Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Nitakuja nikurostie na pilau
Sawa nitafanya hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa nitafanya hivyo
Nyama mbona kidogo sana!! Ni nusu robo au?Nina wivu sana haya nimekulipa na mmView attachment 1177900View attachment 1177901View attachment 1177902View attachment 1177903View attachment 1177904
Karibu geto mkuu uje ujionee mwenyewe
Samaki wa maji ya wapi??Karibu sana, upishi wa leo pia ni ugali samaki.
😂 😂 😂 😂 😂Kupika sio kazi. Kazi kuosha vyombo aisee
Kupika sio kazi. Kazi kuosha vyombo aisee
Wait,inamaana unaviacha vikiwa vichafu hadi ukitaka kupika?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ni kazi sana aisee, huwa naosha vyombo hasa sufuria kila nikitaka kupika, nisipopika sivigusi
kwa kuwa uko dodoma akikisha nyama unachagua filet bei sawa na nyama ya tako (steak) ambayo ni ngumuNitakukaribisha ule kwa machoo