KERO Jimbo la Lupa-Chunya limetawaliwa na CCM tangu uhuru, halina barabara ya lami hata nusu kilometer

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kuna uwezekano mkubwa Dr Matayo , akawa mgombea mzuri kwenye Jimbo hilo. Na anakubalika na ana makazi kwenye Jimbo Hilo.
 
Kuna uwezekano mkubwa Dr Matayo , akawa mgombea mzuri kwenye Jimbo hilo. Na anakubalika na ana makazi kwenye Jimbo Hilo.
Kwa mwenendo wa kura za maoni,ajipange sana. Kaifanyia Nini Lupa mpaka sasa?
 
usiwe na wasi wasi hata kidogo, mambo ni bam bam uchaguzi ujao, barabara zitajengwa na maji safi na salama yatapatikana bila wasiwasi πŸ’

Jambo la muhimu zaidi wanainchi wa Jimbo la Lupa, twendeni na Dr Samia Suluhu Hassan Uchaguzi mkuu ujao Oct.2025πŸ’
 
Jimbo la Lupa, Tarura na Tanrods hawapo nahawajulika wanafanya kazi Gani na ilani ya ccm 2020-2025
hatujui wameifanyia kazi kiasi Gani?

Tunaomba mwenye bajeti ya Tarura au Tanroads Jimbo la Lupa tangu 2020-2025 aiweke hapa.
 
Hivi kujenga barabara ya lami ni kazi ya mbunge? Hilo Jimbo halina halmashauri? Mbunge ni kisemeo tu, halmashauri ipeleke maombi (mapendekezo na/au bajeti), serikali kuu itoe pesa, halmashauri itekeleze miradi.
 
Watu wajinga ni mtaji kwa ccm.
 
Na jimbo linatawaliwa na familia moja tu ya kasaka,hovyo.
 
Kwa hiyo ule ujenzi unaoendelea kutoka Makongamano kwenda Tabora/Singida lami itapita angani?

Pili Je ni Kwa Kasaka au Kwa Mlugo?
Kote hovyo tu mlugo anaelekea mwaka wa 20 bungeni na hamna kitu anafanya zaidi ya kujimilikisha maeneo ya kuchimba
 
Sio tuu natetea Huwa nawapa Hadi ushauri watu wa Serikali namna bora ya kujenga miundombinu Kwa kuanzia Barabara kuu za kimkakati badala ya kutapanya Rasilimali eti Kila Jimbo liwe na kalami.
Kweli wewe chawa....uliyeshiba damu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
wapeleke ya nn wakat huko walioko ni wajinga
 
CCM wanapenda hivyo utakuta huyo mbunge ni tajiri na ukoo wake kama Mseveni lakini jimbo lake maendeleo hayasongi.
 
Kuna uwezekano mkubwa Jimbo la Lupa mwaka 2024 hakuna mradi wa kuzinduliwa,na mbio za Mwenge.
 
Hahaha.....ccm ni ile ile oooh ni ileile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…