Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

1. Watu wa Mwanza ni washamba compared na Arusha, yaani Arusha ni wajanja sana from way they dress na Maisha kwa ujumla.

2. Sehemu za ku chill, Arusha wapo juu, maeneo kibao na classic ya ku chill Mwanza is only Malaika na capri.

3. Wanawake wa Arusha ni very beautiful compared to Mwanza. Mademu wa mwanza not look good wapo wapo tu khaaaa....

4. Mitaa ya Mwanza mingi ipo milimani bila mpangilio. Fyuuuuuu.

Ongeza yako.......
Arusha wanawake wazuri!
 
Hujui unachoongea ,mradi wa dual carriage sio huo wa TSCP bali huu ni mradi wa benki ya Dunia utaijenga hiyo barabara hadi mpaka wa holili

Barabara ya dizaini hii Mwanza mtaipata 2100
Unajivunia barabara,Mwanza panajengwa sgr,barabara ni jambo rahisi kuliko sgr,nyinyi Arusha sgr mtaipata mwaka 2100.
 
Taarifa kwa macharii ya Ara:
Corona inazidi kukita mizizi haijulikani itaisha mwaka gani,utalii unaowabebaga miaka yote sasa mnahangukia kuti kavu.
Maisha ya Arusha nje ya utalii ni magumu kwa vijana wengi,hameni njooni Dar na Mwanza mpate nafuu ya maisha.

Wabheja sana nkoi.
 
Unajivunia barabara,Mwanza panajengwa sgr,barabara ni jambo rahisi kuliko sgr,nyinyi Arusha sgr mtaipata mwaka 2100.
Tanga-Moshi-Arusha-Musoma sgr is loading

Hata hivyo ma treni hayana maana sana kama barabara.Saizi tuko kwenye mpango wa kujenga barabara nyingine kutoka Arusha hadi Kongwa
 
Taarifa kwa macharii ya Ara:
Corona inazidi kukita mizizi haijulikani itaisha mwaka gani,utalii unaowabebaga miaka yote sasa mnahangukia kuti kavu.
Maisha ya Arusha nje ya utalii ni magumu kwa vijana wengi,hameni njooni Dar na Mwanza mpate nafuu ya maisha.

Wabheja sana nkoi.
Tunawapiga mapato kila mwaka toka korona ianze kuharibu utalii, Arusha ni industrial and business City,utalii unachagiza tuu ila sio kwamba ndio kila kitu
 
Attachments

Naona unakimbilia sana kwenye per capita, unajua Arusha ni ya ngapi kwenye per capita? naenda na takwimu sitaki maneno ya blaa blaaa

1. Dar es Salaam
2. Iringa
3. Mbeya
4. Kilimanjaro
5. Ruvuma
6. Arusha

Sasa kama unajisifia kwenye per capita na unaona per capita ndo utajiri wa mkoa mbona umepitwa mpaka na Ruvuma? Basi kiri mwenyewe kuwa watu wa Ruvuma ni matajiri kuliko Arusha yaani Arusha ni masikini zaidi kuliko Ruvuma.

View attachment 1767538
Mbona mwanza hujaiweka hapo,haaaaaaaa
 
Mbona mnakazania umasikini umasikini hapa tunashindanisha jiji la Mwanza na sio mkoa wa Mwanza, wewe ni fala sana.
Fala ni wewe kwani hujui per capita ya jiji lenu nyie ni maskini wa kutupwa? Mbona wewe ulileta takwimu za mkoa? Mwanza CC(Ilemela including) 22b/7k=3.1 VS 19b/4k=4.7

Nani maskini hapo? You will forever remain maskini tuu
 
Mwanza ni mkoa masikini kama unavyodai lakini ni mkoa wa pili kitaifa kuchangia pato la taifa we endelea kutembelea nyota za wenzio
 
Mwanza ni mkoa masikini kama unavyodai lakini ni mkoa wa pili kitaifa kuchangia pato la taifa we endelea kutembelea nyota za wenzio
Nigeria inaongoza Afrika kwa GDP lakini inaongoza kwa idadi kubwa ya maskini na watu wake kukimbia nchi.

Na mnavyozaliana kwa kasi basi mtabakia maskini mazima .

Spika amewashauri muache kuezeka nyumba kwa masufuria
 
Mwanza ni mkoa masikini kama unavyodai lakini ni mkoa wa pili kitaifa kuchangia pato la taifa we endelea kutembelea nyota za wenzio
We kitombile wewe wewe hiii🤣🤣

2441065_IMG_0451.jpg
 
Nigeria inaongoza Afrika kwa GDP lakini inaongoza kwa idadi kubwa ya maskini na watu wake kukimbia nchi.

Na mnavyozaliana kwa kasi basi mtabakia maskini mazima .

Spika amewashauri muache kuezeka nyumba kwa masufuria
Ngoja niwasaidie hawa yani mapato ya arusha ukichanganya mikoa yote ya kanda ya ziwa bado haifikii arusha alafu Ona sisi tulivo Na population ndogo hawa ndugu zetu tunawabeba Sana hawaelewi tu😥 yani tungekua Na utawala wa majimbo arusha ingekua ulaya nyingine 😎

View attachment 1770410
Jamaa unahangaika na mwanza dah 😀😀😀
Mara umasikin ,mara barabara mbovu,wazaliana sana na utopolo mwingine
Nyie si jiji la pili tumekubaliana
Basi tuishi humo
 
Jamaa unahangaika na mwanza dah 😀😀😀
Mara umasikin ,mara barabara mbovu,wazaliana sana na utopolo mwingine
Nyie si jiji la pili tumekubaliana
Basi tuishi humo
🤣🤣 Basi tuishi humu Kwa mara ya mwisho
Na maneno ya mheshimiwa spika
😥

Acheni kuwekeza kutumia masufuria 🤣🤣
 
Back
Top Bottom