Jikosoe udhaifu wako [Thread]

Jikosoe udhaifu wako [Thread]

Sijui kama hii itaingia kweny category ya udhaifu ila mm ni mtu msafi sana na ninapenda sana kupanga vitu viwe katika systematic order, udhaifu unakuja pale nitakapo kaa na mtu mchafu siwez kuvumilia, ntamchana tuu live mwisho wa siku tutakuwa na tension baina yetu.

Another thing is kupangilia vitu, yaan nikirudi home alaf nikute mtu amevurugua vitu vyangu, aisee nakasirika sana, nikiweka peni juu ya meza nataka nikirudi niikute palepale, nikizima laptop yangu na kuifunga nikirudi nikikuta uliiwasha ukaitumia baada ya hapo hukuizima na kuifunga, aisee nakasirika sana, ndo maana napenda sana kukaa mwenyew kwasababu ya hio tabia ya kutopenda vitu vyangu vigusweguswe.
 
Una watoto?samahani kwa swali hili.Nilikua kama wewe.Sasa baada ya kupata watoto naona nimeongea Hadi nachoka.Naweza weka kitu mahali baada ya muda mfupi Tu watoto wanahamisha.
 
Udhaifu wangu WA Kwanza mi msahaulifu Sana.Wa pili kuchukulia Kila kitu poa(nakuaga na majibu mepesi kwenye maswali magumu.)
Zamani ilikua na udhaifu WA kulia,kitu kidogo Tu michozi hiyo.Siku hizi naona kama naanza kua bandidu kwa mbaali.🏃🏃
 
Back
Top Bottom