Simon Kaboja
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 165
- 117
- Thread starter
- #41
Hapana, ina uwezo mkubwaAuuzi BUNDUKI?? Ivi vya shot naona kam watu wazima awasikii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, ina uwezo mkubwaAuuzi BUNDUKI?? Ivi vya shot naona kam watu wazima awasikii
nimecheki Alibaba sizioniZitakuwepo nyingi ila tatizo uimara, isije kikabuma baada ya masika! ngoja na mimi nizifuatilie..
HapanaSamahani, siyo kama nakuja kuchekesha hapa, lahasha. Naomba unijuze kitu, hapo dukani kwako unauza mabomu ya mkono (grenades)?
Karibu, unaweza kuijaribu bila kumgusisha mtu ukaona ubora wakeMkuu mimi naitaka,ila itabidi nikija nijaribu kukupiga shoti niweze ona ufanyaji kazi wake.
Hapana haina tatizoUkikutwa nayo sio msala?
Unamonitor vip?? Unampima kwanza unayataka kumpiga shot au?H
Hapana, unaweza kumonitor kiwango cha shoti unayompiga
kuna button una press ukiwa unapiga so kadiri unavyo press ndio shoti inaongezekaUnamonitor vip?? Unampima kwanza unayataka kumpiga shot au?
unataka ngapi?nahitaj kwa jumla
AiseeIkimpiga mtu shoti inaweza kumfanya azimie kabisa au anabaki na fahamu zake..
Kama anazimia hio ni sawa ...
Lakini kama anabaki macho taabu iko pale pale tena unakuwa umemuongezea hasira..
Naitaka hio kitu mkuu
hii nikiipata ndio itakua sawa kabisa lakini hiyo ya tochi mpaka umgusishe mhalifu?HOW?? NI ZILE KAMA ZA KWENYE MUVI YAANI INA VISINDANO NA WAYA AU ZILE HADI UMGUSE MHUSIKA??View attachment 895258View attachment 895259
yes inabidi umgusishe iko vizuri[/QUOTE]hii nikiipata ndio itakua sawa kabisa lakini hiyo ya tochi mpaka umgusishe mhalifu?
Karibu upate yakoAisee
Unaweza kumpiga ili aishiwe nguvu au pia kumzimisha itategemea na kiwango cha shoti unayompiga
Amini ivyo, ungekua una mtu wa kumjaribisha ungetry, ziko vizuriWeee! Sema kwelii inamzimisha kabisa mtu anapoteza network