Jiji la Tanga watu wanalala sana

Jiji la Tanga watu wanalala sana

Ukitaka kujua maana ya mishemishe kaishi Gongo la mboto na Mbagala 🤣🤣🤣kuna vurugu masaa 24.
😀😀Mbagala ni noma saa 2 usiku mt ndo anafungua biashara 😀😀😀
Nishawahi fika saa 8 usiku ila nilikuta watu had nilishangaa wako busy na mishe zao 😂😂😂
 
😀😀Mbagala ni noma saa 2 usiku mt ndo anafungua biashara 😀😀😀
Nishawahi fika saa 8 usiku ila nilikuta watu had nilishangaa wako busy na mishe zao 😂😂😂
🤣🤣Kama hujazoea kule unajishtukia usiku ...Kipind fulani palikuwa na mchezo wa kutoboa madirisha aisee na usiku nasikia watu wanatembea wanapita karibu na dirisha mpaka unahisi ni wezi.
 
Nenda mapojoni ukachimbe mihogo, kule kazi daily na wanakuchukua usiku ukafanye bure.
"Wanakuchukua Usiku ukafanye bure" nahitaji ufafanuzi lkn pia sijaelewa hapa mkuu kwamba hakuna malipo yoyote yale hata baada ya kufanya kazi?
 
"Wanakuchukua Usiku ukafanye bure" nahitaji ufafanuzi lkn pia sijaelewa hapa mkuu kwamba hakuna malipo yoyote yale hata baada ya kufanya kazi?
Hujaelewa nini hapo?wanakuchukua kisayansi,ile sayansi ya kiafrica
 
Back
Top Bottom