Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Naona mna peana likes tu Na mapank hapo
Zwazwa wawili wa ziwani mnatiana ujinga🤣🤣
Haya bhana
Ila mapank anaelewa chuga kulivo Na Bata ziwani harudi Tena huyu hata hapo mrina tu alipo hiyo mitaa Mwanza nzima hamna ils shida yeye anachagua ile cheapest ndio anaenda Bora angeenda hata xo au picnic
Sasa kitombile ndio haelewi kitu maskini anaishia tu kusapoti hapa😥
🤣🤣
 
B
Na wanaofaidika ni matajiri wachache wanaoweza kumudu kwenye ushindani
Wavuvi wengi Mwanza ni wadogo Sana wenye kujikimu tu
Economy ya mwanza haija spread
Kwa kijana wa kawaida kutoboa kama huna connection ni kama haiwezekani
Kutoboa kupitia hiyo mitumbwi ni haiwezekani
Zao la pamba ni kama limekufa
Michongo mwanza ni migumu
Ni vile tu covid lakini arusha ungeweza kujichomeka kwenye utour guide
Ukaenda mererani
Unajiungaunga kwenye business unaweza ukatoboa ila mwanza uchumi mgumu sana
Biɔ
Hujui unachoongea ,mradi wa dual carriage sio huo wa TSCP bali huu ni mradi wa benki ya Dunia utaijenga hiyo barabara hadi mpaka wa holili

Barabara ya dizaini hii Mwanza mtaipata 2100
🤣🤣
 
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Mkuu Arusha naenda kila mwaka kwa ajili ya TAHA na maparachichi

Mwanza nimeishi miaka 2 na naenda kwenye vocation mara moja moja kuna ndugu yangu wa damu anaishi huko.

Karibu Sana Njombe na Mbeya na Rukwa ni mkuu hotojuta
Napapenda sana mkuu
Mzee wangu alifanya kazi sana rukwa
 
Yaani hotel hapo ni hiyo nssf tuu hivyo vingine ni bar

Arusha maziwa madogo yana hoteli kali za ufukwe wa kutengeneza,afu mambo ya hotel Acha utaiaibisha Mwanza

Mwanza watu hawana pesa hoteli ujenge ataingia nani Mzee
🤣🤣🤣 Naona leo umewaamulia watoto wa iliyokuwa kanda pendwa
 
Nimemwambia kwamba mitaa kama busweru ni mingi Sana Arusha tena kali kuliko huo upuuzi hapo.

Afu watu wanaonesha picha za mjini Kati as if Arusha ni mjini Kati tuu wakati ina outskirts za kutosha.

Huwa na enjoy kweli nikiwa napita Dodoma road yaani utamu wa Chuga unaanza kuonekana pale Njia panda ya Monduli kwenye makota ya JWTZ unapita kisongo kote safi japo sio mipaka ya Jiji,the same ukitokea Kia to Chuga ,,barabara nzuri mandhari nzuri watu wako busy yaani kama Nairobi hivi
🤣🤣 Hao ndugu zangu wa ziwani hawawezi kuelewa
Wanajisahaulisha arusha City is the wealthiest City in tz
Alafu wao ni mkoa maskini afrika😎
Hata ukiangalia google maps mji umepauka
Nimewawekea video ya ulaya ya tz waoshe macho kidogo

Screenshot_20210421-101859.png


Screenshot_20210421-101656.png
 

Attachments

  • Arusha,_Tanzania._The_Tourism_hub_(_Hotels,_gardens_and_the_city)(360p).mp4
    17.1 MB
Porojo tuu unaleta,weka picha tuone

Barabara gani za maana inazo Mwanza? Kuwa nyingi ni sababu ya kuwa na mitaa mingi ila quality hata wewe unajua

Kama ni airport hiyo KIA ina serve zaidi Arusha kuliko huko Kilanjaro sasa ukichanganya na ile Arusha airport nadhani unajua wapi kuko busy.

Huko Mwanza kumepoa kwa sababu Mji umejaa maskini hakuna misheni town za kufanya na si kusingizia utalii.Yaani hata Mbeya iko busy kuliko Mwanza.

