Jikosoe udhaifu wako [Thread]

Mimi kumbukumbu za jana!
Zinanitesa sana haswa inapo fika leo, kola nikikumbuka jana ilivyo leta matokeo mabaya naona hata leo sitoboi
Hii imenisimasha sehemu sipigi hatua miaka zaidi ya kumi!
Kingine sijui kusema hapana, hata kama inagharama kiasi gani, kusema hapana nashindwa, nayo imenisimamisha kwenye maisha ya aina moja zaidi ya miaka kumi sasa.
 
ni sahihi mkuu, wa kulielewa hili ni wachache mfano mtoa mada kaquote post yako akisema kuwa 'wewe utakuwa mbinafsi' la hasha.

Huwa nakosa amani hiyo hiyo kumuona mwenzangu akipitia wakati mgumu sana kimaisha
Huwa ninajitoa sana pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…