Uchaguzi 2020 Jimbo la Ubungo: ACT-Wazalendo yadaiwa kumuwekea pingamizi Meya Jacob na madiwani wote wa CHADEMA

Uchaguzi 2020 Jimbo la Ubungo: ACT-Wazalendo yadaiwa kumuwekea pingamizi Meya Jacob na madiwani wote wa CHADEMA

Kama sikosei December 2012 au 2013 alianzisha uzi humu wa kuomba samahani viongozi wenzie wa Chadema wanachama na wapenzi na pia kutoa ushirikiano wa hali ya juu. Kukawa na maswali mengi ikiwemo umefanya kosa gani na maswali kuhusu matukio miezi miwili kabla ya uchaguzi Mkuu 2010 alijikanyaga kanyaga sana nadhani hata mwenyewe alijistukia hivyo akaomba ule uzi ufutwe na ukafutwa.

Hawezi kuacha, haaminiki, ni mchumia tumbo hodari sana
 
Chadema ujuaji utawatokea puani. Chadema ikiwawekea wengine mapingamizi wanaona raha lakini wakiwekewa wao mapingamizi wana lialia. Act wazalendo ni haki yao kuweka pingamizi kama wameona kuna mapungufu kwa wagombea wa chadema.
Tatizo hawa ACT si ndio walikuwa wanalilia kuungana na Chadema kuweka mgombea mmoja,sasa leo inakuwaje uwawekee pingamizi partner wako na kumuacha adui wenu Mkuu?
 
Kama sikosei December 2012 au 2013 alianzisha uzi humu wa kuomba samahani viongozi wenzie wa Chadema wanachama na wapenzi na pia kutoa ushirikiano wa hali ya juu. Kukawa na maswali mengi ikiwemo umefanya kosa gani na maswali kuhusu matukio miezi miwili kabla ya uchaguzi Mkuu 2010 alijikanyaga kanyaga sana nadhani hata mwenyewe alijistukia hivyo akaomba ule uzi ufutwe na ukafutwa.
Mkuu mbona unamsakama sana Zitto, mbona wagombea kibao tu wamewekewa pingamiza Kati ya CDM na ACT, mbona Jimbo la ISIMAN , CDM wamemuwekea pingamizi mgombea kupitia ACT lkn hamuoni kama nihujuma?

Hebu tulieni wakuu Zitto kashaondoka Chadema nahawezi kurudi tena Chadema Yuko anajenga chama chake mwa strategy anazozijua yeye, nchi hii nikubwa sana inahitaji iwe na vyama strong zaidi ya viwili ili chama chatatu ndio kiwe kinaamua mstakabali wa muongoza nchi.

lakini kusema tuwe navyma viwili vyenye nguvu haina afya kwa taifa, maana kuna wengine hawana vyama ilitakiwa pia mgombea binafsi aruhusiwe, ili wasiopenda vyama lakini wanataka siasa basi wawe naruhusa yakugombea bila vyama.
 
Tatizo hawa ACT si ndio walikuwa wanalilia kuungana na Chadema kuweka mgombea mmoja,sasa leo inakuwaje uwawekee pingamizi partner wako na kumuacha adui wenu Mkuu?
Mbona ISIMAN huko CDM wamewawekea pingamizi ACT nafasi ya mgombe ubunge?. Hebu tulieni muheshimu demokrasia ndio gharama zenyewe hizi.
 
Acha kujidanganya wewe,kura milioni 6 mwaka 2015 zilitoka twitter??
Ktk mwaka ambao CCM walikuwa na hali mbaya kisiasa nadhani ni mwaka 2015 na sidhani kwa miaka hii ya karibuni kunaweza kutokea hali kama hyo kwanza CCM ilikuwa ni chama ambacho hakikubaliki na watu wengi.

CCM waliondokewa na mtu ambae karibu 80% ya watanzania na wanaccm walijua ndo Rais anaefata baada ya JK kingine Lowassa alikuwa na connetion zote ambazo mwanasiasa anatakiwa kuwa nazo kuanzia connection ya kifedha connection ya kisiasa connection ya kisystem na above all connection ya Chama Lowassa alikuwa taasisi ndani ya CCM so huwezi linganisha alivyokuwa Lowassa na mwanasiasa yeyote au atakaetokea ktk vyama vya upinzani kwa miaka zaidi ya 10 au 15 ijayo
 
Kama sikosei December 2012 au 2013 alianzisha uzi humu wa kuomba samahani viongozi wenzie wa Chadema wanachama na wapenzi na pia kutoa ushirikiano wa hali ya juu. Kukawa na maswali mengi ikiwemo umefanya kosa gani na maswali kuhusu matukio miezi miwili kabla ya uchaguzi Mkuu 2010 alijikanyaga kanyaga sana nadhani hata mwenyewe alijistukia hivyo akaomba ule uzi ufutwe na ukafutwa.