Vyuo na malls hicho kijiji kikubwa cha Mwanza hakiwezi kusogeza pua kwa Arusha,ndio maana hata kale ka mall kamoja kako empty,wasukuma na mall wapi na wapi.

Ukija kwenye majengo ya ghorofa na muonekano wa Mji,Arusha inapendeza kwa sababu ina majengo marefu mengi na kila siku yanajengwa ukilinganisha na Mwanza,ina kajengo karefu kamoja na many dwarf ugly buildings

Kiufupi Mwanza inaizidi Arusha wingi wa maskini mjini na ushamba tuu
🤣🤣
Hata ule uwanja wetu mdogo nao unawapita dah😥

Screenshot_20210421-211637.png
 
Mnavyolilia kuwa jiji la pili ,bas tufanye nyie ndo jiji la pili mna kila kitu kizuri kuzidi mwanza,nyie ni matajiri hadhi yenu ni sawa na dsm
Acha mwana mwanza waendelee kuwa nyuma yenu naona hio itapendeza zaidi
Na pia uishaur serikali wabadilishe kwenye taarifa zao zote tz nzima kua baada ya dsm arusha inafuata simple na clear
🤣🤣 Hao ndugu zangu wa ziwani hawawezi kuelewa
Wanajisahaulisha arusha City is the wealthiest City in tz
Alafu wao ni mkoa maskini afrika😎
Hata ukiangalia google maps mji umepauka
Nimewawekea video ya ulaya ya tz waoshe macho kidogo

View attachment 1763883

View attachment 1763885
 
Arusha is nothing!
Bila utalii Arusha haina chochote
Maana utalii ndo umefanya kuwe na hotel kubwa Arusha na wazungu kupenda kukaa huko kutokana na hali ya hewa ya ubaridi ila tofauti na hapo is nothing. Nakumbuka kipindi Cha corona Kuna watu waliishi maisha magumu sana hasa wale waliokuwa waongoza watalii pale ngorongoro nilikuwa naona huruma kuwaona wamejichokea vby hawakujua wafanye Nini tofauti na kazi walozoea
Ila kwa upande wa mwanza Kuna fulsa nying sana za kibiashara ambapo watu hawapati shida endapo itatokea ishu inayoadhiri uchumi wa mtu mmoja mmoja maana fursa ni nyingi za kutengeneza pesa
Conclusion: Kama wewe ni mtalii,mvuta bange,au mmasai basi Arusha ni
Sehem sahihi kwako ila Kama wewe ni mtafutaji basi mwanza ni sehemu sahihi
 
Arusha is nothing!
Bila utalii Arusha haina chochote
Maana utalii ndo umefanya kuwe na hotel kubwa Arusha na wazungu kupenda kukaa huko kutokana na hali ya hewa ya ubaridi ila tofauti na hapo is nothing. Nakumbuka kipindi Cha corona Kuna watu waliishi maisha magumu sana hasa wale waliokuwa waongoza watalii pale ngorongoro nilikuwa naona huruma kuwaona wamejichokea vby hawakujua wafanye Nini tofauti na kazi walozoea
Ila kwa upande wa mwanza Kuna fulsa nying sana za kibiashara ambapo watu hawapati shida endapo itatokea ishu inayoadhiri uchumi wa mtu mmoja mmoja maana fursa ni nyingi za kutengeneza pesa
Conclusion: Kama wewe ni mtalii,mvuta bange,au mmasai basi Arusha ni
Sehem sahihi kwako ila Kama wewe ni mtafutaji basi mwanza ni sehemu sahihi

