Jimbo la Tigray Ethiopia limeonesha ubaya wa utawala wa majimbo Tanzania

una hoja mfu kabisa;
Kuhusu Etjiopia na Tigrey upo sawa kabisa ila mfano uliotoa kuhusu WAsukuma na Wachagga ni wa KI-MATAGA, tena ambaye aliishia form four na kupata ZERO kama BASHITE.

WAkoloni walipokuja Tanzania walikwenda kwenye maeneo ya Kaskazini, Kilimanjaro , Tanga na Arusha{Wajerumani na Waingereza}, Pwani ikiwa na Waarabu n a Wahindi.
Kwakuwa walikaa kaskazini kueneza dini, basi walijenga makanisa, hospitali, na shule huku wakijenga barabara kufikia maeneo hayo.
Mahospitali kama KCMC-inmejengwa na Mjerumani- Kanisa la Luthran, Muhimbili ni Waingereza, Hydom ni wajerumani, Mount Meru Lutheran -wajerumani, na zinajengwa kabla ya kupata uhuru 1961, sasa sijui unafikiri tupo korido za Lumumba kudaanganya watoto wenzio?

shule kama Tanga Technical, Kifungilo, Ashira, Weruweru, Moshi Technical ,Old Moshi, Maua Semiary, Uru Seminary, Kibosho Girls, Ashira, Maranbgu Secondary, Ilboro, Arusha SEcondary , Mawenzi SE-Moshi na nyingine nyingi.
Wachaga wajaokoka na kuwa wakristo, kumpa Yesu maisha yao, wakaachana na uchawi na dini za asili wakati hilo kabila ulilosema lina robo ya Tanzania lina Uchawi, kuua albino na kila aina ya Gambosh, watapata wapi maendeleo, ?
Hizo shuk
Hiyo haiondoi ukweli kuwa dhahabu, almasi na pamba vinapatikana uko unakoita ni wachawi. Wakoloni waliojenga hizo shule na hospitali hawatoi mishahara ya walimu, madaktari ya hizo facilities. In hela ni kodi za watanzania wote wakiwemo hao wachawi. Wachaga wanasema wamejenga shule nyingi lakini ni serikali inayolipa walimu, mitihani na mambo mengine kwa kodi za watu wote. Hata kama wakoloni walijenga barabara nyingi huko lakini hawaleti pesa la ukarabati zikiharibika ni kodi za hao wachawi zinaletwa kaskazini kuzikarabati na kuzitunza.

Yaani kodi dhahabu na pamba za wachawi zikikuwa zinalipia sehemu ya gharama za shule, hospitali, barabara za kaskazini kwa manufaa ya watoto wa kaskazini hivyo kusababisha kuinamisha uwanja wa fursa za ajira tanzania. Haya ni malalamiko. Hata wakoloni walichukua kodi za watanganyika wote kuzipeleka kaskazini kujenga hayo makanisa, shule, hospitali, na barabara. Kule shinyanga hawakufanya lolote ingawa almasi ya mwadui ilichukuliwa huko.
 
unaijua historia ya ethipia vizuri au umeijua last week?
Nimeishi Ethiopia na kula Injela. Mimi naifahamu historia ya Ethiopia tangu zama za akina MenelikI & II Haile, Munsolin. Naifahamu hata kiamhara na hela yao Birr nimeitumia
 
Mkuu wasomaji

Mzee sawa lakini wasomaji wetu ndo wataosema nani kati yetu hajui,. Mfumo wetu ulivyo hauruhusu mkoa, wila wala kanda kuwa na jeshi lake, wala kujichagulia viongozi wake. Kumbuka kuwa Tigray walikaidi amri ya Rais ya kuahirisha uchaguzi kama njia ya kuepuka corona. Tigray wana vikosi halali vya jumbo hilo wakati Tanzania viongozi wa mikoa na wilaya wote ni makada na wanateuliwa na kuondolewa na mkuu wa nchi. Bajeti ya mkoa inatoka Dar es salaam/Dodoma.

Tanzania kuna uwezekano mdogo sana kwa kitu kama hicho kutokea. Ndio maana hata Zanzibar haiwezi kufanya kama ilichofanya Tigray kwakuwa mazingira hayaruhusu.

Hata Tanzania kula kabila lina historia yake kama ilivyo kwa oromi wa Tigray. Mfano, lugha ya Ethiopia ni Almaharic ambayo ni lugha ya kikabila kidogo cha almahaler, hawa jamaa linawaudhi pia hiyo.

Sasa Kagera watawezaje kujitenga wakati hata mkuu wa mkoa mwenyekiti wa usalama mkoa sio mhaya? RPC sio mhaya, Mkuu wa usalama sio mhaya, mkuu wa kambi za jeshi zilizoko kagera sio mhaya?
Kwa nini Tigray inataka kujitoa?

Nakumbuka hata Eritrea walijitoa
 
Jimbo la Tigray Ethiopia kuna vita wanasiasa wakora wanataka kujitenga, jimbo la Kaduna kule Nigeria wakora wanataka kujitenga, kule kabregado msumbiji wanataka kujitenga, Katalunha Hispania wahuni wanataka kujitenga.

