EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
da! wanaume wa dar mnaendekeza papuchi kuliko kula hako ndio kaugali mnakula na wenzako,huo msosi ni wa njemba moja ya mkoa tena anaweza asishibe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Kweli watu mmeamua, hongera sana inapendeza mwanaume kupika.Nakuunga mkono hapa chief nmeamua na mimi nimpikie mwanangu leo View attachment 1170366
Kinavutia kula kinaonekana ni kitamu, nimependa mboga ya kijani hujaivisha sana.
hahahhahaha mkuu leo umeamua umpikie swalekheNakuunga mkono hapa chief nmeamua na mimi nimpikie mwanangu leo View attachment 1170366
Watu wanazidi kuwa wabunifu kila leoKhaa blueband inapikiwa mboga aiseee
Hamna noma ngoja tufinye
Noma sana noma sana
Uione sura?PIGA TONGE NALO TUONE
Karibu hapa pia chief
Kwani haiwezekani??Khaa blueband inapikiwa mboga aiseee
IMEKAA POA SANA NIMEIPENDA
gesi hiyo mzeeNaona mzee umetoa chap
yaani nimeona mikono ya zero iq basi nimeshamjua na sura ikoje hapa namchora subirini picha ya zero iq leo mtaionaMzigo ndio namalizia kuushusha![]()
![]()
![]()