Hotuba ya mama umeiskia lakini utalii ni kipaumbele pili utalii wa mikutano kama nawaona watoto wa iliyokuwa Kanda pendwa mimacho ilivowatoka alafu covid T's atemporary ishu mlivo na uzwazwa mnataka eti iendelee ili Arusha isistawi mmesahau kabisa arusha Niya tatu Kwa viwanda vingi...soko la Tanzanite duniani Na kiwanda pekee cha kuchakata Tanzanite mmejisahaulisha arusha ni makao makuu ya afrika mashariki yenye staff Zaidi ya 500 mahakama ya afrika ofisi kibao za kimataifa
Arusha after 10 years inaenda kuwa kitu kingine
Arusha kama unatoka Nairobi 25 kms north west unaanza kukutana Na majengo mazuri same ukiwa unatoka Kia 45 east unakutana Na miji kibao tu Na vile Arusha iko Pana Sana tofauti Na Mwanza Kuna barabara 6 za kutoka mjini tofauti Na Mwanza barabara ni mbili tu tungetegemea kuanzia missungwi Hadi mjini iwe ni mji tu lakini kama unatoka shinyanga unaenda Mwanza unaweza usielewe hata kama unaenda mjini🤣 barabara ni mashimo Hadi kero mixture mapori tu unaweza ukahisi labda umepotea njia na huo Sasa ndo mji Kanda yote ya ziwa wanautegemea kila ofisi kubwa ya Kanda ipo mwanza tofauti Na kaskazini zimegawanyika nyingi ziko Tanga nyingine Moshi tulitegemea Mwanza ingekua very big city vile lake zone imebeba watu wengi but too sad it has nothing special to offer Yan kwangu Bora morogoro au mbeya kuliko Mwanza
Kuna jamaa hapa anakazania kutuma picha za busweru Yan Hadi namuonea huruma vile wamekosa exposure hawa watu sehemu Arusha unaweza linganisha Na uswahilini au Kwa dar hata tabata haiingii alafu ndio Kwa matajiri 🤣
Wanasikitisha Sana hawa watu
Mi nilidhani wangetakiwa wajihoji Mimi tangu nakua naambiwa Mwanza ni mji wa pili but still nothing special to offer, no beautiful skyscrapers, no massive private investments/businesses watakimbilia kukuonesha rockcity mall hotel ya maana hamna ni hiyo wamejengewa Tena hapo capripoint
In General Mwanza haijakaa kuvutia wawekezaji that's the truth mji uko very primitive Na ndo maana watakimbilia kukuonesha sgr sijui daraja la jpm ambalo kwanza linaenda Kwa mwendazake lakini ni government investments Na wamshukuru Sana HAYATI...Amna potential investor anaweza kuwekeza Mwanza Na kitu pekee wanaweza kushindana hapa ni kukuonesha uwekezaji wa serikali sjui stendi sjui soko🤣 ambazo hizo ts just the matter of time kila mji utakua nazo
Mji wenye population kama ya arusha unaviwanda vikubwa Na vinawatu mara tatu Zaidi ya Mwanza sio viwanda vyao vya sayona labda kama wamesahau Clinton alikuja Arusha Bush alikuja kwenye kiwanda cha a to z ukiwauliza wanakuambia mbona hata sisi tuna Nyanza bottling hawaelewi hata kwann kila siku wanatajwa wanaongoza Kwa umaskini sabab kama hamna investment hamna ajira working population ni ndogo sekta zilizopo ni za kipato kidogo kama uvuvi huwezi linganisha impact yake Na utalii Kwa mfano mzunguko mdogo ofisi za kimataifa chache in short Mwanza mji flani local Sana ila unawatu wanaozaliana sana😥
Mwanza watashindana kwenye public sector investments ila kwenye suala la private sector investments tumewaacha usawa wa mbingu Na ardhi 😎
 
Mwanza ni mji mkubwa mno kuucompare na Arusha, zote zina manispaa mbili japo Arusha bado hata manispaa yake ya pili haijafikia hadhi kamili,

Mwanza unaonekana kama mji uliopooza kwa sababu ya kutokuwa na shughuli nyingi za utalii kama Arusha hivyo ukiwa mwanza usitegemee sana kupata huduma nyingi za starehe kama mahoteli ya kitalii, clubs, biashara ya vinyago na pombe,tour companies,kumbi kubwa za mikutano, na makao ya jumuiya mbalimbali.