Kumbe hata Tanzania tukianzisha utawala wa majimbo huenda kutakuwa na majimbo ambayo yanaweza kutamani kujitenga kwa sababu mbalimbali zikiwemo za kiuchumi, kikabila, kidini na za kilevi tu. Maana zipo dini, makabila ambayo yana malalamiko yao hadi sasa.

Mfano, yako makabila makubwa yanayohoji kwanini kiswahili kiwe lugha ya taifa.

Nadhani tuko sahihi bado mpaka sasa kuwa hivi tulivyo, tuboreshe tu mapungufu.
Du! Maskini hujui kwanini Tigray inapigana na central governement. Wewe unadhani ni majimbo. Ndugu jiongeze
 
Kwa nini Tigray inataka kujitoa?

Nakumbuka hata Eritrea walijitoa
Sababu kuu ni za kistoria zaidi, hili kabila kabla ya ujio wa Abiy waliongoza Ethiopia kwa miongo mitatu, kwaujula hawaitaki serikali ya waziri mkuu wa sasa kwakuwa huyu jamaa anampango wa kuyafuta majimbo ili kuleta utengemano wa kitaifa. Lakini kitendo cha Abiy kuingia masikilizano na Eritrea ambao walipigana na serikali iliyokuwa ikiongozwa na kabila la akina tigray pia hawakukipenda. Abiy ana uislam upande mmoja na ukiristu upande mmoja, hawapendi hilo kwakuwa wanaona ndio maana amefanya muafaka na Eritrea, waislam.

Lakini wao wanasingizia kuwa serikali inawatenga.
 
Ni kwa nini Tigray ina jeshi lake?
 
Ni kwa nini Tigray ina jeshi lake?
Watigray walikuwa na nguvu za kijeshi tangu zamani, hata uvamizi wa wataliano ulizimwa pale Adowa ambayo ni sehemu ya Tigray. Chimbuko LA Ethiopia ni tigray/Aksum. Hawa jamaa ndio waliokuwa wanatawala Ethiopia, hata Marys Zenaw alitikea huko. Hivyo tigray kulikuwa na wapiganaji wenye silaha nzito waliobaki nazo baada ya mapigano na Eritrea kama namna ya kulilinda jimbo. Ni kama vile Wakrya walivyokuwa wengi jeshini. Kwakutumia silaha hizo waliweza kuivamia Jambi ya jeshi la taifa iliyoko kaskazini kwenye LA tigray na kupora silaha kwa Kazi hii ya sasa ya kujitenga. Wanajeshi ambao ni wategray kwenye kambi ya jeshi iliyoshambuliwa waliweza kusaidia uporaji wa silaha wanazozitumia wategray sasa na baadhi yao walijiunga na jeshi maalum/haram LA tigray.

Wategray hawapendi kuwa chini ya utawala wa makabila mengine, yaani ni kama watutsi kwa wahutu. Hivyo, sio kwamba wanatengwa wala kunyanyaswa bali hawataki kutawaliwa na waislam au vikabila vingine.

Nilikuwa nasali kwenye kanisa lao maarufu LA kiorthodox LA st. George pale Addis ambalo linaaminiwa limejengwa na mfalme/nabii suileiman ambae ni mhayahudi aliyewahi kutembea na Queen of Sheba
 
Asante sana. Nahisi huenda Tigray ikajitoa Ethiopia and kuwa nchi huru kama Eritrea
 
Asante sana.Nahisi huenda Tigray ikajitoa Ethiopia and kuwa nchi huru kama Eritrea
Kitendo cha waziri mkuu kufanya makubaliano na Eritrea kiliwaudhi sana watigray. Ndio maana askari wa tigray huwa wanarusha makombora Asmara, Eritrea bila sababu ya msingi, ni chuki chuki dhidi ya Abiy na Eritrea
 
Jimbo la Tigray Ethiopia kuna vita wanasiasa wakora wanataka kujitenga, jimbo la Kaduna kule Nigeria wakora wanataka kujitenga, kule Kabregado Msumbiji wanataka kujitenga, Katalunha Hispania wahuni wanataka kujitenga.

Kumbe hata Tanzania tukianzisha utawala wa majimbo huenda kutakuwa na majimbo ambayo yanaweza kutamani kujitenga kwa sababu mbalimbali zikiwemo za kiuchumi, kikabila, kidini na za kilevi tu. Maana zipo dini, makabila ambayo yana malalamiko yao hadi sasa.

Mfano, yako makabila makubwa yanayohoji kwanini Kiswahili kiwe lugha ya taifa.

Nadhani tuko sahihi bado mpaka sasa kuwa hivi tulivyo, tuboreshe tu mapungufu.
Kabila gani hilo linahoji kuhusu kiswahili kuwa lugha ya taifa? Linahoji kupitia nani ?
 
Poor you.
 
