Jikoni leo na Zero IQ

Wakaka mnapika vizuri hadi mnatuzidi dah ,hivi mtatuoa kwelii for what sasa,karibia kila kitu mnafanya wenyewe tu, sifa hizo[emoji3] [emoji3]
Ninyi kuwaoa sio kwa ajili ya kupika tu.
-Ninyi ni faraja kwetu
-Ninyi ni ubavu wetu
-Ninyi ni miongoni mwa nguzo katika familia, familia haiwezi kuimarika kama nguzo zimepelea.

Kwa uchache ni hayo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…