Baada ya dar kwa kitu gani mkuu
Kuna categories nyingi nyingi
Sababu hata dar sio kila kitu inaongoza
Mfano population au investmet au kuongoza kwa kipi haswa???
Dodoma ndio mji wenye City area kubwa Tanzania 2500+ sqkm lakn
Iringa ndio mji wenye NGO's nyingi nchini
Sasa mwanza ni ya pili kwa dar kwa kitu gani?
Najua hapa mtaniambia nyie ni wa pili kwa kuzaliana 😥 hayaaa
Kwa makusanyo arusha ni ya pili uthibitisho huu hapa tena tumewaacha mwanza usawa wa mbingu na ardhi🤣 changanya kanda ya ziwa yote hamgusi arusha
Mnaambiwa mnaongoza kwa umaskini mnasema ni mkoa wa mwanza kwahio jiji la mwanza liko shinyanga au mbeya🤣🤣
Tujiburudishe na data sio hayo magazeti yenu tukiwaambia mtupe source mnatuambia tugoogle🤣🤣
View attachment 1773231View attachment 1773231