Jikosoe udhaifu wako [Thread]

Mimi ni mtu sijui kusamehe ,ukinikosea usikae kizembe jua lazima nikulipe .

Ila Mimi ni mtu siwezi kusema hiki sijui ,yaani wanakijiji hata waniulize raisi wa marekani kala nini leo lazima nitoe jibu tu .

Imefika hatua Sasa kijijini naitwa google
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Wewe ni kiboko ya wachawi wa Tz
 
Mimi ni mtu sijui kusamehe ,ukinikosea usikae kizembe jua lazima nikulipe .

Ila Mimi ni mtu siwezi kusema hiki sijui ,yaani wanakijiji hata waniulize raisi wa marekani kala nini leo lazima nitoe jibu tu .

Imefika hatua Sasa kijijini naitwa google
Much know ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
 
Kwa nilivyoelewa hapo wewe ni mbinafsi sana.
 
haujakosea lolote
Ni kama nimeandika mimi vile, tuko sawa sana

Nishaachana na wanawake wengi kisa kuitafuta inner peace.
Hadi watu wengine wananishangaa sana kwa maamuzi hayo
 
Mimi ni mwepesi mno wa kuamini watu kuwa ni wema, Ile namna niko huwa nahisi kila mmoja yupo so kind-hearted kama Mimi..!!

Ila madhara yake ni huwa napewa zaidi maumivu na ninaowaamini kuwa ni wema..!
Tumefanana sana,

Unaonaje tujumuike pamoja ili tujiliwaze na kisha tuanze kuaminiana mimi na wewe tu?
 
haujakosea lolote
Ni kama nimeandika mimi vile, tuko sawa sana

Nishaachana na wanawake wengi kisa kuitafuta inner peace.
Hadi watu wengine wananishangaa sana kwa maamuzi hayo
Hii kitu mtu hawezi kuelewa kwa rahisi hasa hasa anaweza kudhani ni mjeuri, unajisikia, unajiona uko perfect, ukikosewa haujui kusamehe n.k ila wala sio hivyo kabisa.

Hii kitu kuna muda mtu unajiskia vibaya unatamani kubadilika ila ni ngumu haiwezekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