Kama humjui KIWIA MBUNGE WA zamani wa ILEMELA WEWE ndie kichaa zaidiKiwia gan?
Una KICHAA
Umepagawa wewe hata hela ya mafuta anayo?ππKama humjui KIWIA MBUNGE WA zamani wa ILEMELA WEWE ndie kichaa zaidi
Vipi mbona unasifia ushaonjeshwa anchari, umeambiwa kuna vitu hufanya Kwa pesa yake kwenye jamii sasa unataka kubisha ili iwejeHiyo ni sifa ya kuwa Mbunge?Vijana wa CCM...mko tayari kufi...rwa na wenye nazo...By the way hilo Jimbo nitata kuliko unavyo waza...Ubunge hapewi mtu kwa kujenga majumba kwa hela yake ndiye awe ...
Kweli.Kama humjui KIWIA MBUNGE WA zamani wa ILEMELA WEWE ndie kichaa zaidi
Kwani vyama vingine havisimamishi wagombea?
Wagombea wa vyama vingine no? Mwl Nape kaishakuja kutoa mafunzo?CCM na wana-Ilemela wameshafanya maamuzi, Ilemela mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Qwihaya. Angelina Mabula ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote.
Qwihaya ni mzaliwa wa Ilemela, njia ya kwenda airport, na sasa anaishi Kata ya Kiseke. Qwihaya amekuwa mhimili mkuu wa maendeleo tangu apate nafasi ya U-NEC
Yeye ni mbunge wa kitaifa kupitia Jimbo la JFWewe unagombea Jimbo gani?
CCM na wana-Ilemela wameshafanya maamuzi, Ilemela mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Qwihaya. Angelina Mabula ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote.
Qwihaya ni mzaliwa wa Ilemela, njia ya kwenda airport, na sasa anaishi Kata ya Kiseke. Qwihaya amekuwa mhimili mkuu wa maendeleo tangu apate nafasi ya U-NEC
Ndiye muuzaji mkuu wa nguzo za umeme kwa Tanesco.CCM na wana-Ilemela wameshafanya maamuzi, Ilemela mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Qwihaya. Angelina Mabula ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote.
Qwihaya ni mzaliwa wa Ilemela, njia ya kwenda airport, na sasa anaishi Kata ya Kiseke. Qwihaya amekuwa mhimili mkuu wa maendeleo tangu apate nafasi ya U-NEC
Hahahaa, Angelina alikuwa anaweka zengwe jamaa asijenge ofisi za chama ilemelaHuyo jamaa kweli anaweza kuwa Mbunge sehemu yeyote ile akiamua. Yeye hana mambo mengi ni shekeli tu inatembea.
Waulizeni wapiga kura wa u nec huko watawasimulia.
Amshukuru sana Chuma, anamchango mkubwa sana kwenye ukwasi wake.
Usikute hata huyo mbunge wa sasa ameshapewa pension yake na mishahara yake yote ya miaka 5 π π
Ndio mnavyo wadanganya Wana ilemela, mmewafanya wananchi ni mazuzu. Halafu wewe ni msemaji WA CCM hapo ilemela, maana CCM inataratibu zake au na huyu pia ni WA kuchapishiwa fomu "moja"Kabisa, majaribio ya Angelina Mabula kumzuia asisaidie wananchi wa ilemela ambao walitelekezwa na mbunge wao kwa muda mrefu yameshindikana.
Kila mahali ni Qwihaya
Ana elimu gani kwiyayaCCM na wana-Ilemela wameshafanya maamuzi, Ilemela mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Qwihaya. Angelina Mabula ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote.
Qwihaya ni mzaliwa wa Ilemela, njia ya kwenda airport, na sasa anaishi Kata ya Kiseke. Qwihaya amekuwa mhimili mkuu wa maendeleo tangu apate nafasi ya U-NEC
HainesiCCM ni ile Ile ILEMELA wameisoma namba mpaka Wanamkumbuka KIWIA MBUNGE WA WATU WA ILEMELA
Hatuchagui mwalimu wa chuo kikuu, tunachagua mbunge, mbina Angelina Mabula ana udaktari wa kununua, unauziwa kwa milioni mbili tu.Ana elimu gani kwiyaya
Ndo nani huyo anakazi gan hapo mwanzaHuyo jamaa kweli anaweza kuwa Mbunge sehemu yeyote ile akiamua. Yeye hana mambo mengi ni shekeli tu inatembea.
Waulizeni wapiga kura wa u nec huko watawasimulia.
Amshukuru sana Chuma, anamchango mkubwa sana kwenye ukwasi wake.
Usikute hata huyo mbunge wa sasa ameshapewa pension yake na mishahara yake yote ya miaka 5 π π
Ndo nani huyo ana biashara gan hapo mwanzaQwihaya akiingia kwenye siasa ni sawa na kupoteza muda wake tu bora hizo nguvu aziweke kwenye biashara zake tu siasa zetu tabu tupu