Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

PicsArt_05-18-12.10.46.png
 
Nawaambia kila siku hata tabora na bagamoyo zilikua kubwa kuliko dar
watu wanafata fursa
tangu miaka ya 80 mwanza ni mji wa pili but nothing is going on there
Ile daraja ndio litarahisisha watu kukimbilia Geita na Kahama

Sioni Mwanza ikikua kwa mda mrefu siku za usoni na ukitaka kuangalia utakuta Mkoa wa Geita ni Kati ya Mkoa unakua kiuchumi zaidi huku Mji wa Kahama ukikua Sana aisee.
 
M
Macho yako yanamakengeza sio bure utakuta unaona kinyume kitu kibaya unakiona kizuri na kizuri unakiona kibaya, nimeishi Arusha rafiki yangu huwezi kunidanganya na kwa chochote, tena mnapenda kujikuza kwa kujilinganisha na Mwanza kiukweli size yenu ni Tanga ata mbeya hamuiwezi.
mkuu Tanga,yani tanga hapana tofauti na kijiji hivi nani alipendekeza Tanga na Mbeya kuwa Jiji yani ni utumbo mtupu.
 
Investment gan unaizngmzia unamaansha majengo yalyopo mwanza amejenga bibi ako
Hakika kijana nimekukaribisha karibu sana, sasa nakupa huongozi wa kuongoza hii team Mwanza, mimi na Dpresident, beira boy, mapank na chaza tumekupa uongozi huwe team captain.
 
Mwanza ni jiji kubwa sana na zuri kuliko Arusha. Arusha ukitembea kidogo tu kimita 3 toka pale mjini unakutana na bonge la pori. Wakati Mwanza unatembea 15km bado hujakutana.
 
Haya bwana ngoja tuendelee kula vumbi la muhandu na sangabuye via igombe to kayenze kote jiji uko[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kati ya Kishiri, Igombe, Ilalila, Usagara, Nyamadoke na Kisesa ni wapi pazuri kwa ajili ya makazi kwa sasa Mwanza?
 
M

mkuu Tanga,yani tanga hapana tofauti na kijiji hivi nani alipendekeza Tanga na Mbeya kuwa Jiji yani ni utumbo mtupu.
Kaliwe huko pambana na bangi zenu mwanza hamuikuti ng'o washamba nyie vaeni mitumba ya wazungu wasiochamba kwa maji, usilete mambo ya tanga mna nn cha ajabu mademu wenu kama madume hawaga swaga vijijj kibao, Tanga raha kila mtu anpenda
 
Hakika kijana nimekukaribisha karibu sana, sasa nakupa huongozi wa kuongoza hii team Mwanza, mimi na Dpresident, beira boy, mapank na chaza tumekupa uongozi huwe team captain.
Hivi kati ya Kishiri, Igombe, Ilalila, Usagara, Nyamadoke na Kisesa ni wapi pazuri kwa ajili ya makazi kwa sasa Mwanza?
 
Vipi hayo maeneo mengine ?
Igombe, Kisesa, Usagara ni maeneo ya nje ya mji ya siku nyingi. Yamechangamka kwa kiasi chake tatizo huduma za kijamii maeneo mengi sio za uhakika hasa maji.

Bujingwa na Ilalila ni karibu na wilayani Ilemela. Ni maeneo mapya yabayochipukia kwa ujenzi wa nyumba mpya japo na penyewe huduma za maji sio rafiki.
 
Mara nyingi maji huwa yanasumbua ikitokea sehemu wananchi wamevamia ardhi.

Ila kama ni ardhi ya makazi maji yataletwa tu.

Na Je, Nyamadoke ni maeneo gani ?
 
Mara nyingi maji huwa yanasumbua ikitokea sehemu wananchi wamevamia ardhi.

Ila kama ni ardhi ya makazi maji yataletwa tu.

Na Je, Nyamadoke ni maeneo gani ?
Kati ya Halmashauri ya Ilemela na Nyamhongolo
 
Back
Top Bottom