MNFUMAKOLE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 1,775
- 2,402
Alienda kumtembelea Diwani au alikuwa anapeleka rushwa?Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya wajumbe kufanya uchaguzi wa kupitisha jina moja la kuwania ubunge katika majimbo yote hapa nchini, katika jimbo la Siha mvutano umekua mkali baada ya mke wa aliyekua mbunge wa jimbo hilo kuvamiwa na kupigwa huku gari lake likivunjwa kioo.
Akizungumza leo na waandishi wa habari naibu waziri wa afya amelipongeza jeshi la polisi wilayani humo kwa kuwakamata baadhi ya watuhumiwa wa tukio hilo huku wengine wakiendelea kusakwa ambao wanatajwa kuwa ni wasaidizi wa mmoja wa watia nia katika jimbo hilo.
Amesema watuhumiwa hao siku chache zilizopita walichoma gari la mmoja wa wasaidizi wa mbunge Mollel lakini walipoachiwa kwa dhamana walitekeleza jaribia la kumdhuru mke wa mbunge huyo ambaye pia ni naibu waziri wa afya.
View attachment 3430526
Chanzo: Wasafi Tv
Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa jeshi linawashikilia watatu na linaendelea kuwatafta wengine wanaohusika na jaribio hilo.
Uaneni wenyewe! Ccm ndio mlivyo!! Mlizoea kuwafanyia Chadema Sasa uaneni wenyewe. No reforms no election.Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya wajumbe kufanya uchaguzi wa kupitisha jina moja la kuwania ubunge katika majimbo yote hapa nchini, katika jimbo la Siha mvutano umekua mkali baada ya mke wa aliyekua mbunge wa jimbo hilo kuvamiwa na kupigwa huku gari lake likivunjwa kioo.
Akizungumza leo na waandishi wa habari naibu waziri wa afya amelipongeza jeshi la polisi wilayani humo kwa kuwakamata baadhi ya watuhumiwa wa tukio hilo huku wengine wakiendelea kusakwa ambao wanatajwa kuwa ni wasaidizi wa mmoja wa watia nia katika jimbo hilo.
Amesema watuhumiwa hao siku chache zilizopita walichoma gari la mmoja wa wasaidizi wa mbunge Mollel lakini walipoachiwa kwa dhamana walitekeleza jaribia la kumdhuru mke wa mbunge huyo ambaye pia ni naibu waziri wa afya.
View attachment 3430526
Chanzo: Wasafi Tv
Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa jeshi linawashikilia watatu na linaendelea kuwatafta wengine wanaohusika na jaribio hilo.
Hapo wanataka kuua wao kwao sembuse kwenye ubunge wenyewe?CHADEMA waliona mbali sana, yaani hizo tuhuma zote zingalielekezwa kwa chadema. Na polociciemu wangewaweka kizuizini wana chadema ili hali ubaya wanafanyiana wao kwa wao
🤣🤣🤣🤣qmmk haya mambo ndio mnawafanyiaga CDM Sasa wamekaa pembeni mnauana wenyeweZikiwa zimebaki saa chache kabla ya wajumbe kufanya uchaguzi wa kupitisha jina moja la kuwania ubunge katika majimbo yote hapa nchini, katika jimbo la Siha mvutano umekua mkali baada ya mke wa aliyekua mbunge wa jimbo hilo kuvamiwa na kupigwa huku gari lake likivunjwa kioo.
Akizungumza leo na waandishi wa habari naibu waziri wa afya amelipongeza jeshi la polisi wilayani humo kwa kuwakamata baadhi ya watuhumiwa wa tukio hilo huku wengine wakiendelea kusakwa ambao wanatajwa kuwa ni wasaidizi wa mmoja wa watia nia katika jimbo hilo.
Amesema watuhumiwa hao siku chache zilizopita walichoma gari la mmoja wa wasaidizi wa mbunge Mollel lakini walipoachiwa kwa dhamana walitekeleza jaribia la kumdhuru mke wa mbunge huyo ambaye pia ni naibu waziri wa afya.
View attachment 3430526
Chanzo: Wasafi Tv
Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa jeshi linawashikilia watatu na linaendelea kuwatafta wengine wanaohusika na jaribio hilo.
Mollel atulie tuu, ajiandae kurudi Ngarenaro Health centre kuendelea na kazi yake ya kung'oa menoZikiwa zimebaki saa chache kabla ya wajumbe kufanya uchaguzi wa kupitisha jina moja la kuwania ubunge katika majimbo yote hapa nchini, katika jimbo la Siha mvutano umekua mkali baada ya mke wa aliyekua mbunge wa jimbo hilo kuvamiwa na kupigwa huku gari lake likivunjwa kioo.
Akizungumza leo na waandishi wa habari naibu waziri wa afya amelipongeza jeshi la polisi wilayani humo kwa kuwakamata baadhi ya watuhumiwa wa tukio hilo huku wengine wakiendelea kusakwa ambao wanatajwa kuwa ni wasaidizi wa mmoja wa watia nia katika jimbo hilo.
Amesema watuhumiwa hao siku chache zilizopita walichoma gari la mmoja wa wasaidizi wa mbunge Mollel lakini walipoachiwa kwa dhamana walitekeleza jaribia la kumdhuru mke wa mbunge huyo ambaye pia ni naibu waziri wa afya.
View attachment 3430526
Chanzo: Wasafi Tv
Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa jeshi linawashikilia watatu na linaendelea kuwatafta wengine wanaohusika na jaribio hilo.
Hapo bado wamkamate wenyewe wamfanye 🤣🤣Tuachane na hayo, huyu jamaa anapendeza sana kuwa mganga wa jadi nasema uongo ndugu zangu?
Utengeze tukio ukimhusisha mkeo apigwe sio!Huyu mkoma Mollel ametengeneza hilo tukio kutafuta huruma baada ya kuona maji yanazidi unga, yote kwa yote hawa fisi wa kijani wakiumana nafarijika sana nataka wauane kabisa.