Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pasi na shaka hii ni kitimoto
3:View attachment 1170325
Katika harakati za kuwasha gas imeniishia njiani nimedandia jiko la mtu hapa kitu kinaendelea,
@KhantweKwa style hii humu kuna wadada wengi tu watashikwa na "wivu wa Kike!", kwa sababu wao wanachojua ni kuchemsha chai tu kwa heater na kupigia simu mchakata chips alete na vipapatio.
Nakuunga mkono hapa chief nmeamua na mimi nimpikie mwanangu leo
Nakuunga mkono hapa chief nmeamua na mimi nimpikie mwanangu leo View attachment 1170366
naona umechakata mbogaMboga tayari nimeshachambua nasubiri hapa maji yachemke nitoe kwanza Dongo
Hahahah 😁😁😅😅😅Khaa blueband inapikiwa mboga aiseee
Hongera mkuu, ila dona ni nzuri zaidi. Hiyo mboga mbona kidogo sana itakutosha na wana?