Jikoni na Mwifwa, upishi wa mboga(samaki)

Jikoni na Mwifwa, upishi wa mboga(samaki)

Yeleuwiiiii[emoji134][emoji134][emoji134]
Sasa unavificha wapi?[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23]
Hapa nilipo bado sijaanza kuviosha
 
Hili tatizo hata Mungu aliligundua mapema ndio maana akamuumba mwanamke. Tena ndio nikutane na sufuria lina mafuta mafuta yameganda kuliosha inahitaji wito.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
7. Nimetia chumvi na kusubiri kwa dakika kadhaa hadi samaki waive pamoja na mchuzi/supu yenye mchanganyiko wa nyanya, karoti, kitunguu na hoho.

8. Sasa mzigo umeiva uko tayari kuliwa kwa chakula aina ya wali, ugali au chochote utakachoona kinafaa kuliwa kwa mboga hizi. hapa nitakula kwa ugali.View attachment 1177893
Weeee mvivu kukuna nazi eee mie wallah hapo bila nazi naaga kabla hakijaivya labda samaki wa Maji baridi
 
Back
Top Bottom