Uchaguzi 2020 Jimbo la Ubungo: ACT-Wazalendo yadaiwa kumuwekea pingamizi Meya Jacob na madiwani wote wa CHADEMA

Uchaguzi 2020 Jimbo la Ubungo: ACT-Wazalendo yadaiwa kumuwekea pingamizi Meya Jacob na madiwani wote wa CHADEMA

ACT-Wazalendo jimbo la Ubungo walikuwa wanachama wa Chadema.Lakini kwa kipindi kirefu kulikuwa na mvutano ndani ya Chadema
Zogo liliongezeka katika kuteua watia nia wa ubunge na udiwani.Ndipo kundi mmoja lilijitenga na kuhamia ACT-Wazalendo.
 
hii ilifunguliwa uzi humu na uzi umefutwa kwakua haina ukweli wowote. Ni kosa la kimtandao kughushi nakala ya taasisi ya umma.
Labda kama umesomea vyuo vya ulaya vinginevyo uliishia ngumbaru lakini kama umepitia vyuo vya bongo mbona ni kawaida tu, unaweza sitishiwa hata boom kimasihara kisa ulionekana campus akati mkuu akishusha vitu vya Gambosi
 
Alaaniwe mwasisi wa uharamia huu wa kuwapoka wapiga kura haki yao ya Kikatiba ya kuchagua viongozi wanaowataka yamkute mabaya hata tarehe 28 October asifike
 
Alaaniwe mwasisi wa uharamia huu wa kuwapoka wapiga kura haki yao ya Kikatiba ya kuchagua viongozi wanaowataka yamkute mabaya hata tarehe 28 October asifike
Lissu naye aliwawekea Pingamizi wagombea wawili.. unfortunately yeye hakufanikiwa.
 
Tuwekane sawa tu, Jacob ameenguliwa baada ya kuwekewa pingamizi na mgombea wa ACT, mgombea wa CCM alimuwekea pingamizi mgombea wa ACT.
Wacheni kuchanganisha vyama vyengine vya upinzani munajulikana kama ccm ndio wenye huo mchezo
 
Bora aenguliwe, Ubungo inahitaji maendeleo. Huyu jamaa amekuwa diwani wa ubungo hakuna kilichofanyika. Barabara full makorongo, madaraja hayapitiki, huwezi kufikiri kama upo katikati ya jiji
 
Lissu naye aliwawekea Pingamizi wagombea wawili.. unfortunately yeye hakufanikiwa.
Hujaelewa somo. Nazungumzia aliyeasisi huu upumbavu wa kuwaengua watu bila vigezo. Tangu 1995 tumekuwa na chaguzi nyingi chini ya mfumo wa vyama vingi lakini kilichofanyika kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka jana na kinachoendelea sasa hivi ndivyo uharamia ninaozungumzia.
 
Hata km nindoto ya mchana cjawahi kuota jacob kawa mbunge wa jimbo lolote achilia ubunge.
 
[/QUOT
Walikua wanaenguliwa ila kipindi hicho coverage ilikua ndogo na pia ubunge au uwakilishi haikua issue ya life and death, enzi hizo wananchi ndio walikua wanakuomba uwawakilishe,but siku hizi wagombea ndio wanawaomba wananchi Kwa kuwapigia magoti, ndio maana wananchi hawachukulii Mambo yanayoendelea kama yanawahusu (personal) because asilimia zaidi ya 99 ya wagombea hakuna mwananchi kaenda kuwaomba , ni aspirations zao binafsi , hawana Baraka za wananchi ndio maana mungu anawaumbua na wanatifuana kila dakika,na Sisi wananchi tunawacheck tuu. kwani kwetu Sisi yeyote atakayepita hatujali na hatuoni tofauti kwani wote sio machaguo yetu...na ndio maana hutakaa uone wananchi wakiandamana kudai wagombea ambao sio choices zao at the first place.
 
Back
Top Bottom