Ila tofauti na hili la utalii ambalo Arusha inaongoza baada ya kuhodhi biashara ya utalii kutoka katika mikoa jirani mfano sehemu kubwa ya mbuga ya Serengeti ipo Mara lakini Mara haitambuliki wala haifaidiki, sawa na mapato na faida za kitalii za hifadhi ya mlima Kilimanjaro n.k

Hakuna kingine Arusha kama jiji unaweza kulicompare na Mwanza jiji ukianzia ukubwa wa mji yaani idadi ya makazi na watu, viwanda, shughuli mbalimbali za uchumi na biashara.

ubora wa makazi huwezi kukuta mwanza mjini mitaa kama ungalimited, sinoni, sombetini, matejoo nakadhalika ambapo kuna nyumba nyingi duni ambazo ni mchanganyiko wa mabanda ya tope, miti na mabati wanaishimo binadamu na ukiingia deep uswahilini ng'ombe wana mazizi mjini,

gharama za maisha mwanza ziko chini ukikompare na Arusha chumba cha tope uswahilini ni elfu 15 mpaka 30 hii kwa mwanza utakuwa kwenye chumba safi kabisa anachopaswa kuishi mwanadamu, achilia mbali hupatikanaji wa vyakula na huduma za msingi mtaani.

Posh areas (mitaa ya kidosi) hapa Arusha inaongoza ukilinganisha na Mwanza, hivyo gap la kipato katika mji wa Arusha ni kubwa kati ya masikini na tajiri ukilinganisha na Mwanza.

Miundombinu na msingi bado mwanza inaongoza katika hili, kwa maana ya stendi bora za magari, mtandao wa barabara za mitaani, urahisi wa usafiri mfano uwepo wa costa nyingi, hiace na tax unlike Arusha ni hiace tu ndo nyingi wakati mwingine pia nauli hazitabiriki hasa jioni na ukiwa mjini lazima uzitafute zilipojirundika kama zizini kule kilombero stendi ya vumbi na ukiwa mgeni ni changamoto kubwa.

Mwanza ina hospitali kubwa ya rufaa ya bugando, kiwanja kikubwa cha ndege siyo airstrip, chuo kikuu kikubwa cha SAUT, Mall kubwa tz, usambazaji mkubwa wa huduma ya maji safi mjini, usafiri wa majini na biashara ya minofu ya samaki nje ya nchi, masoko mazuri n.k

City center(CBD) kati ya mwanza na Arusha kiufupi Arusha inachapwa mbali katika wingi wa idadi ya majengo ya ghorofa na coverage, shughuli za kibiashara na wingi wa watu, mpangilio wa CBD kwa mwanza tiyari unaelekea pazuri uwezi kukuta mrundikano wa huduma zote sehemu moja kama vile kijijini yaani hapohapo stendi ya mabasi ya mikoani pembeni kiwanja cha mpira, stendi kuu ya daladala ya vumbi, huku soko kuu hatua kidogo soko bovu la mitumba, mara makaburi yasiyojengewa wala kuwa na uzio nayo yapo city center,achilia mbali mrundikano wa guest bubu n.k

Mandhari, kiufupi katika hili kila jiji hapa lina sifa yake nzuri tofauti na lingine, Arusha ni mlima meru, hali ya kijani kibichi, majengo marefu kadhaa mazuri, mitaa kadhaa yenye mpangilio mzuri na magheto makali/yakifahari mfano njiro. Mwanza ni ile hali ya milima na nyumba juu ya miamba, ziwa Victoria,rock city mall, hifadhi ya kisiwa cha sanane, muonekano wa jiji nyakati za usiku hasa ukiwa sehemu za mlimani au ghorofani,kijani kibichi na hali ya hewa nzuri kwa mwaka mzima hakuna joto kali sana au vumbi la poda kama Arusha.

