel ya maana hamna ni hiyo wamejengewa Tena hapo capripoint
In General Mwanza haijakaa kuvutia wawekezaji that's the truth mji uko very primitive Na ndo maana watakimbilia kukuonesha sgr sijui daraja la jpm ambalo kwanza linaenda Kwa mwendazake lakini ni government investments Na wamshukuru Sana HAYATI...Amna potential investor anaweza kuwekeza Mwanza Na kitu pekee wanaweza kushindana hapa ni kukuonesha uwekezaji wa serikali sjui stendi sjui soko[emoji1787] ambazo hizo ts just the matter of time kila mji utakua nazo
Mji wenye population kama ya arusha unaviwanda vikubwa Na vinawatu mara tatu Zaidi ya Mwanza sio viwanda vyao vya sayona labda kama wamesahau Clinton alikuja Arusha Bush alikuja kwenye kiwanda cha a to z ukiwauliza wanakuambia mbona hata sisi tuna Nyanza bottling hawaelewi hata kwann kila siku wanatajwa wanaongoza Kwa umaskini sabab kama hamna investment hamna ajira working population ni ndogo sekta zilizopo ni za kipato kidogo kama uvuvi huwezi linganisha impact yake Na utalii Kwa mfano mzunguko mdogo ofisi za kimataifa chache in short Mwanza mji flani local Sana ila inawatu wengi
Mwanza watashindana kwenye public sector investments ila kwenye suala la private sector investments tumewaacha usawa wa mbingu Na ardhi [emoji41]
We jamaa ni mwongo sana aisee
 
Mabwawa hayo unaita ziwa????? [emoji2][emoji2][emoji2]

Kumbe unabishana Mkuu.

Ukipewa Fact kaa kwa kutulia kama hauna chakuijibu. Sasa Duluti na Momella ni maziwa wewe unasema mabwawa ni kuwa unataka kubishana au ni unaleta ununda tu Mkuu?

Bora ungesema hayo maziwa hayaunganishi nchi tatu kama Victoria hivyo hayawezi lifikia victoria hasa kiumaarufu. Ningekuona una jambo lakuongelea Mwanza yenu.
 
Tuache ushabiki pembeni. Mwanza ni kubwa na imeendelea zaidi kuliko Arusha.

Naskia wanataka kuanzisha manispaa ya kisesa mwanza inapanuka sana
Ni kubwa ila haijaendelea kuliko Arusha,,Arusha ina majengo marefu mengi kuliko Mwanza,ina barabara nzuri kuliko Mwanza,ina kila kitu kizuri

Sio ushabiki ni facts,mimi kwetu Nyanda za Juu Mbeya/Njombe ila naikubali Arusha na huko kumenichefua na Mwanza naifahamh nimeishi miaka 2
 
Well said mkuu Kwa vile wewe unajua
Arusha kama unatoka Nairobi 25 kms north west unaanza kukutana Na majengo mazuri same ukiwa unatoka Kia 45 east unakutana Na miji kibao tu Na vile Arusha iko Pana Sana tofauti Na Mwanza Kuna barabara 6 za kutoka mjini tofauti Na Mwanza barabara ni mbili tu tungetegemea kuanzia missungwi Hadi mjini iwe ni mji tu lakini kama unatoka shinyanga unaenda Mwanza unaweza usielewe hata kama unaenda mjini[emoji1787] barabara ni mashimo Hadi kero mixture mapori tu unaweza ukahisi labda umepotea njia na huo Sasa ndo mji Kanda yote ya ziwa wanautegemea kila ofisi kubwa ya Kanda ipo mwanza tofauti Na kaskazini zimegawanyika nyingi ziko Tanga nyingine Moshi tulitegemea Mwanza ingekua very big city vile lake zone imebeba watu wengi but too sad it has nothing special to offer Yan kwangu Bora morogoro au mbeya kuliko Mwanza
Kuna jamaa hapa anakazania kutuma picha za busweru Yan Hadi namuonea huruma vile wamekosa exposure hawa watu sehemu Arusha unaweza linganisha Na uswahilini au Kwa dar hata tabata haiingii alafu ndio Kwa matajiri [emoji1787]
Wanasikitisha Sana hawa watu
Mi nilidhani wangetakiwa wajihoji Mimi tangu nakua naambiwa Mwanza ni mji wa pili but still nothing special to offer, no beautiful skyscrapers, no massive private investments/businesses watakimbilia kukuonesha rockcity mall hotel ya maana hamna ni hiyo wamejengewa Tena hapo capripoint
In General Mwanza haijakaa kuvutia wawekezaji that's the truth mji uko very primitive Na ndo maana watakimbilia kukuonesha sgr sijui daraja la jpm ambalo kwanza linaenda Kwa mwendazake lakini ni government investments Na wamshukuru Sana HAYATI...Amna potential investor anaweza kuwekeza Mwanza Na kitu pekee wanaweza kushindana hapa ni kukuonesha uwekezaji wa serikali sjui stendi sjui soko[emoji1787] ambazo hizo ts just the matter of time kila mji utakua nazo
Mji wenye population kama ya arusha unaviwanda vikubwa Na vinawatu mara tatu Zaidi ya Mwanza sio viwanda vyao vya sayona labda kama wamesahau Clinton alikuja Arusha Bush alikuja kwenye kiwanda cha a to z ukiwauliza wanakuambia mbona hata sisi tuna Nyanza bottling hawaelewi hata kwann kila siku wanatajwa wanaongoza Kwa umaskini sabab kama hamna investment hamna ajira working population ni ndogo sekta zilizopo ni za kipato kidogo kama uvuvi huwezi linganisha impact yake Na utalii Kwa mfano mzunguko mdogo ofisi za kimataifa chache in short Mwanza mji flani local Sana ila inawatu wengi
Mwanza watashindana kwenye public sector investments ila kwenye suala la private sector investments tumewaacha usawa wa mbingu Na ardhi [emoji41]
Nimemwambia kwamba mitaa kama busweru ni mingi Sana Arusha tena kali kuliko huo upuuzi hapo.