Kwa point hii na yaliyokua yakiendelea in those days, tunayo haki ya kumuuliza Kaka Zitto , Yuko wapi Ben Saanane?? (We all remember their affiliations!)

Tukiamua kutoka nje ya box ili kutatua shida zetu ni wazi fahamu zetu zitafunguka na kutuacha “Uchi” hata sisi wengine!
 
Simsakami Mkuu bali nasema ukweli mtupu. Sijui hizi taratibu za kuweka mapingamizi zikoje, lakini kwa vyama ambavyo viko kwenye mazungumzo ya kutaka kushirikiana kuweka mgombea mmoja tu kuanzia udiwani hadi Urais halafu kabla ya kuhitimisha mazungumzo yao wanaanza kuwekeana mapingamizi inaleta picha mbaya na kutia doa kubwa sana kwenye ushirikiano wautakao.

Mkuu mbona unamsakama sana Zitto, mbona wagombea kibao tu wamewekewa pingamiza Kati ya CDM na ACT, mbona Jimbo la ISIMAN , CDM wamemuwekea pingamizi mgombea kupitia ACT lkn hamuoni kama nihujuma?. Hebu tulieni wakuu Zitto kashaondoka CDM nahawezi kurudi tena CDM Yuko anajenga chama chake mwa strategy anazozijua yeye, nchi hii nikubwa sana inahitaji iwe na vyama strong zaidi ya viwili ili chama chatatu ndio kiwe kinaamua mstakabali wa muongoza nchi, lakini kusema tuwe navyma viwili vyenye nguvu haina afya kwa taifa, maana kuna wengine hawana vyama ilitakiwa pia mgombea binafsi aruhusiwe, ili wasiopenda vyama lakini wanataka siasa basi wawe naruhusa yakugombea bila vyama.
 
Nikweli unachosema nawala sio Jambo zuri, huyo wa ACT amemuwekea pingamizi BON alikua CDM na nafikiri alikua diwani kata ya SINZA kupitia CDM, hawa wanafahamiana vizuri nawanachuki binafsi , halafu pia ngazi zahuku chini wagombe binafsi ndio wanawekeana mapingamizi.

Ni vigum viongozi wakitaifa kujua kama huko Rukwa wagombea wao wanawekeana mapingamizi, ndio maana kama unakumbukua 2010/2015 mgombea ubunge CDM alikata kukitoa Jimbo la Segerea kumuachia mtatiro huku vyama vyote vikiwa ndani ya UKAWA.

Kwahio tukubali kwanza hawa hawashirikian lakini hata kama wangeshirikiana bado kasoro katika baadhi ya majimbo zingejitokeza tu. Nahakuna mtu anajua dhamira ya mgombea mpaka pale anapopewa furusa yakugombea, kama Kuna baadhi ya wagombea Serikali za mitaa waliwagomea mpaka viongozi wakitaifa CDM kukitoa katika uchaguzi unafikiri Hali inakuwaje wanaposaka tonge?.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mkuu mbona unamsakama sana Zitto, mbona wagombea kibao tu wamewekewa pingamiza Kati ya CDM na ACT, mbona Jimbo la ISIMAN , CDM wamemuwekea pingamizi mgombea kupitia ACT lkn hamuoni kama nihujuma?. Hebu tulieni wakuu Zitto kashaondoka CDM nahawezi kurudi tena CDM Yuko anajenga chama chake mwa strategy anazozijua yeye, nchi hii nikubwa sana inahitaji iwe na vyama strong zaidi ya viwili ili chama chatatu ndio kiwe kinaamua mstakabali wa muongoza nchi, lakini kusema tuwe navyma viwili vyenye nguvu haina afya kwa taifa, maana kuna wengine hawana vyama ilitakiwa pia mgombea binafsi aruhusiwe, ili wasiopenda vyama lakini wanataka siasa basi wawe naruhusa yakugombea bila vyama.
Uko sahihi kabisa mkuu, kwa siasa za nchi yetu ni muhimu kuwa na vyama angalu vitatu vyenye nguvu badala ya viwili ili kuepuka mikwamo ya kisiasa kama tuliyowahi kushuhudia huko Zanzibar.
 
Kwa point hii na yaliyokua yakiendelea in those days, tunayo haki ya kumuuliza Kaka Zitto , Yuko wapi Ben Saanane?? (We all remember their affiliations!)

