GE2025 Jimbo la Kisesa wamesema NRNE, kwamba bila jina la Mpina, hakuna uchaguzi wa mchujo

GE2025 Jimbo la Kisesa wamesema NRNE, kwamba bila jina la Mpina, hakuna uchaguzi wa mchujo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam !

Sasa Ile operation yenye nguvu ya NRNE imeingia chama Cha kijani, sasa ni Jimbo la Kisesa.

Nikiripoti kutoka Jimbo la Kisesa, ni Mimi mwana mabadiliko rabbon!

NRNE 💪 🔥

Karibuni 🙏
 
Wana Akili Sana Kisesa
Wana kisesa waulizeni wenzenu wafanyabiashara wa pale tegeta kwa ndevu.

Waliulizwa "mtachanja, hamchanji"

Nao walikua wanamsikiliza munger wao Gwajima wakajibu

"HATUCHANJIIIIIIII"

Kesho yake jioni magari hayana hata namba yanabomoa vibanda
 
Ila Gwajima!

Hajawahi kuanzisha pambano akatoa droo!

Ni ushindi mwanzo mwisho.
 
Salaam !

Sasa Ile operation yenye nguvu ya NRNE imeingia chama Cha kijani, sasa ni Jimbo la Kisesa.

Nikiripoti kutoka Jimbo la Kisesa, ni Mimi mwana mabadiliko rabbon!

NRNE 💪 🔥

Karibuni 🙏
Mwandu. Lubiga. Mwabusalu..sakasaka mwandoya. Lingeka..malwilo..igobe, mwabulutagu. Jisesa etc
 
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama wajinga na walevi wa gongo
20250712_193436.jpg
 
Back
Top Bottom