Jikumbushe mpambano wa Ubunge kati ya Mwl. na Mkemia Magufuli na Mkulima Phares Kabuye

Kwahiyo kemia ilikuwa haifui dafu kwa mshika jembe?
 
Umeonaeeeee? Portland ya wapi mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana yule rais wa PORTLAND mambo ya wapinzani hapendi hata kuyasikia kumbe alishaonjeshwa shubiri.
 
Mkuu umesahau kuwa mwenye shibe hamjui mwenye njaaa?
Mbona yeye anawaambia wenzake waroho wa madaraka yeye kashindwa Mara mbili bado anagombea tu alikuwa anatafuta nini!
 
Acha kutukumbusha siasa za wazinza tuko wachache tujuane slogan iliyotumiwa Sana na Marehemu Kabuye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…