Hahahahaha mnajidanganya sana mzee Tanzania kwa sensa ya mwaka 2012 ina mikoa 31 ina wilaya 169 na wapiga kura zaidi ya milioni 29 je familia zinapokutana ni familia ngapi wanaongelea siasa? Mfano ww tu niambie lini umeongea na familia yako kuhusu siasa? Niambie ni siasa gani wanafanya Chadema mitandaoni zaidi ya kulalamika kwenye vitu ambavyo havimsaidii babu yangu kule bukoba lini chadema wameongelea kuhusu Afya ,Elimu,Uchumi mitandaoni zaidi ya kuongelea vitu vya kuwafaidisha wao tu kama kuwa na uhuru wa kutukana uhuru wa kuandamana bila ya kufata sheria sijui tume huru sijui kufanya siasa je ni matanzania gani anafaidika na hvyo vitu moja kwa moja je unaweza kuacha kufanya kazi na kwenda kuandamana eti kisa Lissu Chadema wamekatazwa kufanya siasa za majukwaani?Watu mmoja akifuatilia kwenye internet anasimulia watu zaidi ya watano na hao watano wanasimulia wengine taarifa usambaa ivyo uko nchi gani wewe
Chadema nyinyi ndo chama cha kwanza kuingia kwenye Digital media na nyinyi ndo chama cha kwanza kufaidika na Digital media lakini mnatumia mitandao si kuelezea sera zenu zaidi ya kutumia kama uwanja wa kutafuta huruma na kuleta taaruki kwa watu sasa CCM wameshaona weekness yenu upande wa Digital wao wanawekeza kwenye kuelezea sera na mikakati ya kiuchumi na mipango ya kiuchumi soon watawa out smart kwenye upande huo.