Mbona Marekani hamna shida hizo. Kuna sheria zinazowekwa na majimbo husika, na Kuna sheria za federal... Za nchi nzima, ambazo majimbo hayawezi kupingana nazo...
Mkuu wasomaji

Mzee sawa lakini wasomaji wetu ndo wataosema nani kati yetu hajui,. Mfumo wetu ulivyo hauruhusu mkoa, wila wala kanda kuwa na jeshi lake, wala kujichagulia viongozi wake. Kumbuka kuwa Tigray walikaidi amri ya Rais ya kuahirisha uchaguzi kama njia ya kuepuka corona. Tigray wana vikosi halali vya jumbo hilo wakati Tanzania viongozi wa mikoa na wilaya wote ni makada na wanateuliwa na kuondolewa na mkuu wa nchi. Bajeti ya mkoa inatoka Dar es salaam/Dodoma.

Tanzania kuna uwezekano mdogo sana kwa kitu kama hicho kutokea. Ndio maana hata Zanzibar haiwezi kufanya kama ilichofanya Tigray kwakuwa mazingira hayaruhusu.

Hata Tanzania kula kabila lina historia yake kama ilivyo kwa oromi wa Tigray. Mfano, lugha ya Ethiopia ni Almaharic ambayo ni lugha ya kikabila kidogo cha almahaler, hawa jamaa linawaudhi pia hiyo.

Sasa Kagera watawezaje kujitenga wakati hata mkuu wa mkoa mwenyekiti wa usalama mkoa sio mhaya? RPC sio mhaya, Mkuu wa usalama sio mhaya, mkuu wa kambi za jeshi zilizoko kagera sio mhaya?
 
Kabila gani hilo linahoji kuhusu kiswahili kuwa lugha ya taifa? Linahoji kupitia nani ?
Kuna makabila hadi leo ili wakuone wamaana lazima uongee kilugha, hata wasiasa kama wakitaka wapate kura huko lazima waachane na kiswahili. Hata baba rip wa taifa alishawahi kulisimulia hilo
 
Mbona Marekani hamna shida hizo. Kuna sheria zinazowekwa na majimbo husika, na Kuna sheria za federal... Za nchi nzima, ambazo majimbo hayawezi kupingana nazo...
Kumbuka India ilikuwa ni nchi kubwa sana (sub-continent) lakini serikali za majimbo zilisababisha maafa makubwa hadi leo. Nchi za Pakistan, Bangaldesh,..............., na Kashmir yalikuwa majimbo ya India. Majimbo yalianza kutaka kujitenga. Hata mzozo wa kashimir sababu yake ni hiyohiyo ya kukomesha majimbo zaidi kujitenga kutoka India. Kule China Taiwan, Tibet na Hongkong itakataliwa kujitenga ili kuzuia majimbo mengine ya china kufuata nyayo. Tigray inataka kufuata nyao za Eritrea, hivyo kuizuia Tigray kujitenga ni dawa kwa majimbo mengine yenye mawazo kama hayo. Kule Marekani kuna majimbo pia yana malalamiko yao, mfano ni suala la kura za wajumbe, electoral college katika kumpata Rais. Mengine yamepewa thamani kubwa na mengine thamani ndogo.
 
Cabo Delgado nchini Msumbiji hata jina la kiongozi wa wale wahuni halijulikani
Nalog off
 
Kuna makabila hadi leo ili wakuone wamaana lazima uongee kilugha, hata wasiasa kama wakitaka wapate kura huko lazima waachane na kiswahili. Hata baba rip wa taifa alishawahi kulisimulia hilo
Kwahiyo hayo makabila ambayo hujayataja ndiyo yanapinga kiswahili kuwa lugha ya taifa ?
 
Mtoa mada naona una akili ndogo sana katika maswala ya kimataifa, mkiwa huko ccm mnakaririshwa tu kama kasuku na kwa sababu ya udikteta hamruhusiwi kuhoji chochote.

Migogoro iliyopo katika mataifa mbalimbali duniani chanzo sio mfumo wa utawala wa shirikisho.

Marekani kabla hawajaanzisha mfumo wa shirikisho walipigana vita vikali sana wenyewe kwa wenyewe hadi walipoanzisha mfumo wa Federation na hadithi ilikuwa ni hiyo hiyo kwa Nigeria.

Ukiangalia chanzo cha tawala za kiimla ni huu mfumo wa utawala wa serikali kuu (Unitary System of Government) ambapo nchi inakuwa na Imperial President kama ilivyo hapa Tanzania na matokeo yake tunaona sasa tulivyo na utawala wa kidikteta.
 
Mkuu sina shaka na uelewa wako kuwa Ni mkubwa Ila katika hili hapo unadanganya umma au kwa makusudi au kea kuwa na wewe hujui. Mitano yote hapo uliyotaja ni tofauti na Hali ya Tanzania. Ugomvi wao sio wa kijimbo Bali ni kihistoria Zaidi.

Kama hujui Ni kuwa suala la kujitenga likija, hata Kama Sio Jimbo watu wa kagera Wana uwezo wa kutaka kuwa nchi huru isiyotegemea Tanzania na uwezo wa kujiendesha Kama nchi wanao.

Kwa hiyo mpaka uone hayo ujue Kuna mambo mengi chanzo sio Jimbo Bali ni historian na makabila.
 
Back
Top Bottom