Uchaguzi 2020 Jimbo la Ubungo: ACT-Wazalendo yadaiwa kumuwekea pingamizi Meya Jacob na madiwani wote wa CHADEMA

Uchaguzi 2020 Jimbo la Ubungo: ACT-Wazalendo yadaiwa kumuwekea pingamizi Meya Jacob na madiwani wote wa CHADEMA

Vijana wa Chadema wanajifanya Wajuaji lakini nimegundua hawafuatilii mambo bali Wanasubiri Mtu aweke Post ikisha wao Wanakurupuka.

Diwani anapomuekea Pingamizi diwani mwenzake, Zitto anahusikaje?...


Hawajielewi. Na mwaka huu wataomba poo
 
Jamaa ameandika kindezi bin nyumbu ati wamewawekea cdm na hawakuweka kwa CCM.. sasa km CCM kuko sawa waweke pingamizi za nn???

Act wako makini sana , cdm ni wazee wa kukurupuka
 
Ndio maana niliwahi kuchangia mchango Fulani humu kwamba, akili zangu hazikubalii kabia kwamba Membe kajiunga upinzani, NAKATAA. Historia ya uanzishwaji wa hiki chama inajulikana; yalikua mawazo ya Jack Zoka na Jack Zoka alikua shushushu aliyekubuhu akifanyia kazi zake Ikulu ya Kikwete by that time, Membe anajulikana kwamba na yeye ni shushushu aliyekubuhu; mtu kama huyo anawezaje kuondoka kirahisi hivyo na asifanywe chochote na system? Hiki ni chama B cha ccm

Ukimtaja Jack huwezi kumwacha Mzee Othman!

CCJ ilifia wapi??

Kumbukumbu ni jambo muhimu!
 
Act wanatumia akili hawakurupuki kama chadema mnavyo kurupuka wao baada ya kuona chadema mme wawekea ccm pingamiz na wao wameamua kuwawekea pingamiz ili kama mtashinda dhid ya ccm Na wao wakashinda dhid yenu basi watapita bila kupingwa so same time chadema mue mnatumia Hata akili zenu za kuvukia barabara

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Membe na ACT yake walikuwa wanafikiri Lissu atakatwa...ishakula kwao

Sasa ni wazi kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.

If at all Mzee Membe yuko kazini upande wao ili, do we really believe hajui “mpango mkakati?!”
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Usaliti hata siku moja huwezi kuufananisha na kuwa rebel. Hujui usaliti wa huyo hadi kutaka mabandiko yake yafutwe kwa sababu yalikuwa yanamwanika hadharani jinsi alivyo msaliti.,

Some people are born rebels when others are born loyalists!

Hatuwezi kamwe kufanana!
 
Nimechola baada ya kusikia kwamba ACT Wazalendo wamewawekea Pingamizi wagombea wa Upinzani pekee na kuwascha wa CCM, napata ukakasi kujua hawa ndo washirika wa CDM?
FB_IMG_1598464808555.jpeg
 
Sasa Bony alidhani mgombea wa ACT kaingia kwenye kinyang'anyiro kumsindikiza? —Naye anautaka ubunge ati!

Pingamizi haliwekwi na chama, linawekwa na mgombea husika!

Hakuna makubaliano ya kuachiana majimbo, Bony atulie, acheze mchezo wa siasa, siasa siasani!
 
Usaliti hata siku moja huwezi kuufananisha na kuwa rebel. Hujui usaliti wa huyo hadi kutaka mabandiko yake yafutwe kwa sababu yalikuwa yanamwanika hadharani jinsi alivyo msaliti.,

Hapana! Namtambua ndugu Zitto tangu kipindi cha Chacha Wangwe na Waraka kwa “Mwenyekiti”!

Ukweli ni kwamba kuna watu wameumbwa na kutengezwa hivyo (as rebels) na huyu ni mmoja wao! Kwahiyo ni lazima awe selfish kutokana na kile kilichozaliwa ndani yake mpaka kukubali kutumika!

Kwani tumesahau safari za ujerumani/shule nje ya mipaka ya Tanzania! Hivi ni nani alikua mfadhili wake!!?

Tusijisahau sana!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa ACT Wazalendo wamewawekea mapingamizi wagombea wa CHADEMA katika Halmashauri ya Ubungo akiwemo yeye...
CDM nao si wamewawekea pingamizi ACT huko Wazo na Kunduchi? Hawa ndio wanafanya raia wawe barabarani
Shit.
Tz iko vzr tu . Tufanyeni Upinzani kama watani wa jadi.

Hawa wanaotumia mbinu kufarakanisha nchi washindwe wakiwapa pesa chukueni ila Mmatumbi , Mchaga na wengine sisi ni ONE .
Piga spana kila sehemu .pingamizi juu ya pingamizi
 
Rebels
a person who rises in opposition or armed resistance against an established government or ruler.

Traitor
a person who betrays a friend, country, principle, etc.
"they see me as a traitor, a sellout to the enemy"

Hapana! Namtambua ndugu Zitto tangu kipindi cha Chacha Wangwe na Waraka kwa “Mwenyekiti”
 
Rebels
a person who rises in opposition or armed resistance against an established government or ruler.

Traitor
a person who betrays a friend, country, principle, etc.
"they see me as a traitor, a sellout to the enemy"

Nimekusoma Chief!

My point was, kuna watu tayari wameumbwa hivyo! Hata huyu ndugu yetu miezi kadhaa tu ilopita alikua upande wa negative na Serikali kiasi alianza kuwindwa!! So he is a kind of guy who rebels against all things that ain’t got any favors kwake! (Mbinafsi!)
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wakikujibu unitagi ila hawa jamaa ukilala nao chumba kimoja inabidi jicho moja uliache wazi siwaamini hata nukta
Jomba CDM wenyewe wamewawekea pingamizi ACT huko WAZO. kwahiyo ni mwendo kuruka na kukanyagana tu
 

Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa ACT Wazalendo wamewawekea mapingamizi wagombea wa CHADEMA katika Halmashauri ya Ubungo akiwemo yeye...
Huyo jacob kumuwekea Mkumbo pingamizi si inatisha kwani lazima na ACT wamuwekee pingamizi? Yeye ndo anatoaaagizo ya nani aweke pingamizi na amuwekee nani?
 
Back
Top Bottom