Future ya hapo baadae kwa miji hii itakavyokuwa bado ni kitendawili kwa Arusha kuipiku Mwanza kwa hizi major project zinazoendelea ikiwemo kufufua na kuimarisha miundombinu ya usafirishaji wa mizigo na watu ziwa Victoria hasa na Uganda pia kenya, daraja la busisi, soko la kisasa,stendi bora za kisasa, kiwanja cha kimataifa cha ndege, SGR, kuimarika kwa masoko na pato la biashara ya dhahabu, kuletwa kwa ndege za kusafirisha mizigo especially kwa ajili ya minofu ya samaki, kutambuliwa kwa kisesa kama mji na manispaa ndani ya jiji la mwanza, uwepo wa mpango wa kuwa na BRT achilia mbali ongezeko kubwa la idadi ya watu au birth rate kanda ya ziwa ukilinganisha na kaskazini n.k labda mji utakaompa mwanza challenge mbeleni ni Dodoma pekee na siyo Arusha.
Uchambuzi bora kabisa ambao unapaswa ufungie mjadala. Lakini sababu ya vichwa vigumu vya watu wa Arusha, bado wanakuwa ving'ang'anizi ktk hoja mujarabu kama yako.
 
Mbalizi huko ndio sawa na mitaa ya kwenu Mwanza ,,usiifananishe mitaa ja Chuga na hivyo vimagulio vya machinga
Mkuu leo unanitenga hivi baada ya kuikataa hiyo Manispaa ya Arusha? Tulikua wote wakati naitetea Njombe dhidi ya Kahama leo unanikana?
Mimi hua ni msema kweli tu, Arusha haiwezi kuifikia Mwanza asilani, kama ambavyo nilipinga Makambako kwa Njombe mjini.
 
Hujui unachoongea ,mradi wa dual carriage sio huo wa TSCP bali huu ni mradi wa benki ya Dunia utaijenga hiyo barabara hadi mpaka wa holili

Barabara ya dizaini hii Mwanza mtaipata 2100
Sawa, hizo kilometa ni 18 tu, zinaanzia kule Ngaramtoni na kuishia Mbele kidogo ya Kimandolu kabla ya User river, sioni hata cha ajabu hapo. Ni barabara moja tu ndani ya Arusha ambayo ni Dual Carriageway, ambapo Mwanza ipo ingawa ni fupi kwa sababu ya jiografia. Busisi ikiisha mutatandikwa sana na Mwanza, Arusha hakuna hata stendi. Ni matatizo matupu
 
Mkuu leo unanitenga hivi baada ya kuikataa hiyo Manispaa ya Arusha? Tulikua wote wakati naitetea Njombe dhidi ya Kahama leo unanikana?
Mimi hua ni msema kweli tu, Arusha haiwezi kuifikia Mwanza asilani, kama ambavyo nilipinga Makambako kwa Njombe mjini.
Mkuu hujanisoma vizuri,Arusha sijawahi ikataa maana kwanza inafanana mandhari ya Njombe

Tuko pamoja mkuu,viva Njombe viva Arusha
 
Sawa, hizo kilometa ni 18 tu, zinaanzia kule Ngaramtoni na kuishia Mbele kidogo ya Kimandolu kabla ya User river, sioni hata cha ajabu hapo. Ni barabara moja tu ndani ya Arusha ambayo ni Dual Carriageway, ambapo Mwanza ipo ingawa ni fupi kwa sababu ya jiografia. Busisi ikiisha mutatandikwa sana na Mwanza, Arusha hakuna hata stendi. Ni matatizo matupu
Sio tuu fupi bali ni mbaya pia

Miji ya kibongo hii km 18 sio mchezo mchezo
 
Ndio sehemu inayoongoza kwa umaskini mkuu🤣🤣
Nila shaka hufahamu maana ya maendeleo
Sio tuu fupi bali ni mbaya pia

Miji ya kibongo hii km 18 sio mchezo mchezo
Yani kile kibaraza chini ya kivuko cha furahisha ndo wanaita dual carriage way🤣🤣🤣
Hawa watu kuna namna akili yao iko na wadudu
 
Yani kile kibaraza chini ya kivuko cha furahisha ndo wanaita dual carriage way[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa watu kuna namna akili yao iko na wadudu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Nimecheka wamepigwa kwenye mapato ya ndani na TRA na Arusha wako wanajitetea huko,wanasema inabidi kuunga nguvu ya Mwanza CC na Ilemela huku Arusha nao wanasema wakiunga nguvu ya Arusha DC still Mwanza wanapigwa pamoja na kuunganishwa
 
Back
Top Bottom