Afu watu wanaonesha picha za mjini Kati as if Arusha ni mjini Kati tuu wakati ina outskirts za kutosha.

Huwa na enjoy kweli nikiwa napita Dodoma road yaani utamu wa Chuga unaanza kuonekana pale Njia panda ya Monduli kwenye makota ya JWTZ unapita kisongo kote safi japo sio mipaka ya Jiji,the same ukitokea Kia to Chuga ,,barabara nzuri mandhari nzuri watu wako busy yaani kama Nairobi hivi
 
Arusha akuna Ziwa,so kuna mambo Mwanza yapo ila Arusha akuna,na kuna mambo Arusha yapo na Mwanza yapo.

Mpaka hapo tu Arusha mshapigwa fimbo nyingi sana na Mwanza.
Hoteli za ufukweni Mwanza utazipata ila Arusha uwezi pata.

Kutokana na janga la Covid-19 hoteli za Arusha kwasasa ni mabweni ya wanafunzi,Arusha imetikiswa sana na Covid kwasababu ni mji unaotegemewa zaidi na watalii,wakati hoteli za Mwanza bado angalau zinapokea wageni wa nchi za jirani kama Rwanda,Congo,South Sudan,Uganda,Kenya kwa wingi sana kufanya biashara ya mazao,madini,Bondo za Sangara,Samaki,madini n,k.
View attachment 1762821View attachment 1762824View attachment 1762826View attachment 1762828View attachment 1762829View attachment 1762830
Yaani hotel hapo ni hiyo nssf tuu hivyo vingine ni bar

Arusha maziwa madogo yana hoteli kali za ufukwe wa kutengeneza,afu mambo ya hotel Acha utaiaibisha Mwanza

Mwanza watu hawana pesa hoteli ujenge ataingia nani Mzee
 
Hakika umeongea point kubwa sana ata wao wanajua Mwanza ni zaid tena mara dufu kuliko Arusha, najiuliza kwann hawa watu wa Arusha wanapenda kujilinganisha na Mwanza wakati gap kati ya Mwanza na arusha ni kubwa mnoo.Arusha size yake ni Tanga.
Mwanza Mtakapokalishwa na Dom by 2025 msije mkaanza kulaumu
 
Una hela ya kuspend arusha wewe
Nyie ndo wale mnakosa sehemu ya kufikia mnafikia kwa shangazi[emoji1787][emoji1787]
Watu Wana tag sehemu za maana we inasema uko MRINA
Yani unaenda mrina mkuu ni kama mtu aende dar afikie buguruni malapa[emoji41]
Umetoka ziwani na ugwadu huko unafikia breki ya kwanza mrina Kwa Malaya wa 3000 kweli
Ni bora ungepiga puchu kuliko kwenda mrina apo ni ukimwi tu umefata[emoji26]
[emoji867][emoji867][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu unaebishana nae ni Mkulima wa Parachichi huko Njombe. Hajawahi fika Arusha wala Mwanza....
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Mkuu Arusha naenda kila mwaka kwa ajili ya TAHA na maparachichi

Mwanza nimeishi miaka 2 na naenda kwenye vocation mara moja moja kuna ndugu yangu wa damu anaishi huko.

Karibu Sana Njombe na Mbeya na Rukwa ni mkuu hotojuta
 
Mmmh, Una maanisha USA RIVER kuna hayo mambo? Mbona hata Usagara, Buhongwa ambako ni nje ya Mwanza ni sawa tu na Usa river, Kimandolu, Mtumba, Nane nane, Kimara, Mbezi, Kibamba, Mbalizi, Uyole,Igawilo, Kange, Pongwe(nimeweka pembezoni mwa majiji yetu yote)!
Mbalizi huko ndio sawa na mitaa ya kwenu Mwanza ,,usiifananishe mitaa ja Chuga na hivyo vimagulio vya machinga
 
Watu wa arusha umarekani mwingi ila watu tunawaona washamba tu arusha inajengwa watalii tu basi wakzi halisi zero ndo maana hata yale makabila ya watu wasiojitambua kama tindiga na hadzabe yako huko inshort ujanja wote kujifanya hustler wan umaskini mwingi kuliko wavivu wa tanga, NYIE arusha endeleeni kuvaa mitumba tu

Mwanza ni kubwa na imekamilika na asilimia kubwa ni watanzanja ndo wanachangia uchumi wa ple

Arusha izo hotel wabongo hukuti labda wauza unga na watu wa madini

Mwanza kila sekta ukianzia, uwanja wa ndege,bandari, stendi, mahoteli yaliopo kwa fukwe
 
Ule mradi wa Benki ya dunia ambayo mikoa 7 ilibahatika kuipata yaani Tanzania Stategic Cities Project(Arusha, Tanga, Mbeya, Dodoma, Mtwara, Kigoma na Mwanza), ni ya kujipigia chapuo kweli? Kila mji ukifanya mambo yake ikiwemo barabara, dampo za taka, stendi za mabasi na au daladala nk, hapo kipya ni nini?
Ukienda Tanga pale Kange kuna Stendi, sawa na Nane nane Mbeya nk
Hujui unachoongea ,mradi wa dual carriage sio huo wa TSCP bali huu ni mradi wa benki ya Dunia utaijenga hiyo barabara hadi mpaka wa holili

Barabara ya dizaini hii Mwanza mtaipata 2100
 
Back
Top Bottom