Jikoni leo na Zero IQ

Jikoni leo na Zero IQ

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kuna wana wangu wamekuja kunitembelea leo hapa gheto sasa hivi nipo natengeneza kitu,

Jikoni leo Usibanduke kwenye Uzi Update kwa picha mpaka natoa Kitu kinawekwa mezani kuliwa,

1:
IMG_20190802_135228.jpeg

Maandalizi ndio yameanza nachambua mboga ili nipeleke jikoni,

Note.

Update inaendelea mpaka msosi unaiva.
 
Kuna wana wangu wamekuja kunitembelea leo hapa gheto sasa hivi nipo natengeneza kitu,

Jikoni leo Usibanduke kwenye Uzi Update kwa picha mpaka natoa Kitu kinawekwa mezani kuliwa,

1:View attachment 1170311

Maandalizi ndio yameanza nachambua mboga ili nipeleke jikoni,

Note.

Update inaendelea mpaka msosi unaiva.
Mzee leo unachakata nini? tumezoea unachakata viazi viwe chipsi pamoja na uchakataji wa papuchi
 
Back
Top Bottom