Jikumbushe mpambano wa Ubunge kati ya Mwl. na Mkemia Magufuli na Mkulima Phares Kabuye

Toka jimbo la Chato lianzishwe Magufuli hakuwahi kuwa opposed na vyama vingine kwa kufanya figisu figisu wakati wa mchakato hivyo alikuwa akipita bila kupingwa tu.

Ndiyo maana hata kufanya siasa hawezi maana kazoea vya kunyonga
 
Magufuli ni mchapa kazi yaani ni result oriented hivyo ni mtendaji zaidi kuliko mwanasiasa; hivyo hana hulka ya kupendwa!! Ukimuwekea mpinzani kwenye chaguzi chances za kushindwa ni kubwa kuliko kushinda ndio maana handlers wake wanalilia asiwe na mpinzani!!
 
Hahah! Nadhani akimkumbuka huyo jamaa anampigia simu aigipii.
 
Magufuli ni mchapa kazi yaani ni result oriented hivyo ni mtendaji zaidi kuliko mwanasiasa; hivyo hana hulka ya kupendwa!! Ukimuwekea mpinzani kwenye chaguzi chances za kushindwa ni kubwa kuliko kushinda ndio maana handlers wake wanalilia asiwe na mpinzani!!
Sasa Kwanini results zisimbebe?
 
Kabuye si mtu wa mchezo mchezo

Ova
 
Kabuye alikuwa kiboko ya huyu mwalimu, baada ya vyama vingi kuanza huyu mwalimu alipata ubunge kwa figisu figisu
 
Hivi biharamulo ilikuwa mkoa wa Kagera wakati huo au Mwanza ??? Maana watu wanasema ni Msukuma/Mzinza........
 
Katika post atakayoichukia jiwe ni hii. Huwa hapendi kushindwa. Lakini ndiyo hivyo tena, Kabuye alimbwaga. Historia ingekuwa inafutwa, angeifuta hii. Halafu enzi hizo akiitwa MagufuRI, sasa anaitwa MagufuLI.
Nini kilitokea?
 
Toka jimbo la Chato lianzishwe Magufuli hakuwahi kuwa opposed na vyama vingine kwa kufanya figisu figisu wakati wa mchakato hivyo alikuwa akipita bila kupingwa tu.

Ndiyo maana hata kufanya siasa hawezi maana kazoea vya kunyonga
Ndio anachokifanya sasa baada ya kuwa rais, jasiri aachi asili.
 
Back
Top Bottom