Pre GE2025 Jimbo la Ilemela 2025 linakwenda na Qwihaya, Angelina Mabula aanza ziara ya kuaga wapiga kura wake katika kata zote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiyo ni sifa ya kuwa Mbunge?Vijana wa CCM...mko tayari kufi...rwa na wenye nazo...By the way hilo Jimbo nitata kuliko unavyo waza...Ubunge hapewi mtu kwa kujenga majumba kwa hela yake ndiye awe ...
Vipi mbona unasifia ushaonjeshwa anchari, umeambiwa kuna vitu hufanya Kwa pesa yake kwenye jamii sasa unataka kubisha ili iweje
 
Hilo jimbo linakwenda kwa CHADEMA,upinge au ukatae ukweli ndio huo!!!!

Me ni mkazi wa Ilemela na hilo nalifahamu………Ukianza na kata kama vile Nyasaka,Buswelu,Shibula,Nyamhongolo na Buzuluga yani bwana CHAWA mnakwenda kuchezea za uso kutokana na kuwa Maeneo hayo wamekaa wamechoshwa na mambo ya kipumbavu ya ccm kutwa kuwadanganya Wananchi kama watoto

Siku zenu zinahesabika ndani ya Ilemela
 
Kwani vyama vingine havisimamishi wagombea?

CCM na wana-Ilemela wameshafanya maamuzi, Ilemela mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Qwihaya. Angelina Mabula ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote.

Qwihaya ni mzaliwa wa Ilemela, njia ya kwenda airport, na sasa anaishi Kata ya Kiseke. Qwihaya amekuwa mhimili mkuu wa maendeleo tangu apate nafasi ya U-NEC
Wagombea wa vyama vingine no? Mwl Nape kaishakuja kutoa mafunzo?
 
Huyo jamaa kweli anaweza kuwa Mbunge sehemu yeyote ile akiamua. Yeye hana mambo mengi ni shekeli tu inatembea.

Waulizeni wapiga kura wa u nec huko watawasimulia.

Amshukuru sana Chuma, anamchango mkubwa sana kwenye ukwasi wake.

Usikute hata huyo mbunge wa sasa ameshapewa pension yake na mishahara yake yote ya miaka 5 😅😅
 
CCM na wana-Ilemela wameshafanya maamuzi, Ilemela mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Qwihaya. Angelina Mabula ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote.

Qwihaya ni mzaliwa wa Ilemela, njia ya kwenda airport, na sasa anaishi Kata ya Kiseke. Qwihaya amekuwa mhimili mkuu wa maendeleo tangu apate nafasi ya U-NEC
Qwihaya akiingia kwenye siasa ni sawa na kupoteza muda wake tu bora hizo nguvu aziweke kwenye biashara zake tu siasa zetu tabu tupu​
 
CCM na wana-Ilemela wameshafanya maamuzi, Ilemela mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Qwihaya. Angelina Mabula ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote.

Qwihaya ni mzaliwa wa Ilemela, njia ya kwenda airport, na sasa anaishi Kata ya Kiseke. Qwihaya amekuwa mhimili mkuu wa maendeleo tangu apate nafasi ya U-NEC
Ndiye muuzaji mkuu wa nguzo za umeme kwa Tanesco.
 
Huyo jamaa kweli anaweza kuwa Mbunge sehemu yeyote ile akiamua. Yeye hana mambo mengi ni shekeli tu inatembea.

Waulizeni wapiga kura wa u nec huko watawasimulia.

Amshukuru sana Chuma, anamchango mkubwa sana kwenye ukwasi wake.

Usikute hata huyo mbunge wa sasa ameshapewa pension yake na mishahara yake yote ya miaka 5 😅😅
Hahahaa, Angelina alikuwa anaweka zengwe jamaa asijenge ofisi za chama ilemela
 
Sisi wananchi wa Shibula, tunaenda na Angelina
 
Kabisa, majaribio ya Angelina Mabula kumzuia asisaidie wananchi wa ilemela ambao walitelekezwa na mbunge wao kwa muda mrefu yameshindikana.

Kila mahali ni Qwihaya
Ndio mnavyo wadanganya Wana ilemela, mmewafanya wananchi ni mazuzu. Halafu wewe ni msemaji WA CCM hapo ilemela, maana CCM inataratibu zake au na huyu pia ni WA kuchapishiwa fomu "moja"
 
CCM na wana-Ilemela wameshafanya maamuzi, Ilemela mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Qwihaya. Angelina Mabula ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote.

Qwihaya ni mzaliwa wa Ilemela, njia ya kwenda airport, na sasa anaishi Kata ya Kiseke. Qwihaya amekuwa mhimili mkuu wa maendeleo tangu apate nafasi ya U-NEC
Ana elimu gani kwiyaya
 
Anaitwa Kwihaya? Hii Qwihaya haisomeki vizuri kwa vile herufi Q huwa haifuatani W. Kwa mfano husemi Qwinine, bali tunasema Quinine, vile vile Queen badala ya Qwiin.

Kama unataka jina hilo la "Kwihaya" lisomeke "kizungu' basi sema "Quihier"
 
Ana elimu gani kwiyaya
Hatuchagui mwalimu wa chuo kikuu, tunachagua mbunge, mbina Angelina Mabula ana udaktari wa kununua, unauziwa kwa milioni mbili tu.

Na huyo mama ana Arrogance, hatumtaki, ku-date na vijana wadogo tu, kuolewa haaa
 
Huyo jamaa kweli anaweza kuwa Mbunge sehemu yeyote ile akiamua. Yeye hana mambo mengi ni shekeli tu inatembea.

Waulizeni wapiga kura wa u nec huko watawasimulia.

Amshukuru sana Chuma, anamchango mkubwa sana kwenye ukwasi wake.

Usikute hata huyo mbunge wa sasa ameshapewa pension yake na mishahara yake yote ya miaka 5 😅😅
Ndo nani huyo anakazi gan hapo mwanza
 
Back
Top Bottom