Simon Kaboja
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 165
- 117
- Thread starter
- #121
unapress button yake utaona output voltage yakeSasa nitajuaje kama inafanya kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unapress button yake utaona output voltage yakeSasa nitajuaje kama inafanya kazi?
Tupia picha ya hyo stun gun tuioneSKM OFFERS
1. GSM Alarm system
3 door/window detectors
3 motion detectors
1 Siren strobe
1 gas/smoke sensor
2 remote control
Bei: 310,000/=
2. CCTV camera 4 channel full
DVR recorder full hd
Installation mouse/remote
2 power adapters
4 extension cables
Bei: 430,000/=
3. Portable Vision Playing Station (PVP)
Ongeza IQ ya mwanao, kuna magame 3000
Bei: 50,000/=
4. MXQ PRO TV box 4K Ultra hd
Internet tv, ifanye TV yako kuwa smart, Angalia mipira yote bila kutumia ving'amuzi, install app uipendayo
Bei: 120,000/=
5. Stun gun / Teaser
Strong light flashlight
Power output 1000KV
DC discharge
Bei:69,000/=
Mahali: Kijitonyama
Simu: 0656190449
Tufollow Instagram
@skmquality @skmquality @skmquality
Iko vizuri kazi kwako kujilindaTupia picha ya hyo stun gun tuione
Vp kwa wakabaji wa mtogole itawafaa kweli
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli, wateja wengi ni watu Smart ambao ni wafanyabiashara au wafanyakazi wanaotambua umuhimu wa kujilindaMkuu hii kitu kwa hapa bongo wateja wako wengi watakua vibaka na waharifu, aiseeeeeeeee. ukikatiza tu wamekupiga shot na kukukwala kila kitu.
KaribuNgoja na mm nitakutafuta, ni cha muhimu sana
sahihi kaabisaMkuu hiyo unayoulizia wewe ni video intercom system ambayo ndanj unakuwa na screen ambayo inakuwezesha kumwona anayeongea na wewe akiwa getini ambapo kuna kamera ndogo iliyoambatana na mic pamoja na speaker,aliyeko getini atakuwa anakusikia tuu ila wewe utakuwa unamskia na kumwona. Wasiliana nasi kwa namba 0677 178 169
Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama zake kwa makadirio zikoje?Mkuu hiyo unayoulizia wewe ni video intercom system ambayo ndanj unakuwa na screen ambayo inakuwezesha kumwona anayeongea na wewe akiwa getini ambapo kuna kamera ndogo iliyoambatana na mic pamoja na speaker,aliyeko getini atakuwa anakusikia tuu ila wewe utakuwa unamskia na kumwona. Wasiliana nasi kwa namba 0677 178 169
Sent using Jamii Forums mobile app
Spray ya pilipili mkuu.pepper spyra ndiyo nn mkuu? Sina hata mb za ku google