Mzee leo unachakata nini? tumezoea unachakata viazi viwe chipsi pamoja na uchakataji wa papuchiKuna wana wangu wamekuja kunitembelea leo hapa gheto sasa hivi nipo natengeneza kitu,
Jikoni leo Usibanduke kwenye Uzi Update kwa picha mpaka natoa Kitu kinawekwa mezani kuliwa,
1:View attachment 1170311
Maandalizi ndio yameanza nachambua mboga ili nipeleke jikoni,
Note.
Update inaendelea mpaka msosi unaiva.
Mkuu naona una alegi ya nyama kama Mimi.2:View attachment 1170317
Mboga tayari nimeshachambua nasubiri hapa maji yachemke nitoe kwanza Dongo
Huu ni uchochezi au uchokozi..?😂😂Mkuu naona una alegi ya nyama kama Mimi.
Rudi tena kumenoga!Mkuu naona una alegi ya nyama kama Mimi.
Mkuu huu ungo umeuhamisha kutoka kiwanda cha chips kuja home au?2:View attachment 1170317
Mboga tayari nimeshachambua nasubiri hapa maji yachemke nitoe kwanza Dongo
napenda sana kumwona mtu aapika mboga yake anaweka nyanya chungu ila mimi siwezi kuzila wala mboga yangu sipendi hata hayo makitu yawekwe...