nandengele
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 689
- 805
Mkuu acha hizo mambo tuchape kazi na uzur kumbe Mh. Raisi kapambana sana kwenye siasa toka 1985 twice alikosa ubunge bado akapambana then leo ndio Rais wetu kwa hiyo mambo ya kabila lake sio ishuMimi mzaramo baba tuko Mkuranga
Mara nyingi watu wanaofanikiwa sana ni wale waliojaribu na kushindwa zaidi ya mara moja.Very interesting. Foundation begins at the bottom!
Vipi Mkuu? Kulikoni kwenye ID yangu? Mwalimu Magufuli alishindwa na mkulima na akaridhika kwamba ameshindwa kihalali. Hivyo akakubali matokeo na kusubiri zamu nyingine. Hakuleta manenoneno yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Wito wangu ni kwamba hao wanaojimwambafai kutaka kushindana na jabali hilo hapo Oktoba nao wawe tayari kukubali matokeo kama alivyoonyesha Magufuli hapo nyuma.Hiyo I'd yako tu inatosha
Hhahahahahahahahh!!!Kwa nini tusimtafute "Mkulima" apambane na Magufuli hapo Oktoba; inaonekana 'Wakulima' wanamuweza sana, hapigi raundi mbele yao.
Yule 'mkulima' wa ndege hadi leo anatabasamu tu!
Vipi Mkuu? Kulikoni kwenye ID yangu? Mwalimu Magufuli alishindwa na mkulima na akaridhika kwamba ameshindwa kihalali. Hivyo akakubali matokeo na kusubiri zamu nyingine. Hakuleta manenoneno yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Wito wangu ni kwamba hao wanaojimwambafai kutaka kushindana na jabali hilo hapo Oktoba nao wawe tayari kukubali matokeo kama alivyoonyesha Magufuli hapo nyuma.
Utumishi wa umma ni wapi serikali kuu ni wapi?Yeye alikuwa utumishi wa umma hakuwa serkali kuu
Duuh..hii kweli kareee..hakuna kukataa tamaa
UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA BIHARAMULO
Mnamo Mwaka 1985 Mwalimu wa Kemia shule ya sekondari Sengerema John Pombe Magufuli aligombea ubunge wa jimbo la Biharamulo akichuana na Mkulima Phares Kabuye. Kabuye alishinda na kutangazwa Mbunge, na Mwalimu Magufuli akarudi Sengerema kufundisha.
Mwaka 1990 Mwalimu Magufuli alichuana tena na Mkulima Kabuye kwa mara ya pili. Kabuye alimshinda tena Magufuli na kutetea kiti chake.
Mwaka 1995 wakati wa uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, jimbo la Biharamulo liligawanywa na kupatikana majimbo mawili (Biharamulo Magharibi na Mashariki). Kabuye aligombea Magharibi akashinda. Magufuli nae akagombea Mashariki na kushinda kwa mara ya kwanza baada ya mpinzani wake wa muda mrefu kwenda magharibi. Baadaye jimbo la Biharamulo Mashariki lilibadilishwa na kuitwa Chato.
Miaka kadhaa baadaye Phares Kabuye alifariki kwa ajali Morogoro. RIP Phares Kabuye. "Bila kuigawa Biharamulo mara mbili nadhani sasa hivi John Pombe Magufuli angekuwa mwalimu mstaafu"
Nini maoni yako?
Source: Daniel Matipa
Kabuye alifia pale magubike kwa ajari ya gari,je kwenye Ile ajari hakuweka mkono kweli?Ndio anachokifanya sasa baada ya kuwa rais, jasiri aachi asili.
Kabuye alikuwa machachari sana sana pia. Hapa nashangaa kumbe alikuwa Mkulima!
Mwaka 2015 Mkulima mwingine wa CCM kutoka hukohuko alichukua Fomu ya kugombea Urais na alishiriki kwenye kampeini na kufanya vizuri sana mpaka mwisho kwa gharama zake mwenyewe. Bahati mbaya alitupwa Nje baada ya vikao vya Chama vya kupendekeza wagombea kwa sababu hakuwa na mtu mashughuli wa kumbeba. Utaratibu wa CCM uliozoeleka wa kubeba wagombea kwenye mbeleko unatukosesha viongozi wazuri wenye uwezo kama ilivyokuwa kwenye Uchaguzi wa mwaka huo maana hata akina mama wawili waliofikia hatua ya mwisho ya uteuzi walikuwa wanauwezo mkubwa sana lakini walitupwa nje kwa sababu hizohizo.Toka jimbo la Chato lianzishwe Magufuli hakuwahi kuwa opposed na vyama vingine kwa kufanya figisu figisu wakati wa mchakato hivyo alikuwa akipita bila kupingwa tu.
Ndiyo maana hata kufanya siasa hawezi maana kazoea vya kunyonga
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeAcheni kuweka picha ya mheshimiwa kwenye ma plate namba, shauri yenu... hatuko Kenya hapa!
Daaah mtumishi wa umma tena chini ya Serikali ya nje ya Tanzania.Yeye alikuwa utumishi wa umma hakuwa serkali kuu
Kwahiyo ata kijiji na kitongoji kwake kilikua chini ya Upinzani! Hii sauti ni kali sanaToka jimbo la Chato lianzishwe Magufuli hakuwahi kuwa opposed na vyama vingine kwa kufanya figisu figisu wakati wa mchakato hivyo alikuwa akipita bila kupingwa tu.
Ndiyo maana hata kufanya siasa hawezi maana kazoea vya kunyonga
Hana ujuzi wa kujenga hoja kifasaha na watu wakazikubali; he is a bulldozer hivyo hutumia nguvu na sio ushawishi!! Hajui kushawishi hivyo anabebwa na dola!!!Sasa Kwanini results zisimbebe?
Alilopanga Mola! Kwa vyovyote vile au njia yoyote angekuwa hivi alivyo leo. Huenda humjui Mungu na njia zake.