Jilinde kwa kutumia Stun gun

Mkuu mimi naitaka,ila itabidi nikija nijaribu kukupiga shoti niweze ona ufanyaji kazi wake.
 
Ikimpiga mtu shoti inaweza kumfanya azimie kabisa au anabaki na fahamu zake..

Kama anazimia hio ni sawa ...
Lakini kama anabaki macho taabu iko pale pale tena unakuwa umemuongezea hasira..

Naitaka hio kitu mkuu
Aisee
 
Stun gun daa mkuu unanikumbusha mbali. Nimewahi kuimiliki hii kitu. Kuna mzee mmoja wa kisukuma aliniuzia kitambo..baadaye wajanja wakaniibia. Hii ya kwako highest output yake ni ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…