peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kwa hiyo ule ujenzi unaoendelea kutoka Makongamano kwenda Tabora/Singida lami itapita angani?Ukweli Tanganyika ni nchi ngumu.
Jimbo la lupa lililopo chunya, halina hata nusu Kilomita ya Barbara ya Lami.
Na Cha kufurahisha mbunge wake Yuko bungeni na anatarajia kurudi kuomba kura tena, ili aendelee kuwa mbunge wa Lupa.
Ninashauri CCM itusaidie kumuondoa mbunge wa sasa, itupatie mtu anayeelewa wananchi wanachokitaka.
Cha kufurahisha zaidi hata maji safi na salama hayapo, Jimbo nzima
Tena ni sehemu strategic kwenye maendeleo, kuna madini ya dhahabu, kuna kilimo cha zao la tumbaku, kuna ufugaji wa ng'ombe na kule mbele kama unaelekea Tabora kuna hifadhi zenye wanyama pori.
Ni aibu kwamba ile barabara kuu kabisa inayounganisha Mbeya na mikoa ya Tabora na Singida ni ya vumbi.
Kichekesho zaidi ni kile kipande 'kipya' cha lami kinachotokea mbeya mjini mpaka Chunya mjini, barabara haina hata muda mrefu imejaa mashimo ya kutisha. Mchina ametupiga pale, nchi shamba la bibi hili.
Kila sehemu Tzn hii ni strategic kiuchumi ni vile hakuna Rasilimali za kutosha kujenga Kila Barabara Kila mahala Kwa wakati mmja.Tena ni sehemu strategic kwenye maendeleo, kuna madini ya dhahabu, kuna kilimo cha zao la tumbaku, kuna ufugaji wa ng'ombe na kule mbele kama unaelekea Tabora kuna hifadhi zenye wanyama pori.
Ni aibu kwamba ile barabara kuu kabisa inayounganisha Mbeya na mikoa ya Tabora na Singida ni ya vumbi.
Kichekesho zaidi ni kile kipande 'kipya' cha lami kinachotokea mbeya mjini mpaka Chunya mjini, barabara haina hata muda mrefu imejaa mashimo ya kutisha. Mchina ametupiga pale, nchi shamba la bibi hili.
Kasaka ni hewa kabisaKwa hiyo ule ujenzi unaoendelea kutoka Makongamano kwenda Tabora/Singida lami itapita angani?
Pili Je ni Kwa Kasaka au Kwa Mlugo?
Weka tenda documents za huo mradi hapa.Kwa hiyo ule ujenzi unaoendelea kutoka Makongamano kwenda Tabora/Singida lami itapita angani?
Pili Je ni Kwa Kasaka au Kwa Mlugo?
VXR mnanunua 500+ million plus , mnasema Rasilimali hazitoshi?Kila sehemu Tzn hii ni strategic kiuchumi ni vile hakuna Rasilimali za kutosha kujenga Kila Barabara Kila mahala Kwa wakati mmja.
Una uhakika na unachoongea au unaropoka tuu?VXR mnanunua 500+ million plus , mnasema Rasilimali hazitoshi?
Weka tenda documents za huo mradi hapa.
Mkandarasa anaitwa nani?
Weka picha za huo mradi kama unafanyika hapa?
Wabunge wote wa Zlupa na chunya ni hewa kabisa.
Kwa hiyo ule ujenzi unaoendelea kutoka Makongamano kwenda Tabora/Singida lami itapita angani?
Pili Je ni Kwa Kasaka au Kwa Mlugo?
Wakili wa serikali umeshafika na gauni lako.Unatetea hadi jumba bovu kwa kuliwekea miti mbavuni lisianguke.Kila sehemu Tzn hii ni strategic kiuchumi ni vile hakuna Rasilimali za kutosha kujenga Kila Barabara Kila mahala Kwa wakati mmja.
Mradi umeanzia mkiwa Singida kuja Makongolosi.Weka tenda documents za huo mradi hapa.
Mkandarasa anaitwa nani?
Weka picha za huo mradi kama unafanyika hapa?
Wabunge wote wa Zlupa na chunya ni hewa kabisa.
Wewe ndiye huna uhakika na unachoandika hapa.Una uhakika na unachoongea au unaropoka tuu?
Lucas Mwashambwa anabubujikwa na machozi kwa furahaUkweli Tanganyika ni nchi ngumu.
Jimbo la lupa lililopo chunya, halina hata nusu Kilomita ya Barbara ya Lami.
Na Cha kufurahisha mbunge wake Yuko bungeni na anatarajia kurudi kuomba kura tena, ili aendelee kuwa mbunge wa Lupa.
Ninashauri CCM itusaidie kumuondoa mbunge wa sasa, itupatie mtu anayeelewa wananchi wanachokitaka.
Cha kufurahisha zaidi hata maji safi na salama hayapo, Jimbo nzima
Sio tuu natetea Huwa nawapa Hadi ushauri watu wa Serikali namna bora ya kujenga miundombinu Kwa kuanzia Barabara kuu za kimkakati badala ya kutapanya Rasilimali eti Kila Jimbo liwe na kalami.Wakili wa serikali umeshafika na gauni lako.Unatetea hadi jumba bovu kwa kuliwekea miti mbavuni lisianguke.
Weka tenda documents hapa za mradi.Mradi umeanzia mkiwa Singida kuja Makongolosi.
Huwezi Anza kujenga maporini badala ya sehemu waliko watu.
Kila siku nakwambia Toka huko maporini huelewi
Ni mashimo na vumbi la kufa mtu. Utadha Nia uko congoLipa tingatinga ,kitambo sana nilipita maeneo hayo
Hiyo section kuanzia Makongamano Hadi Rungwa itakuwa ya mwisho,very unfortunately Kwa wewe Jamaa wa huko polini.Kasaka ni hewa kabisa