Tukiamua kutoka nje ya box ili kutatua shida zetu ni wazi fahamu zetu zitafunguka na kutuacha “Uchi” hata sisi wengine!
Yaani badala yakuuliza watu wanaongoza vyombo vya dola alipo Ben unamuuliza Zitto?. Wakati Ben alianzisha mada kabisa hapa juu watu wanaotishia uhai wake?. Yaan badala yakuiuliza Serikali umuulize Zitto kweli au inatania mkuu?. Iko siku unaweza taka muuliza Zitto wakina nanii waliomshambulia Lissu.
 
Uko sahihi kabisa mkuu, kwa siasa za nchi yetu ni muhimu kuwa na vyama angalu vitatu vyenye nguvu badala ya viwili ili kuepuka mikwamo ya kisiasa kama tuliyowahi kushuhudia huko Zanzibar.
Ndio hivyo mkuu yanayotokea Zanzibar kama kule pangekuwa navyama vitatu vyenye nguvu yasingekuwepo. Hii nchi uchaguzi wa 2015 walijiandikisha wengi lakini Zaid ya mill 4 hawakupiga kura, inawezekana Hawa hawakuona mgombea anaewafaa au walikua nasababu zao binafsi.
 
Hiyo ya Mtatiro naikumbuka sana. Kwa mawazo yangu ingekuwa vizuri viongozi wa vyama vyote waongee na wagombea wao wafute hayo mapingamizi ikishindikana basi waseme hadharani kwamba hatukutaka mgombea wetu amuweke pingamizi mgombea wa Chadema/ACT Wazalendo na tumemuomba afute pingamizi lake lakini amegoma. Hii italeta picha nzuri kwamba hivi vyama viwili bado vinaongea kwa sauti moja huku wakiendelea kujadili namna ya kushirikiana.

Nikweli unachosema nawala sio Jambo zuri, huyo wa ACT amemuwekea pingamizi BON alikua CDM na nafikiri alikua diwani kata ya SINZA kupitia CDM, hawa wanafahamiana vizuri nawanachuki binafsi , halafu pia ngazi zahuku chini wagombe binafsi ndio wanawekeana mapingamizi, Nivigum viongozi wakitaifa kujua kama huko Rukwa wagombea wao wanawekeana mapingamizi, ndio maana kama unakumbukua 2010/2015 mgombea ubunge CDM alikata kukitoa Jimbo la Segerea kumuachia mtatiro huku vyama vyote vikiwa ndani ya UKAWA. Kwahio tukubali kwanza hawa hawashirikian lakini hata kama wangeshirikiana bado kasoro katika baadhi ya majimbo zingejitokeza tu. Nahakuna mtu anajua dhamira ya mgombea mpaka pale anapopewa furusa yakugombea, kama Kuna baadhi ya wagombea Serikali za mitaa waliwagomea mpaka viongozi wakitaifa CDM kukitoa katika uchaguzi unafikiri Hali inakuwaje wanaposaka tonge?.
 
Hiyo ya Mtatiro naikumbuka sana. Kwa mawazo yangu ingekuwa vizuri viongozi wa vyama vyote waongee na wagombea wao wafute hayo mapingamizi ikishindikana basi waseme hadharani kwamba hatukutaka mgombea wetu amuweke pingamizi mgombea wa Chadema/ACT Wazalendo na tumemuomba afute pingamizi lake lakini amegoma. Hii italeta picha nzuri kwamba hivi vyama viwili bado vinaongea kwa sauti moja huku wakiendelea kujadili namna ya kushirikiana.
Hii ndio linatakiwa ,leo nimejaribu kujiuliza kwa nini Lissu hajamuwekea Membe pingamizi wakati kosa la Magufuli/Lipumba hilo kosa pia naamini Membe kalifanya,maana alipeleka form kabla yasiku ya uteuzi yeye alisema anaenda kuhakiki, nimebaki bado natafakari ngoja tusubir tare 28 kampen zitakapoanza bado naamini Membe atamsapot Lissu japo kwa maneno. Nahata jana kucheleweshwa Lissu nafikiri Nec wakitaka kwanza Membe apeleke form ili kuepuka mmmoja wao kutokupeleke form, ili wote wawe kwenye karatasi ya NEC.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kila MTU apambane na hali ..wakujibu ajibu au kwa upande wetu sheria ituhurumie chadema?au tunataka sheria hiyo ikam bane kwenye angle X magu na wengine?
 
Acha kulialia, tulia tuli maji ushayakoroga jiandae kucheza zumari
 
Back
Top Bottom